mtumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kiboko ya Jiwe

    Mtumishi wa umma kutokuwa na gari na nyumba nzuri ni ujinga wake binafsi

    Hii ni kwa tathmini yangu Mimi kama nitakuwa siko sawia mnisamehe. Unakosaje kumiliki gari na nyumba huku una miaka zaidi ya 5 kwenye utumishi wa umma? Jitahidi mtumishi mwakani uachane na Daladala kama wanafunzi. Daladala waachie wanafunzi na machinga
  2. T

    "Wakati watu wanalia kuhusu kikokotoo nilikuwa naona kawaida, sasa nimeona ukali wake" Mtumishi aliyeambulia 10M baada ya kustaafu miaka 33 Magereza

    Mara nyingi tunajiona tuko salama, tunafikiri mabadiliko, kanuni, sheria za kigandamizi zinazofanywa na watawala hazituhusu sisi hasa hawa watumishi wa uma; watu wa magereza, wanajeshi, maaskari police, watumishi wa almashauri, walimu, mahakimu n.k. Hutashangaa kusikia kada hizi zikikemea...
  3. Mwizukulu mgikuru

    Wewe Mtumishi wa serikali au sekta binafsi ......

    Wewe Mtumishi wa serikali au sekta binafsi inakuwaje unapambana au kushindana na jobless... Mimi jobless siijui na sina matumaini na kesho yangu, kwa sababu nikilala nikiamka mipango yangu kichwani na nguvu zangu ndio pesa yangu na mafanikio yangu, Mimi ni Mnyonge tu ..wewe ikifika mwisho mwezi...
  4. 5

    Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Jipimieni!

    Nimemsikia Rais Mama Samia anasema kila mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake akiwambia kikao na Mawaziri wake, sijuwi amemaanisha nini kwamba mawaziri sasa wataanza kugawana rasilimali na mapato? Embu tujielekeze hapa kidogo wale watu wenye taaluma fasihi, Mama kila siku anatoa kamsemo...
  5. Meneja Wa Makampuni

    Uzuri wa Paul Makonda ni kiongozi mwenye Mamlaka popote anafiti kundi kubwa la watu litahamia Arusha sasa

    Watu wa Arusha popote mlipo chuma hiki hapa wakuu. Wakati wenu kupata maendeleo ndio huu. Uzuri wa Paul Makonda ni kiongozi mwenye Mamlaka popote anafiti. Utabiri wangu ni kwamba kundi kubwa la watanzania litahamia Arusha sasa. Anajua kucheza na nafasi yake. Kiukweli Arusha inakwenda kuwa...
  6. Kiboko ya Jiwe

    Ukiwa mtumishi wa umma hakikisha kila wiki unatengeneza fedha sawa na mshahara wako wa mwezi mmoja

    Huu ni ushauri tu kwa watumishi. Kutokana na kupigwa na vitu vizito kichwani kama vile Sheria mpya za kikokotoo, na danadana za ongezeko la mshahara pamoja na serikali kushindwa kukopesha watumishi wake bila riba au kwa riba isiyozidi 5% napenda kuwashauri watumishi wa umma wahakikishe chini juu...
  7. KatetiMQ

    Jinsi ya kuwa "mtumishi wa Mungu"

    Hizi hapa njia za kuwa mtumishi wa mungu na kuukwaa utajiri 1. Jifunze kusema uwongo 2. Jifunze jinsi ya kuchezea akili za watu 3. Jifunze kuvaa suti au gauni jeupe 4. Craim biblia yote juu ya kichwa chako. 6. Tafta kamganga gwiji kakusaidie kufanya mazingaombwe kidogo. 7. Pata...
  8. M

    Mtumishi kuhama kituo cha kazi lakini taarifa zake bado zinasomeka kituo cha zamani

    Habarini za majukumu wana JF, Kuna ndugu yangu ni mwalimu alifanya mchakato wa kuhama kituo cha kazi kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine na kufanikiwa lakini uhamisho wake ni ule wa kimchakato zaidi sio ule wa kufuata procedure za step by step kwenye halimashauri. alipata barua ya uhamisho...
  9. kichongeochuma

    Serikali iache kunyanyasa watumishi, Mfumo wa PEPMIS hauna uhusiano na mshahara wa Mtumishi alioufanyia kazi mwezi mzima

    Nashindwa kuelewa hawa viongozi huwa wana tumia akili gani katika maamuzi yao. Msidhani kila mtu anaishi mtumba hapo dodoma muwe mnafanya tafiti za kina kabla ya kuleta hiyo mifumo yenu kwanza. Mfumo wenu unahitaji angalau 3G au H+ Internet speed ili angalau ufanye vizuri wakati huo kuna...
  10. Z

    Kama mbunge analipwa mshahara kama watumishi wengine kwanini mbunge akistaafu anapewa pesa zote huku watumishi wengine ni 33%?

