gadner

Captain Gardner G. Habash
Gardner G. Habash alizaliwa mwaka 1973 kujizolea umaarufu mkubwa kutokana na kazi yake ya utangazaji, pia alikuwa mume wa mwimbaji maarufu Tanzania, Lady Jaydee.

Katika maisha yake, Gardner alianza utangazaji wa redio akiwa Clouds FM, kisha aliondoka na kujiunga na Times FM alikotangaza kipindi cha Masikani. Safari yake ya utangazaji iliendelea alipohamia E FM na kuanzisha kipindi cha Ubaoni, kabla ya kurejea Clouds FM mwaka 2016.

Gardner alifariki dunia alfajiri ya Aprili 20, 2024 katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alikokuwa akipatiwa matibabu kutokana na tatizo la shinikizo la damu.
  1. Benbulugu

    Hivi marehemu Gadner G Habashi alikuwa na mtoto mmoja tu ambae ni malkia Caren?

    Hivi marehemu Gadner G Habashi alikua namtoto mmoja tu ambae ni malkia Caren? Naulizia hivi kwa maana ndie anaepewa pole pekee kila mahali hasa kupitia mitandao ya kijamii.
  2. mdukuzi

    Shaaban Kissu, mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko watangazaji wote nchini, alifuatiwa na Gadner G

    Shaaban Kissu MC wa Taifa ndiye the most paid Radio presenter so far, akiwa TBC Na sasa AMG Analipwa zaidi ya milioni tano kwa mwezi, sababu ya kuwa hivyo inatokana na kuwahi kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya enzi za Kikwete. Kabla ya kutumbuliwa na JPM. Kanuni za utumishi ziko wazi ukipandishwa...
  3. Erythrocyte

    RIP Gadner G. Habash, ila wengi waliokuja kwenye msiba wako hawakuja kuomboleza, walikuja kutikisa ili wa-trend

    Nimefuatilia Msiba wa huyu Jamaa, Mtangazaji wa Clouds aliyetutoka juzi na kuagwa leo Leaders Club, Leo ndio nimewajua wabongo wanaojiita watu maarufu, yaani kichefuchefu kuliko kichefuchefu cha Waja wazito. Kila anayekuja anataka watu waache kulia ili wamtazame yeye kwanza , yaani wanajitanua...
  4. Arnold Kalikawe

    Captain Geogre Bantu kurithi usukani kuliongoza jahazi bila Captain Mkuu Gardner G. Habash

    Sisi wengi wakongwe tunakumbuka historia ya Captain Gardner nguli wa vipindi vya redio, alianza kama muuza cassette (Kanda) za audio na video pale jijini mwanza kama mtu wa masoko, ndipo Othman Njaidi baada ya kuuona uwezo wa Gardner wa kushawishi wateja, akamchukua na kumpeleka Clouds FM japo...
  5. benzemah

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash (50) amefariki Dunia Leo April 20, 2024. Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na...
  6. Katkit

    Kipindi cha "Jahazi" cha Clouds FM kiongezewe muda

    Kwenu wadau... Kile kipindi cha ule utatu (Bantu, Gadner na Musa) kiukweli wamekipunja muda. Wale walevi wanafanya poa sana kudadeki zao, masaa 2 hayawatoshi kabisa. Uongozi wa CMG ulifanyie kazi hili suala. Wassalaam!
  7. Rosh Hashannah

    Mtoto wa Gadner aitwaye Karen atumia Intrauterine Insemination

    Hii dunia inapoelekea ni hatari. Watoto watakosa malezi ya baba, huu ni ubinafsi wanaofanya hawa wadada
  8. Mshangai

    Gadner Habash amwomba Lady Jaydee arudi awe anampikia chai. Apiga nyimbo zake

    Katika kipindi cha Power Breakfast kilicho na muundo mpya Leo hii, mtangazaji maarufu Gardner Habash aliyekuwa ametengana na mke wake mwanamuziki maarufu komando Lady J D amemuomba mtalaka wake huyo kurudisha moyo na kurudi nyumbani ili awe anampikia chai asubuhi. Pamoja na kuachana kwao kwa...
  9. princemikazo

    Antonio Nugaz, Captain Gadner G.Habash na Phillip Mwihava, nani mkali wa matangazo?

    Habarini za muda huu wadau..Nimekua nikifatilia matangazo mengi sana ya Redio na Tv hapa Bongo especially Clouds FM na TV. Clouds FM haiwezi kupita siku bila kuskia tangazo la Phillip Mwihava,Gadner G.Habash na Antonio Nugaz. Antonio Nugaz(Mtembezi)anae'run kipindi cha Kambi popote pale Clouds...
  10. P

    Jide na Gadner warudiana?

