Mwanzoni mwa mwezi Mei 2024 Rais Xi Jinping wa China amefanya ziara ya kiserikali katika nchi tatu za Ulaya, ziara iliyomfikisha Ufaransa, Serbia na Hungary. Kimsingi ziara za Rais Xi katika nchi hizi tatu zililenga mahusiano kati China na nchi hizo, hata hivyo kilichoonekana kwenye ziara hiyo...
Mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup) kati ya USM Alger ya Algeria dhidi ya RS Berkane ya Morocco umeshindikana kufanyika baada ya wageni RS Berkane kuzikataa jezi walizozikuta kwenye vyumba vya uwanjani wakidai sio zao.
Awali, RS Berkane walidai jezi zao...
Tanzania na Malawi ziko ukingoni mwa mvutano wa Kidiplomasia kufuatia uamuzi wa Tanzania kuboresha Bandari ya Mbamba Bay, iliyoko kwenye mwambao wa Ziwa Nyasa.
Malawi imeilaumu Tanzania kwa kuanzisha mradi wa kuboresha na kupanua Bandari ya Mbamba Bay kwenye Ziwa Nyasa bila kuomba ridhaa, huku...
Wakati Tanzania na China zikitarajiwa kuadhimisha miaka 60 ya uhusiano wa kidiplomasia mwaka 2024, huku zikikubaliana kufanya mwaka huu wa 2024 kuwa wa utalii na utamaduni, nchi hizi mbili kwa sasa zinajivunia kuwa na ushirikiano wa kimkakati, ambao umechangia kwa kiasi kikubwa maendeleo ya...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mara ya kwanza imefanya majadiliano ya kidiplomasia na Serikali ya Finland kwa lengo la kuimarisha, kukuza na kudumisha ushirikiano katika sekta mbalimbali za kipaumbele kwa maslahi ya pande zote mbili.
Pamoja na Tanzania kuwa na uhusiano mzuri na...
Kwa jina la Jamhuri ya Tanzania, ndugu zangu tukemee hili Ruto.
Mara nyingi na kwa muda mrefu sana tunasikia Wakenya wakitangaza Kenya kwa kutumia vivutio vya Tsnzania kuwa ni vyao. Miaka yote tunajuwa ni raia tu na wafanya biashara wa kawaida wa Kenya ndiyo wanafanya hivyo.
Kwa mshangao, leo...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Shirikisho la Urusi nchini, Mhe. Andrey Avetisyan katika ofisi za Wizara Jijini Dododma Leo tarehe 31Mei 2023.
Katika mazungumzo hayo, viongozi hao wamekubaliana...
Ukimya wa Serikali kuhusu raia wake alkyeuawa vitani Ukraine akiwa anapigana upande wa Urusi umezua minong'ono kwenye korido za kidiplomasia za kimataifa.
Kinachosubiriwa na pande kuu za mgogoro wa Ukraine ni tamko la serikali katika kulaani, kudai maelezo au kukemea Urusi.
Haya sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.