shaaban

  1. Mohamed Said

    Tune Shaaban Salim: Mshindi wa Tuzo ya Nyerere ya Uandishi Bunifu Maktaba

    TUNE SHAABAN SALIM MWANDISHI NGULI NA MSHINDI WA TUZO YA NYERERE YA BURT AMEFIKA MAKTABA Leo nimetembelewa Maktaba na mwandishi Bingwa na Mshindi wa Tuzo ya Nyerere ya Burt inayoshindaniwa na waandishi vijana kutoka Tanzania, Ethiopia, Kenya na Ghana. Amekuja kunipa kitabu chake, ''Posa za...
  2. mdukuzi

    Shaaban Kissu, mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko watangazaji wote nchini, alifuatiwa na Gadner G

    Shaaban Kissu MC wa Taifa ndiye the most paid Radio presenter so far, akiwa TBC Na sasa AMG Analipwa zaidi ya milioni tano kwa mwezi, sababu ya kuwa hivyo inatokana na kuwahi kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya enzi za Kikwete. Kabla ya kutumbuliwa na JPM. Kanuni za utumishi ziko wazi ukipandishwa...
  3. Mohamed Said

    TAMASHA NA KUMBUKIZI YA SHAABAN ROBERT MOROGORO MUSLIM UNIVERSITY

    https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=pfbid02roT6bsp3EkqCv1UXBK1NSZJKUrRUqZj2CSkXDRzCFxzZMntjbYkRf4ZuTXZtzbPol&id=100022121633704&mibextid=Nif5oz
  4. Loran

    Historia ya shaaban Robert

    Shaaban Robert Alizawa (1 Januari 1909 - 22 Juni 1962) alikuwa mshairi na mwandishi wa riwaya. Mchango wake katika lugha ya Kiswahili ni mkubwa kwani kazi zake zinaheshimika katika fasihi ya Kiswahili na pia zinatumika shuleni. Misha yake Shaaban Robert alizaliwa tarehe 1 Januari 1909 katika...
  5. eze malongo

    Naomba kumfahamu vizuri Shaaban Robert

    Ndugu zangu hivi history ya mwandishi nguli hapa Tanzania Shaaban Robert imehifadhiwa wapi? Nimesikia alifanya makubwa sana katika sekta ya Lugha lakini watu hawamuenzi ipasavyo, tasnia ya lugha hamzungumzii kwa lolote licha ya vitabu vyake kufanya vizuri A level secondary lakini ni kama...
  6. Lycaon pictus

    Utubora mkulima by Shaaban Robert

    KUACHA KAZI Baada ya kutoka Burma, siku moja, Utubora alisimama katika ofisi mbele ya tajiri wake kumwambia kuwa alitaka kuacha kazi. Kazi yake ilikuwa ukarani katika ofisi kubwa ya biashara ya karafuu. Mshahara wa Utubora ulikuwa simulizi karibu katika Unguja nzima; ilisemwa pia kuwa uliwatia...
  7. B

    Hon. Omar Said Shaaban, representing the United Republic of Tanzania and the African bloc

    15 June 2022 Geneva,Switzerland Msimamo Tanzania wa kuunga mkono maamuzi ya kuondoa Uzuiaji wa Chakula kutoka Mhe. Omar S. Shaaban, Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda, Zanzibar ambaye ameongoza Ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ambapo ametoa salamu za Mhe. Rais Samia...
  8. Lycaon pictus

    Maisha yangu na baada ya miaka hamsini: Simulizi ya maisha ya Shaaban Robert

    Hii ni simulizi ya maisha ya Shaaban Robert kama ilivyoandikwa na yeye mwenyewe. Fuatana nami uisome hapa, pia unaweza kuisoma bure ndani ya maktaba app (by pictuss) inayopatikana playstore. DIBAJI Ni fahari kubwa kwangu kukaribishwa kuandika maneno machache kuhusu kazi na sifa za marehemu...
  9. H

    Shaaban Djuma kuibukia Berkane?

    Kama taarifa hii itathibitika basi Shaaban Djuma wa AS Vitta Club atakuwa anaelekea RS Berkane ya Morocco. Ikumbukwe hivi majuzi miamba ya Jangwani ilijinasibu kumpata kwa kitita cha shs bilioni moja za Kitanzania. Muda ni mwalimu mzuri.
  10. R

    Kesi George Floyd: Inadhihirisha alivyosema Shaaban Robert kuwa Uanasheria ni elimu ya kupingana na haki

    1. Defense wanajenga hoja, wana create doubt kuwa kwa vile Floyd alikuwa anatumia madawa ya kulevya na alikuwa na magonjwa ya moyo, basi kifo chake kwa kiasi kikubwa kilichangiwa na matumizi ya madawa ya kulevya ma magojwa ya moyo aliyokuwa nayo na siyo kukosa hewa kulikosababishwa na...
  11. B

    Uchaguzi 2020 Mwanasheria Mkuu wa ACT-Wazalendo akizungumzia vitendo vya NEC kukiuka Sheria

    29 Agosti 2020 Mwanasheria Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, aweka hadharani kinachoendelea Pemba. Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Omar Said Shaaban, ambaye anasimamia mchakato wa kuwarejesha wagombea wa chama hicho walioenguliwa, anazungumzia hapa vitendo vya kukiuka sheria...
  12. T

    Nani Bingwa wa Ushairi Tanzania baada ya Shaaban Robert na Kezilahabi?

    Leo ni siku ya ushairi Duniani, Nawapongeza watunzi wote wa ushairi nchini Tanzania, Afrika na duniani kote. Wengi tunamsikia Shaban Robert na Kezilahabi kama watunzi mashuhuri wa Mashairi nchini Tanzania lakini hatukuwahi kuwaona wala kufundishwa nao ingawa kazi zao twazisoma na kuzisikia...
Back
Top Bottom