millard ayo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fundi manyumba

    TANZIA Zuchi Zuchero, mpiga picha na Mwandishi wa Habari afariki kwa ajali

    """Dah Zuchi, Mungu amlaze mahala pema peponi 🙏 nakumbuka wakati na Show ya #ThePlaylist ikabidi nitafute mtu mkali wa kufanya nae Professional Photoshoot nikakutana na Zuchi kipindi iyo anajitafuta na Studio yake Mwenge ndani ndani! Akawasha midude hatari sana na kutokea apo ikawa kila kazi...
  2. Kaka yake shetani

    Millard Ayo amejifunza nini kwa kilichotokea kwa mfanyakazi wake mpiga picha kufariki

    Nimeangalia clip ikionyesha boda boda wakilalamika kuhusu kukosa msaada muda mrefu kwa majeruhi ambaye ni mpiga picha wa office ya millard ayo. Je amejifunza nini kama nchi yake inaweza kurekebisha yale ambayo wale bodaboda wana lalamika kwenye tukio kuhusu msaada. Pia soma Zuchi Zuchero...
  3. Maghayo

    Huu uvaaji wa Millard Ayo kwenye msiba wa Gardner umenishangaza sana

    Mzuka Wanajamvi! Mwamba bilionea mstaarabu mtangazaji na mwandishi wa habari maarufu nchini Millard Ayo ameniacha hoi na mdomo wazi alivyovaa kwenye msiba wa aliyekuwa mtangazaji wa clouds Gardner G Habash huko Rombo. Mara ya kwanza nilipoiona hiyo picha nilidhani Millard ni mgambo mlinzi wa...
  4. majebsmafuru

    Millard Ayo, kimetokea nini? Mbona umefungiwa Google?

    Ukiingia tu kwenye website ya millardayo.com unakutana na message hii.
  5. F

    Harusi ya Majizzo, Millard Ayo: Vijana matajiri hawapendi kuchezea pesa zao wala kusumbua watu na michango

    Habari wadau, Nimeungwa group la harusi ghafla la kijana mfanyakazi mwenzangu anadai michango ya harusi yake. Nimesoma Bajeti ya harusi yake ni milioni 25. Nikawaza huyu jamaa ni maskini mwenzangu. Anategema ajira na mshahara ni wa kawaida tu. Why ana akili ndogo namna hii ya kuchezea pesa...
  6. Y

    SoC03 Tuwekeze katika tafitizi za kisayansi kama tunataka maendeleo ya nchi na watu

    Tanzania nimiongoni mwa nchi ambazo zinapambana kujikwamua katika umaskini ili kuwa nauchumi wa juu barani africa,katika kufanikisha hayo nilazima kama nchi tuchague kuwekeza katika tafiti za kisayansi hapa kuna njia ya kweli yamafanikio. Tanzania inatumia fedha nyingi sana katika sekta ya afya...
  7. Mcqueenen

    Inawezekana Millard Ayo anaingiza pesa nyingi kuliko Diamond Platnumz?

    Kulingana na vyanzo vya habari, inaonekana kuwa Diamond Platinumz ni mmoja wa wasanii matajiri zaidi nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Hata hivyo, ni muhimu kuelewa kuwa Millard Ayo na Diamond Platinumz wana kazi tofauti na kuzingatia vigezo tofauti linapokuja suala la utajiri...
  8. kyagata

    Sijawahi kuwasikia Millard Ayo au Maulid Kitenge wakiongea Kiingereza

    Hawa jamaa naona wana safari sana za kwenda nje, lakini sijawahi kuwasikia walau wakiongea hata sentence moja tu ya lugha ya kiingereza. Mahojiano wanayoyafanya huko nje huwa ni wanawahoji Watanzania wenzetu tu na lugha inayotumika ni kiswahili kama kawaida. Sasa nilitaka kujua huko nje...
  9. 0ozg Tz

    Millard Ayo kapoteza maboya vijana wengi waliokuwa wanatamani kuwa kama yeye

    Jamaa alijifanya kama kijana fulani ambae mbususu sio inshu sana kwake,hata siku moja hakuwahi kuonekana kuwa na demu ambae watu wangehisi hata kuwa jamaa anatafuna. Jamaa kila siku alkuwa busy kuisaka pesa aendelee kujitajirisha,na vijana wengi sana walitamani kuishi kama yeye yaani unazisaka...
  10. Christopher Wallace

    Tetesi: Millard Ayo afunga ndoa kimya kimya

    Kuna tetesi mjini kuwa Millard Ayo ameamua kufunga ndoa kimyakimya bila kelele wala nini. Na kuna mdau amenambia Millard kwasasa hata hasikiki kwenye kipindi chake cha Amplifaya, pengine kuna ukweli, unampa neno gani Millard?
  11. Kasomi

    Mfahamu Millard Ayo

    Millard Afrael Ayo majina mengine ya utani Muyenjwa Laizer alizaliwa Arusha January 26 1986 akiwa ni mtoto wa kwanza kwenye famili ya watoto wanne ya Afrael Ayo ambae ni mmeru wa Akheri Tengeru, ni mfanyabiashara na mama Mary Ayo ni mwalimu. Baada ya mama yake mzazi kuona uharaka wa uelewa wa...
  12. The Mongolian Savage

    Millard Ayo: Bilionea mstaarabu

    One of the richest bloggers in Africa Forbes ilinukuu. Ukimuona simple tu wa kawaida lakini ana hela ndeefuuu na nyingi sana. Utajiri wake unakadiriwa 3-5 Millions US dollars. Vyanzo vingine vya uhakika na kuaminika vinadai anaweza kuwa na utajiri hata zaidi ya iyo dollar million 5. Ni kwa...
  13. Black Label

    TANZIA Mpiga picha wa Ayo TV, Nellyson Grigery afariki dunia

    Mpiga picha wa AyoTV Kanda ya Ziwa Nellyson Grigery (alievaa shati la kijani) kafariki katika ajali ya gari iliyotokea Kibaha safarini Mwanza kuja Dar. Mwingine aliyefariki ni Mujitaba Yusuf (hayupo kwenye picha) huyu si mfanyakazi wa Ayo TV. Kwenye ajali hio mwandishi wa AyoTV Kanda ya Ziwa...
  14. davejillaonecka

    Clouds FM, Millard Ayo na Diva wamemaliza ugomvi na Diamond Platnumz?

    Hawa ndugu zangu wameanza kuja kwa kasi sana kum - support Diamond Platnumz haswaaa. Deal aliyoi-sign na Warner inazidi kuwafumbua watu. Swali ni: Je, kuna nini kinaendelea au ndo mabifu yamesha sitishwa? Naomba mwenye uelewa na hili jambo anieleweshe.
Back
Top Bottom