Mwenge wa Uhuru Watua Wilaya ya Mufindi Siku ya Mei Mosi

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
2,038
974
Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile ambaye ni Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge (Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo) leo tarehe 01 Mei, 2023 ameshiriki Mapokezi ya Mbio za Mwenge Wilaya ya Mufindi.

Mwenge wa Uhuru 2023 umezindua miradi mbalimbali inayotekelezwa katika Wilaya ya Mufindi ikiwa ni pamoja na Kuzindua Uhifadhi wa Mazingira na Utunzaji wa vyanzo vya Maji katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mufindi.

WhatsApp Image 2023-05-01 at 12.48.55.jpeg
WhatsApp Image 2023-05-01 at 12.48.54.jpeg
WhatsApp Image 2023-05-01 at 12.48.55(1).jpeg
WhatsApp Image 2023-05-01 at 12.49.00(1).jpeg
WhatsApp Image 2023-05-01 at 12.48.57(1).jpeg
 
Matumizi tu mabaya ya fedha za walipa kodi, raslimali watu, na muda. Nothing more.
 
Muitikio wa Wana wilaya vipi? Wananchi? Naona madogo wa shule tu hapo wamejaa.
 
Back
Top Bottom