KWANINI HATUNUFAIKI SANA NA UBUNIFU WA WATANZANIA
Ubunifu Ni uwezo alionao mtu au kikundi cha watu,kuvumbua/kugundua kuanzisha kitu Fulani kipya au cha tofauti chenye kuleta tija kwa jamii. Profesa Bessant ubunifu ni kile unachofikiria nakukifanya unavyotaka, ni kipawa alichonacho mtu.Ubunifu...
Ninaandika haya sio kwa kuponda stlye zetu za kila mwaka za watu kujipanga na likatokea neno labda miaka 60 ya uhuru nadhani vitu hivyo zama hizi za tekenolojia tungeviweka pembeni na tutoe nafasi kwa watanzania wavumbuzi kwenye sherehe hizi kwani itatusaidia kuchochea ukuaji wa tekenojia hapa...
Kwa Maoni yangu GENTAMYCINE ( Rais wa Wapenzi wote wa Bendi ya Wenge Musica BCBG JamiiForums nzima ) japo niliumia sana kwa Bendi hii Kuvunjika na kila Mtu Kuunda Wenge Musica yake yaani JB Mpiana akibakia na Wenge BCBG, Werrason akibakia na Wenge Musica Maison Mere, Adolphe Dominguez akibakia...
Mfano mwaka 2017 Jumuiya ya Afrika Mashariki ilitangaza shindano la Ubunifu wa Nembo yake mpya kwa wabunifu mbalimbali, wa vyuoni na wa mtaani, walitangaza mshindi atapatikana mwaka unaofuata, lakini mpaka leo 2024 hawajabadilisha.
Taasisi nyingine ni TPDC na TARURA
Ilikuwa "mafanikio makubwa katika vita dhidi ya uhalifu wa mtandao", mamlaka ilisema baada ya uvamizi wa mashirika mengi dhidi ya kampuni inayomilikiwa na Wachina.
Kampuni hiyo iliwaajiri Wazambia ambao waliaminishwa walipaswa kuwa mawakala wa kituo cha simu.
Kati ya vifaa vilivyokamatwa...
Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia kupitia Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia inapenda kuwataarifu kuwa dirisha la MAKISATU 2024 liko wazi.
Tunawakaribisha wabunifu wote kuwasilisha maombi yao kupitia link hapo chini.
https://makisatu.costech.or.tz/costech/makisatu
Mwisho wa kutuma...
Kuna mambo ambayo yanachukuliwa kuwa ni ya asili(natural human behavior) kama kula, kulia, kucheka, sex nk nk. Yaani huitaji kufundishwa ndio uvifanye, vinakuja vyenyewe by instinct
Lakini kuna mambo ambayo ni ubunifu tu wa binadamu, mambo hayo yanahitaji ujifunze ili uyajue, hayaji yenyewe by...
Bila shaka miaka ya mapema ya 2000 kuanzia 2000 mpaka 2006 ilikuwa ni kipindi cha mapinduzi makubwa katika muziki wa Afrika Mashariki. Ilikuwa ni zama za ubunifu wa hali juu, ushirikiano wa kikanda, na umaarufu wa kimataifa, mara nyingi ikirejelewa kama "enzi ya dhahabu" ya muziki wa Afrika...
kuna msemo unaotumiwa na ccm ukiwafanya watu wawe maskini watasikia njaa na hiyo njaa itapunguza kufikiri na kuwaza.
Yani hizi tv online za bongo hakuna ubunifu ili mradi tu wakusisitizia ulike na follow tv yao.wakati wengine ukiingia hayo mambo uwezi kukuta ila kilicho andaliwa kitakufanya...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango, amepongeza jitihada za taasisi zote za sekta ya fedha nchini kuhimili vihatarishi vyote vilivyojitokeza na kufanya sekta hiyo kuwa imara na himilivu kwa kuongeza ubunifu na uwezo wa kubadilika kuendana na mazingira...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema Serikali inaendelea kufanya mageuzi ya Elimu, na kuboresha mbinu za ufundishaji kuanzia ngazi za Awali hadi Vyuo Vikuu ili kupata Wahitimu Mahiri kukidhi mahitaji ya soko la ajira.
Waziri Mkenda amesema hayo Februari 26, 2024...
Wanajamvi mambo ni vipi
Uzi huu ni wakuwapongeza watoto wa jangwani.
Binafsi ninafurahishwa na ubunifu wa Ally kamwe wa kuwapa siku wachezaji katika mechi muhimu.
Ally Kamwe ni kijana mwenye akili na anayeweza kuchangamsha mchezo wa kandanda nchini. Hii kitu ya kuwapa wachezaji siku zao...
Wazee wezangu kuna changamoto kubwa katika sekta ya huduma, haswa kwenye ubunifu. Ingawa uchumi unaendelea kukua kwa kasi, sekta ya huduma haijafikia kiwango cha ubunifu kinachohitajika.
Kuchukua mfano wa hali ya hewa ya sasa hivi Dar es Salaam ambayo inakuwa joto sana, ni dhahiri kuwa kuongeza...
Soma vizuri hadi mwisho na ujaze fomu iliyowekwa mwishoni kabla ya mwisho wa mwezi February.
Researchlink International (www.researchlinktz.com) itatoa msaada wa kitaalam wa ku-apply kuongeza uwezekano wa kufaulu.
Kuna fursa nzuri ya kupata fedha kutoka kwa kampuni ya Thiel Foundation. Kampuni...
Huyu RC ameanzisha hii operesheni dhidi ya dada poa. Hakuna jipya na hatofanikiwa kamwe. Yeye si wa kwanza na si wa mwisho.
Hana lolote jipya kwenye hiyo operesheni. Nilichokiona labda kilicho na ubunifu [kwa viwango vyao vya akili] ni badala ya askari kupiga doria kwenye maeneo yenye dada poa...
NAIBU WAZIRI KIHENZILE: KADCO ONGEZENI UBUNIFU ILI KUVUTIA MASHIRIKA YA UWEKEZAJI
Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Kihenzile ameutaka Uongozi wa Kampuni ya Uendeshwaji na Uendelezwaji wa Kiwanja Cha Ndege Cha Kilimanjaro (KADCO) ambao ndiyo waendeshaji wa Kiwanja Cha Ndege Cha Kilimanjaro...
Uchawi na akili ni vitu viwili tofauti. Uchawi ni imani katika nguvu za kiroho au za kichawi, wakati akili ni uwezo wa kufikiri na kuelewa.
Uchawi
Ni imani katika nguvu za kiroho au za kichawi.
Huweza kutumika kwa madhumuni mbalimbali, kama vile kusababisha madhara, kushawishi matukio, au...
Ukitembea tembea huko mitaani hasa vijijini, utawahurumia sana wananchi wenzetu wanavyoishi kwenye hali duni kabisa kimaisha. Naam, namaanisha uduni wa kukosa huduma za msingi kama vile barabara nzuri, maji safi na salama, elimu bora, matibabu bora, mawasiliano ya uhakika, huduma za nishati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.