Kwanini ukatili wa kutisha wa Japan hauzungumzwi sana tofauti na wa Mjerumani katika vita vya pili vya dunia?

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,373
13,133
Katika maisha yangu ya kusoma vita vikubwa vilivyowahi kupiganwa duniani basi vita vya kwanza na vya pili vya dunia haviachi kugusiwa.

Sasa katika kufundishwa kwa vita hivi vikuu vya dunia hasa vita vya pili kuna jambo moja nimegundua.

Jambo lenyewe ni kuwa katika maadui wanao zungumziwa sana basi ni taifa la ujerumani chini ya Hitler ndilo lina zungumziwa sana kwa ukatili na mauaji ya kutisha lakini katika pitapita zangu katika machapisho mbalimbali na historia kuhusu vita hivi nimekuja kugundua kuna adui mmoja wa vita hivi anawekwa nyuma nyuma au anafichwa kabisa naye ni Japan.

Katika chimbachimba zangu nimegundua kuwa Japan alifanya ukatili na mauaji ya kutisha katika vita hivi wenda kuliko hata mjerumani.

Na hata historia ya Japan katika vita hivi kwa kiasi kikubwa inaelezewa pale tu Japan alipo shambulia maeneo ya marekani naye kupigwa nyuklia na kuonekana kama alionewa na marekani na marekani ni mtu mbaya kwa alicho fanya kwa Japan. na kwa asilimia kubwa sehemu ya dunia inaona kama Japan alikosewa sana na marekani.

Ila kiuhalisia Japan alikuwa mshenzi na mtabe hasa kule Asia alikichafua balaah.

Mjapan alikuwa mtu wa fujo kuliko hata wajerumani.

Japan alipiga sana na kutesa, kuua na kubaka, kukata vichwa wachina ile mbaya, piga vibaya wakorea, piga vibaya wafilipino, piga vibaya wavietnam, piga vibaya tesa waindonesia, piga Wathailand, wasingopore.....

Japan alitesa na kuichakaza ile Asia kwa ukatili wake ilifika kipindi askari wa Japan waliingia katika mashindano ya kuua wachina.

Haya ni baadhi ya matukio ya Wajapan WWII

Part of the territorial conquests of the Empire of Japan

Bodies of victims along the Qinhuai River, out of Nanjing's west gate during the Nanjing Massacre
Beheading of Leonard George Siffleet.jpg - Wikipedia
An Australian POW, Sgt. Leonard Siffleet, captured in New Guinea, about to be beheaded by a Japanese officer with a guntō, 1943

Japanese soldiers shooting blindfolded Sikh prisoners and then bayonetting them. Photos discovered after the liberation of Singapore.
Xuzhou, China, 1938. A mass grave filled with bodies of Chinese civilians, murdered by Japanese soldiers.[74] Photo taken in Xuzhou, showing the body of a woman who was raped and killed by Japanese soldiers

Main articles: Unit 731 and Japan and weapons of mass destruction § Bioweapons
A hypothermia experiment, using Chinese prisoners as subjects under surveillance by Japanese soldiers in 731Shirō Ishii, commander of Unit 731

Unit 731 members spraying a noxious substance onto a victim as part of their research

A burial detail of American and Filipino POWs killed during the Bataan Death March, 1942

Australian and Dutch prisoners of war at Tarsau in Thailand, 1943

Japanese soldiers escorting Chinese forced-labour farm workers, 1937

Unaweza kupitia zaidi hapa chini

Kama ambavyo unasikia na kusoma pia kuwa hakuna watu wayahudi hawawapendi kuwasikia hata kuwaona kama Wanazi basi wachina nao hakuna watu wanawachukia hapa duniani kama wajapan.

Wenda sababu ya maovu ya Japan kutokupewa sana headlines ni shambulizi la kunyuklia la marekani na wenda pia sababu alijikita kuua, kutesa na kufanyia kila aina ya ushenzi jamii ya Asia zaidi tofauti na wazungu na wayahudi tofauti na alivyo fanya mjerumani.

