ngano

Martha Ngano was a Rhodesian independence activist of South African origin, active between the 1890s and the 1920s.

View More On Wikipedia.org
  1. Kusena

    Kilimo Cha ngano: Naomba Ushauri, muda Gani mzuri wa kuanza kulima na namna bora ya kulima, changamoto na bajeti yake?

    Habari za siku ndugu wanajamvi. Kama ilivyo katika kichwa Cha thread hapo juu, nataka niende kulima ngano katika wilaya ya Sumbawanga. Naomba Ushauri wenu hapo Kwa wote, ili niingie katika kilimo hiki nikiwa na taarifa muhimu. Karibuni
  2. Habari Leo

    Kero ya wauza maziwa Arusha kuweka maji na unga wa ngano

    Kama kichwa kinavyo jieleza. Hili ni janga la muda mrefu na hali hii inazidi kukomaa hali inayopelekea maziwa kutokuaminika kabisa. Wauzaji kuanzia wafugaji wanao kamua maziwa hadi wenye maduka wanaouza rejareja, wengi wao wanaweka maji ili maziwa yawe mengi na kisha kuweka unga wa ngano ili...
  3. kyagata

    Hivi huko Marekani hawana misosi mingine zaidi ya mikate na jamii ya vyakula vya ngano?

    Nina safari ya kama week mbili huko Boston marekani, nimejaribu kucheki vyakula vyao huko naona wanakula vyakula vyenye ngano zaidi na mimi sio mpenzi wa vyakula vyenye jamii ya ngano. So nauliza wenye experiences za huko, hakuna misosi mingine zaidi ya hiyo kama ugali,wali etc?
  4. Jackal

    Ukraine Kusafirisha Ngano Kwenda China Na Misri Wakati Meli Tano Zikiingia "Black Sea"

    Mytake:Hichi kitendo cha Ukraine kusafirisha ngano bila kuogopa vitisho vya Urusi ina maana sasa rasmi Putin anapuuzwa hata na marafiki zake wa karibu kama China 🤔 ..... https://m.jpost.com/international/article-761179
  5. MK254

    Meli ya pili ya Ukraine iliyosheheni ngano yafika Uturuki salama, Urusi haina kete tena

    Urusi ilikua imebakiwa na kizuizi cha usafirishaji wa ngano ya Ukraine, baada ya kushindwa mbinu zingine zote, sasa haina kingine kilichosalia......labda wabonyeze manyuklia sasa na wao wafutike kwenye uso wa dunia... Second Ukrainian wheat cargo arrives in Istanbul A second cargo ship...
  6. Jackal

    Meli ya Israeli yavunja katazo la Urusi kuzuia Ngano isisafirishwe kutoka Ukraine kupitia Black Sea

    An Israeli merchant ship that embarked from the Port of Ashdod Monday became the first vessel to openly defy Russia’s blockade of the Black Sea since they pulled out of a deal with Ukraine allowing the country to export grain from its ports in mid-July, Ukrainian news outlet Militarnyi reported...
  7. MK254

    Ngano ndio kete aliyokua amesalia nayo Mrusi, haya Ukraine kutumia Croatia

    Baada ya Urusi kuona imeshindikana kwa namna yoyote kuipiga Ukraine, ikaamua kuzuia usafirishaji wa ngano, haya sasa Ukraine na Croatia waingia makubaliano na mlango mpya umefunguka.................. July 31 (Reuters) - Ukraine and Croatia have agreed on the possibility of using Croatian ports...
  8. T

    Angalia jinsi Afrika inavyoitegemea Ukraine na Urusi kwenye mahitaji ya ngano.

    Hii ni picha ya kueleza utegemezi wa nchi za kiafrika kwa Ukraine na Urusi kwenye mahitaji ya Ngano. Ukraine nchi yenye watu milioni 30 inalisha Afrika nzima bara lwnye watu Bilioni 1 na ushee.
  9. Stephano Mgendanyi

    Kushusha Kodi ya Ngano Inayotoka Nje ni Kuifanya Ngano ya Ndani Ikose Soko

    MBUNGE MHE. SANGA - KUSHUSHA KODI YA NGANO INAYOTOKA NJE NI KUIFANYA YA NDANI IKOSE SOKO Mbunge wa Jimbo la Makambako Mkoani Njombe, Mhe Deo Sanga ameiomba serikali kutopunguza Kodi Kutoka 35 Mpaka 10 kwa wazalishaji wa Ngano kutoka nje ya Nchi kwani kufanya hivyo ni kutoa thamani ya Mzalishaji...
  10. Mgalula MzTz

    INAUZWA Measuring tape na mashine ya kukanda ngano

    1. Measuring tape 100m/ 330 feet@ 20,000/= 2. Mashine ya kukanda ngano 2kg @ 40,000/= 3. Selfie stick Mahali- Mbezi kimara mwisho. Contact- 0758 597106
  11. Lycaon pictus

