Marcy
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 1,535
- 3,605
Ni namna gani ya kuishi na kiongozi mwenye lugha ya ukali na matusi katika eneo la kazi
Asiyeshirikisha wengine katika jambo lolote zaid ya kuendekeza ubabe na paniki zisizo na msingi
Kubwatwa muda wote hata kama jambo ni dogo
Asiyependa ushauri kusikiliza watu na kukaa meza moja kupata suluhu
Mjuaji muda wote kujiona yupo sahih hakosei
Kuwa juu ya sheria na mengineyo
Wapendwa tupeane mbinu jinsi ya kuishi na watu wenye tabia kama hizi makazini na kwingineko.
KARIBUNI