    #idontcare Sent using Jamii Forums mobile app
  11. N'yadikwa

    Combination na Ephraim Kibonde, Gadner Habash na George Bantu, tayari imeyumba

    Kwa wapenzi nguli wa kipindi pendwa cha mazungumzo ya jioni redioni cha JAHAZI katika redio MAWINGU FM watakubaliana nami kwamba muunganiko wa watangazaji hao watatu niliowataja ulifanya kipindi hiki kunoga...sasa kuondoka duniani kwa Kibonde tayari kumeleta Pengo kubwa sana kwenye kipindi...
  12. JEKI

    Je Gadner Habash hawezi mfunga Jaydee??

    Kila nikiusikiliza wimbo wa Ndindindi wa Jaydee naona ni matusi matupu kwa Gadner, maana kuna maneno mengi ya kuudhi mara kichaa hawezi kupona n.k. Wadau kwa hili jamaa hawezi kufungua hata kesi ya madai kwa defirmation?.
  13. Madimba jr

    Gadner Habbash uso kwa uso na Jay Dee kwenye msiba wa mke wa Kibonde

    Popular Female Singer in EA Lady Jay Dee and Popular Presenter in Tanzania Gadner Habbash who were used to be wife and husband those days,before things went wrong....finally they met and shake hands in Kibonde's wife burial ceremony yesterday july 13....kwa hii picha inaleta tafsiri nyingi sana...
  14. four eyes

    Gadner Habash, Mtangazaji mahiri asiye na maadili

    Sio siri mimi ni msikilizaji mkubwa na wa kudumu wa Clouds Fm na hususan vipindi vya Power Breakfast, Jahazi na kile cha michezo. Ni mshabiki pia wa watangazaji kama Masoud Kipanya, Ephraim Kibonde na Gadner Habash. Nimekuwa nikipenda utangazaji wa Gadner kitambo sana toka enzi zile anatangaza...
  15. Fortunatus Buyobe

    Tetesi: Range ya Gadner chalii

    Habari toka jikoni zinathibitisha kuwa ile land rover discovery aliyopewa kama package ya kujiunga clouds media, amepata nayo ajali akiwa kalewa chakali. Kwa bahati nzuri gari ilikuwa na bima kubwa sema Gadner alikuwa ameshaikopea sehemu. So kampuni ya bima inahangaika kumlipa mkopeshaji (kwa...
  16. lara 1

    GADNER IS ONE TRUE HERO! Sio wanaume wote wenye ujasiri wa kulikabili Comandoo Ndii ndiii

    Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kabla hamjaanza ooh wewe mtetezi wa wanawake inakuwaje naomba nitoe kauli "SIFURAHII WALA SIUNGI MKONO ALICHOKISEMA CAPTAIN HATA NUKTA ila pamoja na yote ukiacha huko ulimi kumteleza mimi in the all sagger...
  17. GENTAMYCINE

    Mlionitukana Na Kunidhihaki Kuhusu Taarifa ya Gadner Niombeni Radhi

    Tarehe Moja Nilipoandika UZI Humu TENA Nikijiamini Kabisa Kama Kawaida Yangu Wapo Walionijibu Kwa KUNITUSI, KUNIKEBEHI Na Hadi KUNIDHALILISHA Na Bahati Nzuri Sana Hata Posts Zao Zipo Katika Ule UZI Kuwa Gadner G. Habash Anarudi Rasmi Clouds Media Group Nikimaanisha Kuwa Mtangazaji Wa Clouds FM...
  18. warumi

    Jide: Sijampiga kijembe Gadner

    MKONGWE wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au Jide, amefunguka kuwa katika wimbo wake mpya wa Ndindindi, hajampiga kijembe aliyekuwa mumewe, Mtangazaji Gardner G. Habash kama wengi wanavyodhani. [http://www] Jide na aliyekuwa mumewe, Gardner Akizungumza na mwanahabari wetu, Jide...
  19. GENTAMYCINE

    Gadner G. Habash arudi rasmi Clouds FM

    Ni Kwamba Muda Si Mfupi Mtangazaji Wa Zamani Wa Clouds FM Gadner G. Habash Ambaye Baadae Hadi Hivi Sasa Alikuwa Akitangaza Kituo Cha Redio Cha E FM Ametoka Kumalizana Na Uongozi Wa Clouds Media Group Na Kwamba Sasa Ni RASMI Kuwa Kuanzia Jumatatu Ijayo Atakuwa Akitangaza Katika Kipindi Cha...
  20. GENTAMYCINE

    Hivi Moses Ndamalya Na Gadner Habash Nani Zaidi Kiutangazaji?

    Hawa WATANGAZAJI WAWILI Nani Kati Yao Unadhani ANA UWEZO MKUBWA WA KUTANGAZA Na KUWA NA MVUTO MKUBWA KWA WASIKILIZAJI? Na Nini au Zipi Ni Tofauti Zao KIUWEZO? Yupi Unadhani ANAKUBALIKA Na Yupi HAKUBALIKI? Atakayetajwa Hapa Sana Kuwa Ni Bora Zaidi Ya Mwenzake Ndiyo Nitampa TENDA Ya Kutengeneza...
Back
Top Bottom