Ikitokea mfungaji bora wamefungana magoli ligi kuu kanuni yake ipo hivi

Aug 29, 2022
50
80
Ikitokea mfungaji bora wamefungana magoli ligi kuu kanuni yake ipo hivi
 
Attachments

  • Snapinsta.app_441160945_989508896508317_4968188894706071926_n_1080.jpg
    Snapinsta.app_441160945_989508896508317_4968188894706071926_n_1080.jpg
    459.4 KB · Views: 4
Kwa hali ilivyo sasa nani anaongoza?
Mpaka sasa
Aziz Ki goal 15 assist 7
Feisal goal 15 assist 7
Ila Azizi Ki kacheza mechi pungufu ya Feisal
Na upande wa magoli ya penati kumbukumbu zangu zinaniambia Aziz Ki ana goli moja la penati ila kwa Feisal zijajua magoli ya penati ni mangapi.
 
Nilikuwa nataka hizo goli za penati tuone, maana ndo kigezo cha kwanza.
 
Feisal atakuwa na bahati sana mwaka huu; alipata magoli matatu ya haraka haraka dhidi ya Kitoyase iliyokuwa na wachezaji wanane tu.

Halafu hawa TFF wanaleta vigezo wakati mashindano yanafikia mwishoni badala ya kuweka vigezo wakati mashindano yanaanza. Ni watu wa wajabu sana hawa; inatakiwa kwa mwaka huu vigezo vile vile vya msimu uliopita ndivyo vitumike, halafu hivi vipya vianze kutumika msimu ujao. Filimbi ya kwanza inapulizwa huku vigezo vyote vikiwa vinajulikana, siyo vinatengenzwa kufuatana na upepo. unekoelekea.
 
Back
Top Bottom