Kwanini hawa watangazaji wa TBC FM(zamani) walitumia kauli hizi kipindi wanaondoka TBC FM

Clark boots

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
6,437
5,586
Wakuu,,
Baada ya kufuatilia kwa muda kidogo na kufahamu kuwa Bongo FMradio ya sasa ndio iliyokuwa TBC FM nimejikuta nawaza kwanini watangazaji kama Dijaro Arungu(Baba Mzazi) na Miriam Migomba waliondoka TBC FM kwa kusema Wanaacha kazi Badala ya kusema kuwa wanahama kutoka TBC FM (zamani) kwenda BONGO FM ya Sasa(New Brand).

Kwa kweli walitumia kauli za hovyo kweli tena yule mama chozi likamtoka hali ya kuwa kapigwa na kitu kizito. Sasa hivi wote wako BONGO FM.
 
Hata wabadili jina content ni zile zile low quality
 
Back
Top Bottom