Habari za leo wakuu,
Nasikia watu mtaani wakisema
matumizi ya njia za uzazi wa
mpango kama kuweka vijiti
huchangia wanawake kuwa na
matumbo makubwa,
Je, wataalamu, Kuna ukweli wowote katika hili?
Maake naona kama kuna mfanano kati ya picha ya ujana ya Mwalimu J.K Nyerere na Mwanzilishi wa mtandao wa JamiiForums, Ndugu Maxence Melo
Ni hayo tu. Karibuni tupooze makoo yetu hapa TipTop Bar
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa CCM, chini ya Mwenyekiti wake, ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan, itaendelea kudumisha uhusiano na urafiki wa muda mrefu kati ya Tanzania na Urusi, ukilenga...
Nashindwa kuelewa hawa viongozi huwa wana tumia akili gani katika maamuzi yao.
Msidhani kila mtu anaishi mtumba hapo dodoma muwe mnafanya tafiti za kina kabla ya kuleta hiyo mifumo yenu kwanza.
Mfumo wenu unahitaji angalau 3G au H+ Internet speed ili angalau ufanye vizuri wakati huo kuna...
Usiharakishe kuingia kwenye mahusiano mpaka utakapokutana na mtu sahihi ambaye atakupenda bila masharti.
Jizawadie, pata mtoko wako mwenyewe, na ujijali. Huna haja ya kuwa kwenye mahusiano ili kufurahia maisha yako.
Jambo baya zaidi maishani si kuwa peke yako, bali ni kuishia kuwa na mwenzi...
Taifa la Israel ndiyo msingi wa kanisa. Ukiangalia emblem ya Israel ni kinara cha TAA Saba kama kinavyoonekana hapo
Kwa wale wanaoelewa maandiko, Kanisa LA Mungu limeundwa juu ya msingi wa makanisa Saba.
Makanisa hayo ni efeso, smyrna, pergarmo, thytira, sardi, Philadelphia na leodecea. Hayo...
Habari WanaJamiiforums, Poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Imekuwa kawaida Wanawake kulalamika kwamba wanaume hawaangalii wala kutilia mkazo kikamilifu kuhusu shida zao. Lakini ukweli ni kwamba kuna mambo ambayo wanaume nao wanatamani wanawake wajue baadhi ya mambo:-
|-• Wanaume wengi...
WanaJamiiForums,
Siku za karibuni kumeibuka wimbi kubwa la watu kuwanasibisha viongozi wakubwa wa nchi hasa Mh. Rais Samia na hata Rais aliyetangulia na hela ya bajeti ambayo inatolewa na hazina kuu ya nchi. Hii siyo sawa kabisa kwa maendeleo ya nchi na uwajibikaji.
Hela zinazotoka Hazina...
Based on true story/ based on experience.
Kama ilivyo kwa wanaume wenye vibamia na ma tango, the same kwa wanawake, ni suala la ki maumbile zaidi na kukiko kimazingira period.
Wanaukumbi.
Msikilize Craig Mokhiber, afisa wa zamani wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa, Mkurugenzi wa NY Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu (OHCHR) na mwanasheria wa Kimataifa wa haki za binadamu.
Wafuatao 𝐬𝐞𝐯𝐞𝐧 𝐜𝐨𝐮𝐧𝐭𝐫𝐢𝐞𝐬 wamesitisha ufadhili wa Unrwa kulingana na madai ya...
Hivi karibuni, Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi, alifanya ziara barani Afrika na Amerika ya Kusini, ikiwa ni ziara yake ya kwanza nje ya nchi kwa mwaka 2024. Imekuwa ni desturi kwa Waziri wa Mambo ya Nje ya China kufanya ziara yake ya kwanza ya mwaka mpya katika bara la Afrika, desturi...
Raisi akitokea ukanda wa pwani na visiwani yani mikoa ya Pwani, Dsm na Zenji naona kunakuwa na unafuu sana kwenye Demokrasia kuliko Raisi akitokea mikoa ya bara.
Enzi za Nyerere ilikuwa ni ngumu sana hata kusikia habari zake negative, Hii ilipelekea asifiwe kuzidi uhalisia, nakumbuka watu kama...
Wiki hii huyu Mwanadada Catherine Magige Mbunge wa Viti Maalum CCM ametrend sana kwenye mitandao baada ya kumshambulia Luhaga Mpina kwa tuhuma alizozitaja magige lakini ikavuja hii picha akiwa na Januari Makamba je kuna uhusiano wowote wa hii picha na maneno ya Catherine
UBAKAJI, ULAWITI, UFIRAJI NA USHOGA HAVINA UHUSIANO WOWOTE NA HORMONAL IMBALANCE
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Angalizo: Asome mwenye umri kuanzia miaka 18.
Chini ya hapo awe chini ya uangalizi wa mzazi au mlezi
Kuna majitu ambayo yameshindwa kitabia, kimalezi na sasa yamekubuhu kwenye...
Huwa tunawambia mara kwa mara, kuwa hawa akina Netanyahu hawana uhusiano wowote wa maana na wana wa Israel wa kale.
Hawa ni kizazi cha wasio kizazi cha Yakobo kilichokumbatia utamaduni wa kiyahudi na matokeo yake baada ya miaka mingi kupita wakaanza kuamini kuwa wao ni uzao wa yakobo, Isaka na...
Huku wavaa makobaz uswahilini wanatokwa mishipa kwenye makomwe kwa hasira walizo nazo kwa Israel, sasa Saudi imesema itaendelea freshi na Israel....
====
Saudi Arabia's ambassador to the UK says it is interested in normalising relations with Israel after the war in Gaza, but that any deal...
Wakati Tanzania na China zikitarajiwa kuadhimisha miaka 60 ya uhusiano wa kidiplomasia mwaka 2024, huku zikikubaliana kufanya mwaka huu wa 2024 kuwa wa utalii na utamaduni, nchi hizi mbili kwa sasa zinajivunia kuwa na ushirikiano wa kimkakati, ambao umechangia kwa kiasi kikubwa maendeleo ya...
Ni jambo baya ila naweka pia na wengine wajifunze. Wakati mwingine usitake sana kumridhisha au kumfurahisha mwenzio. Usitake kuvumilia sana tabia ambazo unajua si sawa kwa kigezo cha mapenzi.
Huyu dada nilimkuta na mtoto nikamwambia haina shida nitamlea mtoto. Mumewe alifariki. Lakini kama...
Kama zawadi ya sikukuu ya Krismasi, kuanzia Jumatatu wiki hii yaani tarehe 25, Angola, Gambia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Madagascar, Mali, na Mauritania zimeungana na nchi nyingine 21 za Afrika katika kunufaika na soko la China kwa asilimia 98 ya bidhaa zake kama kahawa, matunda na...
Miaka elfu 7 iliyopita wewe hukuwepo lakini alikuwepo mtu mmoja ambae alikuwa anaishi juu ya ardhi ya uso wa dunia precisely Africa..
Mtu huyo si mwingine ila ni ancestor wako.
Wewe ni mifupa katika mifupa yake. Wewe ni nyama katika nyama zake.
Wewe ni damu yake. Taarifa za mtu huyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.