Shaaban Kissu, mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko watangazaji wote nchini, alifuatiwa na Gadner G

Kwani ITV tumewafanya nini mbona mnatujadili hivo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Shaaban Kissu MC wa Taifa ndiye the most paid Radio presenter so far, akiwa TBC Na sasa AMG

Analipwa zaidi ya milioni tano kwa mwezi, sababu ya kuwa hivyo inatokana na kuwahi kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya enzi za Kikwete. Kabla ya kutumbuliwa na JPM.

Kanuni za utumishi ziko wazi ukipandishwa cheo unaweza kushushwa hicho cheo lakini mshahara hautashuka hata kama ulihudumu kwenye hiyo ofisi kwa siku moja tu.

Shaaban Kissu anakula mshahara wa DC kasoro marupurupu, ni mpaka atakapo staaafu utangazaji unless other wise.

Aliyemfuatia kwa karibu alikuwa marehemu Gardna G ambaye mshahara wake sitauweka hapa maana waswahili tunajuana hatuna dogo kwenye mirathi.
Mirathi ni ya familia yake, ambayo itakuwa inaujua mshahara wa ndugu yao.
 
Mirathi ni ya familia yake, ambayo itakuwa inaujua mshahara wa ndugu yao.
Jidanganye,tunazaa na micheouko nje๐Ÿ˜•ikijua hauna kitu inakausha ila ikijus uliacha mali inakuja na kadi ya clinic na cheti cha ndoa na kuzua taharuki,bado wajomba ,baba wakubwa nao wanataja mgao
 
Back
Top Bottom