Niagize gari Afrika Kusini Vs Japan?

Fanya kwanza research, research iwe na:
1. Cost evaluation kuagiza izo sehemu mbili.
2. Gari za SA zimetengezwa wapi? JP na kua assembled SA au full SA kuanzia nati?
3. Options (Accessories): Mfano: Job waliketa gari foani za Toyota from SA zilikua plain sana ndani. Yaani boorish wakati ni 2021 YOM.
4. Cheki kuhusu annual inspection za izo nchi mbili.
5..
 
Africa kusini zipo kwani hizo?

Anyways mimi nakushauri gari chukua south Africa maana kwanza ni karibu so itakuja haraka sana ndani ya wiki moja na siku kadhaa.

Gari za South Africa zimetengenezwa kulingana na mazingira ya afrika so zina ubora wake kidogo.

Gari za South Africa nyingi milage inakuwa chini na nyingi wanauza ni almost mpya.

Ikikupendeza gari yako unaweza kwenda kuifuata mwenyewe ukakague kabisa kabla haujailipia.

Me nakushauri chukua south Africa maana kidogo kuna kaunafuu.
 
Gari za South mileage sio poa
 
Fanya kwanza research, research iwe na:
1. Cost evaluation kuagiza izo sehemu mbili.
2. Gari za SA zimetengezwa wapi? JP na kua assembled SA au full SA kuanzia nati?
3. Options (Accessories): Mfano: Job waliketa gari foani za Toyota from SA zilikua plain sana ndani. Yaani boorish wakati ni 2021 YOM.
4. Cheki kuhusu annual inspection za izo nchi mbili.
5..
Mkuu wewe gari ya south kweli unaijua!! Zipo basic sana, features ambazo japan ni standard, Kwa m south ni optional.
 
Naona ya 2014 au 2015 gharama na hiyo ya 2011 hazitatofautiana sana maana hiyo ya 2011 uchakavu TRA utakua mkubwa ila bei umenunua ndogo ni bora ununue bei kubwa gari ya miaka ya karibuni harafu isiwe na uchakavu kwa hiyo kodi yake itakua imepungua ila imeongezeka kwenye kununua gari nadhani hapa utapata chuma ya karibuni kuliko hiyo ya 2011...
 
Vipi kuhusu usafirishaji wa gari toka Sauz Hali ipoje barabarani? Zimbabwe walivyo na Njaa si itakua jau Sana hiyo route?
 
Kwa kuongezea atakuwa amepeleka pesa nyingi kwenye gari yake mwenyewe maana atakuwa amepata kitu ambacho kipo kwenye ubora wake tofauti na ya zamani ambayo itakuwa unapeleka pesa yote TRA bila faida yoyote.
 
Vipi kuhusu usafirishaji wa gari toka Sauz Hali ipoje barabarani? Zimbabwe walivyo na Njaa si itakua jau Sana hiyo route?
Utachagua wewe ibebwe kwenye kontena au uiendeshe kutoka kule hadi hapa. Sio mbali sana. Sababa tunazungumzia km 3000 so ukiweza unafanya kama joyriding upate muda na gari yako kuzoeana hadi unafika nayo Tz umeshaizoea balaa na ni bonge la vacation.
 
Sio kweli. Gari za South mileage zimesogea kutokana na ukubwa wa nchi Ile. Kupata gari chini ya mileage 100,000kms nadra sana.

Mwaka 2019 niliwahi kununua Toyota Hilux ilikua na mileage 540,000kms
Nadhani inategemea unatafuta gari vipi na kwa nani. Hapa tu mtandaoni nacheki nakutana na gari za 0km nyingi tu, na zingine below 10,000kms.

Nadhani ni kama tu Japan, gari za milage ndogo zipo na za milage kubwa pia zipo ni wewe upekuzi wako. Ila ndio vile tena milage inapokuwa ndogo bei inasimama kishua. Ila ndio unapata gari konki ya kutembelea miaka 30+ huko kama utataka kudumu nayo.
 
SA viwango vyake vya udhubiti ubora vikoje.Japan Haijawa bora sokoni bure bure ni viwango.
Freight ya Japan Dar inaweza kuwa ndogo kuliko SA Japan kutoka a na availability ya Vessels Ndio maana wengine wanaamua kuendesha by road kupitia Tunduma
Unapandishaje gari meli kutokea South Africa mzee? Hapo si unanyoosha goti mwenyewe tu babu.
 
Sio kweli. Gari za South mileage zimesogea kutokana na ukubwa wa nchi Ile. Kupata gari chini ya mileage 100,000kms nadra sana.

Mwaka 2019 niliwahi kununua Toyota Hilux ilikua na mileage 540,000kms
Wewe jamaa kukosea kwako unadhani wote tunakosea aisee magari tunanunua yanakuwa na mileage ndogo sana unanununa gari ina hizo Mileage kabisaa hizo ntanunua labda kwenye Scania sio gari ndogo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom