Hii mikopo ya simu bora kausha damu, Serikali iiangalie aisee

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
51,706
23,125
Aisee hii mikopo n balaaa inatesa wamama wengi sana ingawa hawajajua

Majuzi nilikuwa napiga kwa shemeji yenu, ana simu mbili, ya kwanza ilibaki nyumbani ya pili piga kimya haipatikani na kaaga anaenda kanisani.

Nikamuuliza aliporudi vipi mbona umezima simu, sio mimi wenye simu zaoo sijalipia hehehee

Nikaamwambia kumbe umekopa mbona ujanjuza, najua umenunua

Mmh sikuwahi jua haya ila mnaojua wenza wenu wamekopa simu, hawa muda wowote na wahanga hawapatikani msije wadhuru mkawahisi vibaya.

Kwa style hii bora kausha damu
 
Yaani mtu akupe bidhaa ya laki 5 mwaka mzima,kumwongezea laki 3 kama riba unaona shida??
Basi komaa tu ulipe hiyo laki 5.

Halafu shemeji yako mzushi simu ya mkopo inapatikana,isipokuwa sms hutumi.
 
Aisee hii mikopo n balaaa inatesa wamama wengi sana ingawa awajajua

Majuzi nilikuwa napga kwa shemeji yenu ana simu mbili..ya kwanza ilibaki nyumban ya pili piga kimya aipatikan na kaaga anaenda kanisan

Nkamuuliza aliporudi vipi mbona umezima simu sio mm wenyesimu zaoo sijalipia hehehee

Nkaamwambia kumbe umekopa mbona ujanjuza najua umenunua

Mmh sikuwahi jua haya ila mnaojua wenza wenu wamekopa simu hawa mda wowote na wahanga hawapatikan msjjewadhuru mkawahisi vibaya

Kwa style hii bora kausha damu
Mnunulie simu
 
Amekudanganya
 
Mnunulie simu
Mkuu nikimnunualia moya Samsung Ao3 wiki karudi analia wamempitia buzz kwenye dirisha...nikamnunulia kitochi nikiendelea atakuwa kausha damu wangu. ..sasa naona aliamua kujìiongeza kavukavu na mkopo loh...
 
Back
Top Bottom