RIP Gadner G. Habash, ila wengi waliokuja kwenye msiba wako hawakuja kuomboleza, walikuja kutikisa ili wa-trend

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
118,114
219,201
Nimefuatilia Msiba wa huyu Jamaa, Mtangazaji wa Clouds aliyetutoka juzi na kuagwa leo Leaders Club, Leo ndio nimewajua wabongo wanaojiita watu maarufu, yaani kichefuchefu kuliko kichefuchefu cha Waja wazito.

Kila anayekuja anataka watu waache kulia ili wamtazame yeye kwanza , yaani wanajitanua Msibani ! mliona wapi mambo haya?

Ni ushamba Mtupu!

Screenshot_2024-04-22-15-06-26-1.png
Screenshot_2024-04-22-15-05-43-1.png
 
View attachment 2971055View attachment 2971056

Nimefuatilia Msiba wa huyu Jamaa , Mtangazaji wa Clouds aliyetutoka juzi na kuagwa leo Leaders Club , Leo ndio nimewajua wabongo wanaojiita watu maarufu , yaani kichefuchefu kuliko kichefuchefu cha Waja wazito .

Kila anayekuja anataka watu waache kulia ili wamtazame yeye kwanza , yaani wanajitanua Msibani ! mliona wapi mambo haya ?

Ni ushamba Mtupu !
Bora wewe umeliona hilo.
 
KAULI TATA ALIYO TOA KWA PUBLIC ILIYO MFANYA AJULIKANEEE NI HIIIII

''SINA KINYONGO NA YULE BINTI ...NIMEMKOJOZA KWA MIAKA 15''

AFUUUU ILIKUWA KWENYE HARUSI

MARA GHAFLA DJ. AKALISONGESHAAAA..... THE NDINDIDIII ........THE NDINDINI

WAALIKWA WALILIPUKA KWA KICHEKO MPAKA MAMA MKWE NAE AKACHEKA HAHAHAHA HAHAHAHA EHEHEHE

REST IN PEACE......
 
View attachment 2971055View attachment 2971056

Nimefuatilia Msiba wa huyu Jamaa , Mtangazaji wa Clouds aliyetutoka juzi na kuagwa leo Leaders Club , Leo ndio nimewajua wabongo wanaojiita watu maarufu , yaani kichefuchefu kuliko kichefuchefu cha Waja wazito .

Kila anayekuja anataka watu waache kulia ili wamtazame yeye kwanza , yaani wanajitanua Msibani ! mliona wapi mambo haya ?

Ni ushamba Mtupu !
GT Malala kwenye kifo/msiba wanaoumia na kuhuzunika kiukweli ni ndugu wa karibu sana wa marehemu hasa nuclear family. Wengine hao ni show offs na kuonekana ili kuondoa lawama ili msiba ukiwatokea wasitengwe.
 
Back
Top Bottom