    Huwa natamani kuelewa vizuri. Sijajua vizuri kama Mbunge analipwa mshahara kila mwezi kwa miaka mitano, lakini ninachofahamu ni kuwa bunge likivunjwa baada ya miaka mitano huwa wanapewa hela nyingi sana, zaidi ya milioni 200 kwamba hiki ni kiinua mgongo. Natamni kujua ni kigezo gani kilitumika...
  11. ndege JOHN

    Mtumishi wa umma zingua yote ila sio kampeni za kitaifa, sensa, uchaguzi na mwenge

    Kwa nchi yetu hakuna mambo ya moto kwa mtumishi kucheza nayo kama hayo niliyoyataja.Yaani fanya yote lewa,fanya umalaya,chezea muda wa kazi,kuwa na nidhamu mbovu hayo yote utaweza kuchukuliwa Poa wakakuacha. Ila aisee usije kujaribu kuipinga serikali kwenye kampeni zake kwa mfano chanjo ya...
  12. D

    Msaada: Mtumishi anayehama kutoka halmashauri kwenda taasisi iliyopo chini ya wizara nyingine

    Hello wana JF, Hivi mtumishi anayehama kutoka Halmashauri kwenda Taasisi nyingine liyopo chini ya Wizara baada ya kuomba nafasi hiyo kupitia AJIRA PORTAL na akaipata, je huyu akienda kuripoti atapata ile pesa ya kujikumu ya siku 14 kama waajiriwa wanaoanza kazi serikalini au yeye atahesabiwa...
  13. D

    Makonda ni kada siyo mtumishi wa umma hastahili kusafishiwa njia na trafiki kwa kufunga barabara

    Habari wadau Inchi yetu haizingatii sheria na maumivu kwa wengine wanaotumia barabara! Makonda ni kada wa chama kama ilivyo vyama vingine vya siasa! Siyo mtumishi wa Umma! Nashangaa sana kuonekana akishurutisha watumishi wa umma kwa kuwahoji pamoja na trafiki kumsafishia njia! Hata kama...
  14. Crocodiletooth

    Je rais kama mtumishi wa umma, hawezi kukopa kwa mshahara wake?

    Nilikuwa naomba kujuzwa hili?, na je kwa mshahara wake kiwango chake cha mkopo kinaweza kufikia kiasi gani kwa kuwa rais huwa na mshahara mnono sana.
  15. K

    Mtumishi wa umma akipata uhamisho wa muda anastahili kulipwa nini!?

    Wakuu kama nilivyoeleza,,mtumishi wa Umma akipata uhamisho wa muda kwenda kufanya kazi sehemu flani atastahili kupata malipo ya namna gani!? Ikipendeza niwekee na waraka au sheria inayoongoza malipo hayo.
  16. chiembe

    Waziri Jerry Slaa, Mtumishi wa Wizara yako akinunua ardhi ikawa na mgogoro, ni kigezo cha kumsimamisha kazi?

    Kidogo nimeshangazwa na habari inayotembea mtandaoni, mtumishi wa wizara ya ardhi anadai kununua ardhi, ardhi ikawa na mgongano na mtu mwingine, je hii ni sababu ya kumsimamisha kazi? Kwamba watumishi wa wizara wakinunua ardhi mitaani, ikawa na mgogoro hata wa mipaka, anasimamishwa kazi? Kwa...
  17. Miss Zomboko

    Mkurugenzi wa Uchimbaji Visima aondolewa kwa kutofika Hanang baada ya Mafuriko

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso amemuondoa kwenye nafasi yake Mkurugenzi wa Sehemu ya Uchimbaji wa Visima na Ujenzi wa Mabwawa, Mhandisi Mashaka Sitta baada ya Mhandisi Sitta kutotimiza vema majukumu yake katika eneo hili muhimu la uchimbaji wa visima na ujenzi wa mabwawa na usimamizi wa mitambo na...
Back
Top Bottom