WeedLiquorz
JF-Expert Member
- May 30, 2022
- 3,686
- 6,240
Salaam, zingatia swali hapo juu.
Ati jamani yani kwanini?
Kwanini mpaka tuhaidiwe au tutishiwe ndo tuamini, kwahiyo tunafanya kwa kuogopa au kwa kushawishiwa?
Mfano: Utaambiwa kuna kuchomwa moto, kuna raha na starehe.
Ebu naombeni ufafanuzi kwa vyovyote unavyoelewa wewe au hata usivyoelewa na wewe tuchanganyikiwe wote.