    Ngano ni nafaka hatari sana

    Ngano ni nafaka hatari sana na watz wengi hatufahamu. Tofauti na nafaka zingine kama mahindi, ulezi, mtama na mchele, ngano ina aina fulani ya protin inayoitwa Gluten. Protin hii ndiyo hufanya ngano ikikandwa iwe kama banzoka wakati ukikanda unga wa mahindi hauwi namna ile. Sasa hii protin...
  12. Nyankurungu2020

    Watanzania huu ndio wakati wa kuchuja ngano na Magugu. Wanaoliibia taifa letu wanatamba hadharani. Mbona huu ndio wakati wa kuwakataa

    Tozo za kila namna. Mbona huko nyuma hakukuwa na tozo. Mgao wa umeme. Mbona huko nyuma hakukuwa na mgao wa umeme? Mbona hatuoni miradi mikakakati kama huko nyuma? Huu ndio wasaa wa kuchambua magugu na ngano na kufanya maamuzi.
  13. Shujaa Mwendazake

    Bei ya ngano yapanda juu baada ya mpango wa nafaka wa Bahari Nyeusi kuvurugwa

    Urusi ilisitisha makubaliano hayo baada ya Ukraine kushambulia meli zilizokuwa zikihakikisha usalama wa njia za baharini. Hatima ya ngano iliongezeka kwa karibu 8% siku ya Jumatatu baada ya Urusi kujiondoa kutoka kwa makubaliano ya usafirishaji wa nafaka na Ukraine kufuatia shambulio dhidi ya...
  14. saidoo25

    Kila unachoshika kimepanda bei, ngano elfu 50, simenti elfu 21, Rais Samia tusaidie

    Wananchi wameamua kupaza sauti kulalamikia kupanda kwa gharama za maisha kutokana na kuwepo kwa mkubwa wa bei za bidhaa mbalimbali na kumuomba Rais Samia aingilie kati kuwanusuru.
  15. MK254

    Wanajeshi wa Urusi wamekuwa frustrated hadi wanapiga mabomu kwenye mashamba ya ngano

    Warusi wana hasira kwa kutamaushwa na vita ambavyo vinawagharimu sana, mpaka wanapiga mabomu kwenye mashamba sasa..... Nearly 600 hectares of various sorts of grain have burned down as a result of Russian attacks in the Zaporizhzhia region on Tuesday. "During yesterday’s Russian missile...
  16. BARD AI

    Ni Aibu Afrika Nzima Kutegemea 40% ya Ngano Kutoka Ukraine

    Vita ya Ukraine imesabaisha masuala mengi ikiwemo mahitaji ya vyakula kwa bara la Afrika yajulike kwa udhaifu wake. Kwa mujibu wa ripoti ya BBC iliyochapishwa wiki hii imeonesha Bara la Afrika lenye nchi zaidi ya 55 likitegemea kiasi cha asilimia 40 ya ngano kutoka Ukraine na Urusi. Mpaka sasa...
  17. Nicolaus Trac

    Russia kuiuzia Uganda mafuta kwa bei rahisi, Museveni ataka nafaka na ngano

    WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesisitiza kwamba Russia haihusiki kwa vyovyote vile na ongezeko la bei ya bidhaa muhimu kote duniani, na kwamba taarifa hizo zinaenezwa na nchi za Magharibi ili kueneza chuki dhidi yake. Amesema hayo akiwa Kampala, Uganda katika ziara yake ya...
  18. M

    Ukraine waliingia mkenge: Mkataba wa kusafirisha ngano uliposainiwa walidhani Odesa haitashambuliwa, wakaficha silaha hapo!

    Hatimaye Ukraine na Urusi walifikia makubaliano ya kuruhusu ngano ya ukraine kusafirishwa kwa kutumia bandari ya Odessa. Ukraine walivyoona hivyo, wakaamua kupeleka kwenye bandari hiyo meli iliyokuwa na mitambo ya kurushia makombora ya HIMARS yaliyotoka Marekani. Walifikiri kuwa bandari ya...
  19. Getrude Mollel

    Rais Samia Suluhu amedhamiria kuodoa utegemezi wa ngano kutoka nje

    Tanzania imeandaa mkakati kabambe wa kuondoa kabisa utegemezi wa zao wa ngano kutoka nje ambapo malengo yaliyowekwa hadi ni kufikia uzalishaji wa tani milioni moja ifikapoi 2025. Tanzania huagiza ngano kwa wingi kutoka Urusi na Ukreini ambapo kutokana vita katika nchi hizo, kumepelekea uhaba wa...
  20. Gama

    Uturuki imezuia meli ya Urusi iliyobeba ngano

    Nimeona taarifa hii ya kushangaza kwakuwa niliamini kuwa Uturuki yuko upande Urusi lakini leo hii Serikali ya Uturuki imezuia meli iliyosheheni ngano, yasemekena ngano hiyo iliibiwa Ukraine. Meli hiyo imezuiwa kwa ombi la Ukraine. Najiuliza: Putin hataanza kuirushia makombora Turkey...
Back
Top Bottom