Wewe Mtumishi wa serikali au sekta binafsi ......

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Oct 21, 2021
4,800
11,244
Wewe Mtumishi wa serikali au sekta binafsi inakuwaje unapambana au kushindana na jobless... Mimi jobless siijui na sina matumaini na kesho yangu, kwa sababu nikilala nikiamka mipango yangu kichwani na nguvu zangu ndio pesa yangu na mafanikio yangu, Mimi ni Mnyonge tu ..wewe ikifika mwisho mwezi unauhakika, wakati mimi mwisho napiga miayo tu....
 
jobless tupo wengi ila kosa lako la mwanzo umejizarau...kosa la pili umeganda hapo hapo toka ulipo...kosa la tatu huzungumzi na nafsi yako(your soul)...kosa la nne kila JAMBO ni fursa yaani hata wewe wengine wanakuona fursa hivyo ulivyo hivyo hawataki uendelee kwa hyo nawe tafuta wanyonge wako mpk cycle ikamilike.

huku unatafuta hiyo kazi ya ndoto yako kama utatamani
 
M

Mbaya zaidi nimewazidi baadhi ya neema waajiriwa hapa ndio kivumb😀😀
 
Wewe Mtumishi wa serikali au sekta binafsi inakuwaje unapambana au kushindana na jobless... Mimi jobless siijui na sina matumaini na kesho yangu, kwa sababu nikilala nikiamka mipango yangu kichwani na nguvu zangu ndio pesa yangu na mafanikio yangu, Mimi ni Mnyonge tu ..wewe ikifika mwisho mwezi unauhakika, wakati mimi mwisho napiga miayo tu....
Mimi ni jobless,baada ya kutafuta kazi sana na Sasa kazi yangu imekua kutafuta kazi,

Naona sasahv nianze kutafuta mume,atakua ananilipa kwa mwezi kwasababu nitampikia,namfulia,namzalia watoto,na vitu vingine vingi 🥰
 
Back
Top Bottom