Makamura
JF-Expert Member
- May 19, 2022
- 360
- 557
Hizi gari madereva wanajiona kama Viwete Kuwa wanahitaji Special Care, mara kadhaa nimeshuhudia Gari la shule likivuka taa za barabarani bila hata kuchukua tahadhar na ilikuwa inawaka Red.
Madareva wamekuwa rafu sana wa wanafunzi hawa wadogo, magari yanakimbizwa mnoo, hawachukui tahadhari, na pia nadhan wamiliki wanachangia huenda wanawapush kuwah shuke hivyo dereva anakuwa hana jinsi bali kukimbia kama bodaboda
Picha hapa Chini, yan huyu anaona kuna muinuko na kuna magari mbele yeye ana overtake bila hata kujali na pembeni ni Lori, na mtari hauruhusu ku Overtake, hizo dash ni kuruhusu gari kuingia upande wa kushoto kuna njia inachepuka