Naombeni mnisaidie jina la msanii au wimbo wa zamani wa mdada uliokuwa na maneno kama haya

Fazzah5x

Member
Aug 10, 2022
56
93
Wakuu naombeni mnisaidie jina la msanii au wimbo ule wa zamani wa mdada wa SOUTH AFRIKA sikumbuk vizuri maneno yake ila kibongo bongo tulikuwa tunaimba pale kwenye kiitikio "tamu sana,aaaii enisi eeh"
 
Sio South Africa ni Congo. Wimbo unaitwa " Muchana" muimbaji kanda bongo man
Yaani kwa jinsi mleta uzi alivojichanganya, na wewe umetembelea mule mule kumsaidia, no worry utakuwa na IQ kubwa
 
Wakuu naombeni mnisaidie jina la msanii au wimbo ule wa zamani wa mdada wa SOUTH AFRIKA sikumbuk vizuri maneno yake ila kibongo bongo tulikuwa tunaimba pale kwenye kiitikio "tamu sana,aaaii enisi eeh"
Namuchana ngaaii.....Kanda Bongoman
 
Wakuu naombeni mnisaidie jina la msanii au wimbo ule wa zamani wa mdada wa SOUTH AFRIKA sikumbuk vizuri maneno yake ila kibongo bongo tulikuwa tunaimba pale kwenye kiitikio "tamu sana,aaaii enisi eeh"
Huu wimbo kwenye graduation ukiusikia unapigwa ujue watu wako kwenye foleni ya msosi
 
Ka
Wakuu naombeni mnisaidie jina la msanii au wimbo ule wa zamani wa mdada wa SOUTH AFRIKA sikumbuk vizuri maneno yake ila kibongo bongo tulikuwa tunaimba pale kwenye kiitikio "tamu sana,aaaii enisi eeh"
Kanda bongo man
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom