watumishi wa umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Watumishi wa umma Zanzibar wapata nauli, wale wa muungano hali ya uchumi haijatulia

    Yawezekana watanganyika wananyonywa hasa na wazanzibar, watumishi wa umma wa muungano wanailisha zanzibar, juhudi zao za kazi, maarifa na jasho linalovuja sio kwa ajili yao tu bali hata kwa watanganyika. Mikopo inayokopwa na wakuu wa muungano sio kwa watanganyika tu bali hata kwa wazanzibar...
  2. S

    Uhamisho kwenye mfumo wa EES kwa watumishi wa umma

    Wadau nimeshafanya uhamisho huu online, status inasoma ALLOWED, kwa waliowahi kufanya uhamisho huu nini kinafuatia baada ya hapo natanguliza shukrani.
  3. Roving Journalist

    Mei Mosi: Dkt. Mpango asema Serikali imepokea hoja ya kuboresha kikokotoo kwakuwa wafanyakazi hawaridhishwi na kanuni zake

    Fuatilia kinachojiri kwenye Maadhimisho ya siku ya Mei Mosi Kitaifa, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha, leo Mei 1, 2024 https://www.youtube.com/live/ou5SjfKQdUs?si=ZGhP6q5GsAM4R5SS Maadhimisho haya yamehudhuriwa na Makamu wa Rais, Philip Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge...
  4. J

    Utumwa wa kazi za Serikali unavyowatesa watumishi wa umma

    Ni raha sana pale unapoanza kazi kwa mara ya kwanza paaa salary hiyoo inaingia kwenye bank acount na kusoma 350k, 400k mara 570k au 700k na nk. Mwanzo mwa maisha ya kazi ni raha na utajihisi kuwa una ubia au undugu mzuri na Serikali, pia utadumisha uadilifu mwingi na unyenyekevu kazini. Sasa...
  5. R

    Watumishi wa umma wakiwemo walimu, simamieni HAKI katika chaguzi zijazo 2024&2025.

    Salaam, shalom!! Leo ni mei mosi, siku pekee na muhimu Kwa wafanyakazi Nchini. Watumishi wa umma wanasherehekea mei mosi katika mazingira magumu, mishahara isiyotosheleza, Kodi kubwa, kukosa motivation wakiwa kazini mf walimu ,kikokotoo Kwa wastaafu, mfumuko wa Bei, nk nk. Kwa kuwa Sheria za...
  6. peno hasegawa

    Leo ni Mei Mosi, tujiulize wote watumishi wa Umma: Ni nani alianzisha "Kikotoo" na ni nani wa kukiondoa?

    Karibuni!! Ila ninahishi CCMhuwa inazalisha tatizo likiwa kubwa wanaliondoa, wanajipongeza kwa kuliondoa.
  7. pombe kali

    Sekta Binafsi tukatwe kodi kidogo. Tusifananishwe na Watumishi wa Umma

    Wasaaalam wana jukwaa, leo katika pita pita zangu za mjini nilienda ofisi moja ya muhimu sana, nikakuta watumishi wako muda wa mapumziko, nilifanikiwa kuchangamana nao na kujadili mawili matatu. Nilimsikia mmoja akisema kwamba amemaliza kusoma na hataki tena (training) ya aina yoyote kwa maana...
  8. peno hasegawa

    Wakuu wa wilaya na Mkesha wa Muungano, watakesha na akina nani? Wasiwasumbue watumishi wa Umma

    Mkesha huu hapa! Utakesha na nani? Ukikesha na watumishi wa Umma, ujiandae kuwapa posho, nauli na chakula. Angalizo.
  9. Kiboko ya Jiwe

    Watumishi wa umma tulionyimwa mshahara wa Machi kwasababu ya PEPMIS tumeumaliza mwezi salama, hatujawa ombaomba

    Hello! Serikali ilikosea sana kutunyima mshahara wa Machi baadhi ya watumishi wa umma kwasababu ya kutokukamilisha PEPMIS. Nikiri kuwa kazini kwetu hakuna aliyepata semina wala kidudu gani, tuliwekewa tu tangazo Whatsapp tujiunge wenyewe. Mimi binafsi niliona simple nikajiunga nikaona mchezo...
  10. R

    Kwa hiki kilichotokea; Watumishi wa umma bora wafe tu

    Mwalimu Nyerere aliwahi kusema watumishi wa umma wasipoweza kuondoa viongozi dhalimu bora wafe tu. Nakubaliana na Mwalimu Nyerere ila najiuliza kama watumishi wa umma ni waoga na wameshindwa kuondoa viongozi dhalimu na kumwachia Rais kazi hiyo peke yake! Kweli tupo tayari kuwanenea kifo...
  11. Kiboko ya Jiwe

    Hii nchi kuna Watumishi wa Umma wanakula raha nyie

    Kuna rafiki yangu anafanya kazi TPA akitokea Taasisi moja ya umma baada ya Uhamisho kukamilika. Si unajua ukiwa na mbuyu unaweza kuhamia popote utakapotaka. Sasa niweke pembeni habari za huyu mtumishi. Yeye ni junior hana maajabu zaidi ya mshahara na posho zake za kawaida. Ila si haba ni pesa...
  12. Stephano Mgendanyi

