TANZIA Mpiga picha wa Ayo TV, Nellyson Grigery afariki dunia

Black Label

JF-Expert Member
Aug 18, 2021
392
465
Mpiga picha wa AyoTV Kanda ya Ziwa Nellyson Grigery (alievaa shati la kijani) kafariki katika ajali ya gari iliyotokea Kibaha safarini Mwanza kuja Dar. Mwingine aliyefariki ni Mujitaba Yusuf (hayupo kwenye picha) huyu si mfanyakazi wa Ayo TV.

Kwenye ajali hio mwandishi wa AyoTV Kanda ya Ziwa (dullahtza) - alievaa t-shirt nyekundu amejeruhiwa na sasa anaendelea vizuri.

Kazi ya mwisho ya Nellyson ni kuchukua picha za video ya interview ya Mtoto wa miaka 9 anaemsaidia Bibi yake Mgonjwa iliipostiwa na Millard Ayo hivi karibuni.

Poleni Millard na wafiwa wote kwa msiba mzito.
Screenshot_2021-08-19-.jpg

Millard.jpg
 
Mpiga picha wa AyoTV Kanda ya Ziwa Nellyson Grigery (alievaa shati la kijani) kafariki katika ajali ya gari iliyotokea Kibaha safarini Mwanza kuja Dar. Mwingine aliyefariki ni Mujitaba Yusuf (hayupo kwenye picha) huyu si mfanyakazi wa Ayo TV...
Wapumzike kwa amani waja wake mola hawa.
 
Mpiga picha wa AyoTV Kanda ya Ziwa Nellyson Grigery (alievaa shati la kijani) kafariki katika ajali ya gari iliyotokea Kibaha safarini Mwanza kuja Dar. Mwingine aliyefariki ni Mujitaba Yusuf (hayupo kwenye picha) huyu si mfanyakazi wa Ayo TV....
Inaonekana alikuwa Mdau wa Yanga SC.
 
Back
Top Bottom