Mwanaumke wa mithali
JF-Expert Member
- Apr 10, 2024
- 464
- 955
😁😁😁😁Hiki kitu ndiyo kiliwafanya mama, dada na mashosti zake kuwa bize sana siku ya msiba wa mzee wangu! Wanawaza watatokelezea vipi??
Ohh hapo vipi nimependeza?? Rangi mbaya, make up imekaa vibaya, tutafute zinazo match! Wanawake bwana! Hapa waislamu walicheza kama pele!
View attachment 2971598