wachungaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Mungu wa Wayahudi "Yehova" hawezi hatambui Mwanamke kama Mchungaji, Nabii au mtume. Wanawake wanajiita wachungaji au manabii wana mungu mwingine.

    MUNGU WA WAYAHUDI "YEHOVA" hawezi HATAMBUI MWANAMKE KAMA MCHUNGAJI, NABII AU MTUME. WANAWAKE WANAOJIITA WACHUNGAJI au MANABII WANA mungu MWINGINE Anaandika, Robert Heriel Mtibeli YEHOVA kama Mungu wa wayahudi hatambui cheo cha mwanamke kuwa mchungaji, Nabii, au Mtume. Unapozungumzia...
  2. R

    Hivi kwani, wachungaji wa sasa hawawezi kuhubiri au kumwombea mtu bila kumuomba Muumini Sadaka!? tena anakupangia kiasi cha kutoa.

    Hallo wana JF. Nimekuja na hoja binafsi, Kwanini sasa hivi kumeibuka wimbi la wanaojiita wachungaji, pale wanapofanya maombi either kwa njia ya hadhara au kwenye TV au Radio na mitandao ya Jamii, hutanguliza mbele Sadaka ili waweze kukuombea matatizo yako!? Naomba nitoe mfano ili niweze...
  3. M

    Wachungaji wetu mtaendelea kutupumbaza mpaka lini?

    Kumekuwa na wimbi kubwa la wachungaji wanaojinasibu eti wana uwezo wa kutenda miujiza kama vile kuponya watu, nk. Binafsi naona huu ni Utapeli uliokomaa na kuvuka mipaka. Je, Utapeli huu utakomeshwa lini na nani wa kuukomesha?
  4. Eli Cohen

    Kama umeshapita kwa wachungaji na waganga ukiambatanisha sadaka lukuki bila mafanikio, inaweza kuwa wewe binafsi ndio msaada wako mwenyewe

    Ndugu zangu, Huu sio wito au propaganda ya dini. Uwe Mkristo au Muislam, tabu zako unazijua mwenyewe na yule unae hangaika kwenda kwake akuponye wala hafananii na uchungu wako. Tumekuwa msaada mkubwa wa kifedha kwa kununua miujiza na visomo. Niliwahi kusoma comment ya jamaa muislam hapa JF...
  5. tpaul

    Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Mwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali amenukuliwa akitamka maneno hayo na mtandao wa "5newsTZ" "Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa...
  6. Victor Mlaki

    Huduma za mitume na manabii zinapingwa sana na wachungaji kuliko waumini :Uchunguzi unaoendelea

    Licha ya Biblia kuonesha wazi umuhimu wa huduma ya unabii bado huduma hii inapitia changamoto kubwa za ndani kuliko nje. Kutokana na uchunguzi nilioufanya katika makanisa matano ya kiroho katika mikoa miwili (Dar es Salaam na Geita) nimeweza kuona upinzaji mkubwa sana kihuduma kati ya manabii...
  7. Yesu Anakuja

    Acheni kuita Wachungaji na Mapadre “Baba”

    Leo nilikuwa najadili na mke wangu, tukafikia discussion moja, wanawake wengi sana wanapenda kuita wachungaji wao "baba yangu", wanawapa heshima kubwa kuliko hata ile wangewapa waume zao au baba zao. mchungaji au nabii au padre anainuliwa sana, anaonekana yeye ni mtu special sanaaaa, treatment...
  8. DR Mambo Jambo

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe Sasa shughuli inabaki kwetu kama sio Ally bhasi ni Nasibu, maana ndiyo sifa walizotajwa nazo. Nawatakiwa Asubuhi Njema
  9. Kaka yake shetani

    sito sahau mganga, Sheik, Manabii na Wachungaji wameshindwa kuniombea na mpaka leo najiita kaka wa shetani

    Ni ukweli kabisa jina la ID yangu sijawai kuona lolote kwangu ni mekwenda kila mmoja ananiogopa maana kama vitengo vyote na mashuuda yako yamekataa. Kisa cha mganga: nilikwenda kwa mganga sikupata chochote zaidi ya mimi kupambana mwenyewe mpaka yule mwandulami na wababe kujikinga. Kisa cha...
  10. M

    Nimeacha kutoa sadaka baada ya kusikia kauli hii ya mchungaji

    Maneno ya mchungaji yamenivunja sana moyo wa kutoa sadaka. Nimeacha kutoa sadaka kanisani, maneno ya huyu mchungaji yameniumiza sana. Kwamba sadaka ni chakula cha wachungaji. Mungu hana Account ya kuwekewa pesa. wanatuambia Toa fungu la kumi , utabarikiwa!!!!, usipotoa umemuibia Mungu. halafu...
  11. MKATA KIU

    Mchungaji Daniel Mgogo anasema Sadaka zinatolewa hili ziliwe na wachungaji. Mungu hana account ya kupokelea Sadaka, Wachungaji ndio Meno ya Mungu

    Pastor Daniel Mgogo anasema sadaka zinatolewa hili ziliwe na wachungaji, maana Mungu hana account ya kupokelea pesa za sadaka. wachungaji ndio wawakilishi wa Mungu hivyo wana haki ya kuzila sadaka kwa niaba ya Mungu
  12. Yesu Anakuja

    Jihadharini kuabudu wachungaji Wanadamu!

