Naomba kujua kama online courses serikali ya Tanzania inazi acknowledge kwenye soko la AJIRA

CAMANGA

Member
May 14, 2023
54
259
Naomba kwa mtu anayejua kama hizi course zinatambulika au laa linapokuja swala la kutafuta AJIRA bongo maana nimeona course Fulani zinatolewa na GOOGLE, MICROSOFT,COUSERA,IBM,UDEMY N.K ziko vizuri na certification wanatoa

Je, nikipiga hii course na Cheti nikapata nitatambulika kwenye soko la AJIRA? Au Kuna namna nitatakiwa kufanya?


Msaada hapo wakuu
 
Back
Top Bottom