    RC Mwanamvua MRINDOKO Awataka Watumishi wa Umma Kusimamia na kutunza Mali na Maeneo ya Taasisi za Serikali

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe. Mwanamvua MRINDOKO amewataka watumishi wa umma waliopewa dhamana ya kusimamia taasisi za serikali kutunza mali na maeneo yote wanayoyasimamia ili yasivamiwe. RC Mhe. Mwanamvua MRINDOKO ameyasema hayo katika mkutano wa kusikiliza kero uliofanyika tarehe 05 Machi, 2024...
  13. Kilunguru

    Feedback kwenye mfumo wa ESS

    Huu mfumo ni mzuri sana, Ila sjajua feedback ya huduma tulizoziomba tunazipataje na kwa muda gani, kwa anayejua au alishawahi pewa feedback atupe elimu kidogo.
  14. Stephano Mgendanyi

    Riba za Mabenki kwa Watumishi wa Umma na Sekta Rasmi ni Kubwa Sana, Serikali Iangalie Namna ya Kupunguza Riba kwa Watumishi

    MBUNGE ZAYTUN SWAI: Riba za Mabenki kwa Watumishi wa Umma na Sekta Rasmi ni Kubwa Sana, Serikali Iangalie Namna ya Kupunguza Riba kwa Watumishi "Naomba kutoa pole kwa watanzania wakiwemo wananchi wenzangu wa Mkoa wa Arusha hususani Jimbo la Monduli kwa kuondokewa na mpendwa wetu Waziri Mkuu...
  15. Tate Mkuu

    Tujionee kwanza haya maajabu ya Kikokotoo kwa Watumishi wa Umma

    Unaambiwa Mtumishi wa uuma wa ngazi ya chini aliyefanya kazi serikalini kwa zaidi ya miaka 30. Anapostaafu analipwa 33% tu ya mafao yake. Yaani kama mtumishi hiyo wa umma alistahili kupata milioni 100 kama mafao (kumbuka hii ni pesa yake halali aliyokatwa kupitia mshahara wake kwa miaka yote...
  16. B

    Kuondolewa kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Watumishi wa Umma (PSSSF)

    Tarehe 6/2/2024 lilitolewa tangazo la mabadiliko katika uongozi wa mashirika kadhaa likiwemo hilo lililotajwa hapo juu. Hilo shirika hapo nyuma lilikuwa na historia ya kutofanya vizuri katika majukumu yake mpaka pale ndugu HOSEA KASHIMBA alipoteuliwa kuliongoza shirika hilo. Malalamiko ya...
  17. Liverpool VPN

    Kwa hii serikali kuna kufanikiwa kweli kwa watumishi wa umma bila kuiba?

    INTRODUCTION: Hapa sizungumzii wizi wa fedha au mali za Umma pekee ila nazungumzia wizi wote wa MUDA na FEDHA. Nimekuwa nikiona na kusikia watu wengi sanaa wakiponda juu ya wizi fedha za uma kwa watumishi. Nimekuwa nikiona na kusikia raia wengi sanaa wanalalamika kwamba wakienda ofisi fulani...
  18. M

    Msaada: Uhamisho kwa watumishi wa umma

    Wakuu, habarini, Naomba kupata elimu kidogo naamini humu wataalamu wapo. Je, mtumishi wa umma aliyepewa ruhusa ya kwenda masomoni (mafunzo ya muda mfupi yasiyo zidi mwaka) anaweza kuomba uhamisho kwenda taasisi nyingine ya umma na akahamishwa kwa kipindi ambacho yupo masomoni? Tafadhali...
  19. Kikwava

    Viongozi wetu wa serikali Tunaomba muwapiganie watumishi wa umma wenye Masters/PhD ili waweze kutambulika kimuundo na kimaslahihi

    Hiki ni kilio Cha miaka mingi kwa watumishi wa umma, wamekuwa wakiomba Shahada ya Pili na PhD itambuliwe kimaslahi kwenye Baadhi ya idara bila mafanikio yoyote, huko Tamisemi Tunaomba mlichakate Jambo hili. "Najua hili swala akifikishiwa Rais wetu mpendwa, Dr. SSH, ataagiza lifanyiwe kazi Mapema"
  20. Roving Journalist

    Ridhiwani Kikwete awaasa Watumishi wa Umma kutokuwa na hofu na mfumo mpya wa tathimini ya Watumishi

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma, Ridhiwani Kikwete amesema Mfumo Mpya wa Tathimini ya Watumishi wa Umma (SAU) hauna lengo la kumuondoa kazini ama kuwaonea watumishi wa umma hivyo hawana sababu ya kuuhofia mfumo huo. Kikwete amebainisha hayo leo Desemba, 13, 2023 wakati wa ufungaji...
Back
Top Bottom