    Kuna imani ilianzia Marekani huko miaka ya 1960s, imesambaa hadi Tanzania, Arusha nimeona wapo na pia DSM na maeneo mengine ya nchi, hii ni imani ya Branhamites, wafuasi wa mtumishi mmoja wa Mungu mkubwa sana aliyeitwa William Marrion Branham. Wengi mtakuwa mmeshawafahamu, wengine wanabandika...
  13. MKATA KIU

    Waislamu kumbukeni kujenga nyumba nzuri ya imamu karibu na msikiti. Pia maimamu na mashehe wawe na mishahara kama wakristo kwa wachungaji

    Habari wadau. Binafsi naishi karibu na imamu wa msikiti mmoja mkubwa tu Temeke. hali yake ya maisha inasikitisha . Nyumba anayoishi na hali yake kiuchumi haiendani na huduma yake anayoitoa msikitini. Waislamu msiwasahau viongozi wenu wa dini. Wakristo wanapojenga kanisa huwa wanajenga na...
  14. Kiboko ya Jiwe

    Wachungaji wengi wa kileo wanapotosha masomo ya ndoa akiwemo pastor Tony

    Ndoa msingi wake ni upendo bila kujali nani ana ajira, ana biashara, ana cheo au hana kitu. Na jukumu kubwa la mwanaume ni kumpenda mke wake(upendo ndani yake kuna wajibu wa kucare umpendaye). Mwanaume ndiye anapaswa kuleta mahitaji yote muhimu kwenye familia yake kwa kadri ya nguvu na akili...
  15. U

    Wakristo wanatoa sana kwa wachungaji kuzidi kwa wahitaji, Waislamu wanatoa sana kwa wahitaji kuzidi kwa mashehe

    Makanisani wakristo wengi wakishatoa sadaka kanisani ndio shughuli imeishia hapo. Ni rahisi sana kuwakuta wachungaji mabilionea wanaotajirika kwa sadaka za waumini lakini kuna waumini wana changamoto zinazoweza kutatulika kwa milioni 10 ila wanaombewa badala ya kusaidiwa, ni kweli makanisa...
  16. D

    Kuna umuhimu wa kusoma falsafa na theolojia kwa wachungaji, vinginevyo ni shida

    Huwezi msikia padre au Askofu wa Katoliki anasema eti yeye hajazaliwa kupingana na Serikali. Maana yake hata serikali ikisema bomoeni makanisa yeye atasapoti tu mana hajazaliwa kupingana na serikali. Ndo mana watu wenye akili kama akina protease lugambwa tangu awe cardinal hajawahi kusema...
  17. M

    Kwanini wachungaji wanasauti za kukoroma wakiongea ila ma Padre wanasauti zao za asili?

    Kichwa cha habari chajitosheleza...! Kwanini wachungaji wanasauti za kukoroma wakiongea ila ma Padre wanasauti zao za asili?
  18. K

    Wachungaji na watu wa dini mbona hili hamsemagi?!!

    Kumbe kuna mtu alimwaga nje na wachungaji hamsemagi😂😂 someni Mwanzo 38:9..!😂🙌
  19. Yesu Anakuja

    Wachungaji wa Kilokole hamuoni hili?

    Naomba kuongea na wachungaji wa kilokole hapa, nadhani hii itapunguza na makelele ya watu kulalamika kuwa mnapiga mno kelele kwenye makanisa yenu. kuna tabia mnazifumbia macho ila sio za Kimungu zimeenea sana makanisani. Mimi ninayeongea ni mlokole, sio wa mitume na manabii, hao huwa nawahesabu...
  20. WeedLiquorz

    Wachungaji, Mitume na Manabii wote pita Huku: Ahadi za utabiri wenu haujatimia.

    Habarini ndugu katika jukwaa, Hongereni kwa uvumilivu kuelekea kuumaliza mwaka na tumshukuru Allah kwa kuturehem sisi. Hawa wenzetu manabii na mitume plus wachungaji katika majukum yao hututabiria baraka kem kem ilihali wao wenyewe hawajua chochote kuhusu kesho, utasikia huu kwaka ni wako...
Back
Top Bottom