Wajapan walikuwa balaah
An article on the "Contest to kill 100 people using a sword" published in the Tokyo Nichi Nichi Shimbun. The headline reads, "'Incredible Record' (in the Contest to Cut Down 100 People) – Mukai 106–105 Noda – Both 2nd Lieutenants Go into Extra Innings".[16] A sword used in the "contest" is on display at the Republic of China Armed Forces Museum in Taipei, Taiwan

  • Photo in the album taken in Nanjing by Itou Kaneo of the Kisarazu Air Unit of the Imperial Japanese Navy

  • A picture of a dead child. Probably taken by Bernhard Sindberg
    A picture of a dead child. Probably taken by Bernhard Sindberg

  • Prisoners being buried alive[93]
    Prisoners being buried alive[93]

  • Skeletons of the massacre's victims

A Chinese POW about to be beheaded by a Japanese officer using a shin-guntō

Bodies of Chinese massacred by Japanese troops along a river in Nanjing

Original caption by John Magee: "This nineteen year old woman was a refugee at the American School in the Refugee Zone. She was six and one-half months pregnant with her first child. She resisted rape and was therefore stabbed many times by a Japanese soldier. She has nineteen cuts on her face, eight on her legs, and a cut two inches deep in her abdomen. This caused a miscarriage the day after her entrance into the University Hospital. She recovered from her wounds."

A boy killed by a Japanese soldier with the butt of a rifle, reportedly because he did not take off his hat

Massacre contest​

Main article: Contest to kill 100 people using a sword
In 1937, the Osaka Mainichi Shimbun and its sister newspaper, the Tokyo Nichi Nichi Shimbun, covered a contest between two Japanese officers, Toshiaki Mukai and Tsuyoshi Noda of the Japanese 16th Division. The two men were described as vying to be the first to kill 100 people with a sword before the capture of Nanjing. From Jurong to Tangshan (two cities in Jiangshu Province, China), Mukai had killed 89 people while Noda had killed 78. The contest continued because neither had killed 100 people. By the time they had arrived at Zijin Mountain, Noda had killed 105 people while Mukai had killed 106 people. Both officers supposedly surpassed their goal during the heat of battle, making it impossible to determine which officer had actually won the contest. Therefore, according to journalists Asami Kazuo and Suzuki Jiro, writing in the Tokyo Nichi Nichi Shimbun of December 13, they decided to begin another contest to kill 150 people.[46

Original caption by John Magee: "This is the corpse of a boy about seven years old who died three days after his admission into the University Hospital. He had received five bayonet wounds in the abdomen, one of them perforating the stomach."

Photo taken in Xuzhou, showing the body of a woman who was profaned in a way similar to the teenager described in case 5 of John Magee's film Case 5 of John Magee's film: on December 13, 1937, about 30 Japanese soldiers murdered all but two of 11 Chinese in the house at No. 5 Xinlukou. A woman and her two teenaged daughters were raped, and Japanese soldiers rammed a bottle and a cane into her vagina. An eight-year-old girl was stabbed, but she and her younger sister survived. They were found alive two weeks after the killings by the elderly woman shown in the photo. Bodies of the victims can also be seen in the photo.[47][48]

Hawa masamurai walikuwa shida huko nyuma Asia walisaga meno
main-qimg-94db4ff9c167784488d7de6989f456f0.jpg

Kama unazungumzia ukatili basi Japan walikuwa top kipindi hiyo. Hatari sana hawa masamurai.
 
Katika maisha yangu ya kusoma vita vikubwa vilivyowahi kupiganwa duniani basi vita vya kwanza na vya pili vya dunia haviachi kugusiwa.

Sasa katika kufundishwa kwa vita hivi vikuu vya dunia hasa vita vya pili kuna jambo moja nimegundua.

Jambo lenyewe ni kuwa katika maadui wanao zungumzia sana basi ni taifa la ujerumani chini ya Hitler ndilo lina zungumzia sana kwa ukatili na mauaji ya kutisha lakini katika pitapita zangu katika machapisho mbalimbali na historia kuhusu vita hivi nimekuja kugundua kuna adui mmoja wa vita hivi anawekwa nyuma nyuma au anafichwa kabisa naye ni Japan.

Katika chimbachimba zangu nimegundua kuwa Japan alifanya ukatili na mauaji ya kutisha katika vita hivi wenda kuliko hata mjerumani.

Na hata historia ya Japan katika vita hivi kwa kiasi kikubwa inaelezewa pale tu Japan alipo shambulia maeneo ya marekani naye kupigwa nyuklia na kuonekana kama alionewa na marekani ni mtu mbaya kwa alicho fanya na kwa asilimia kubwa sehemu ya dunia inaona kama Japan alikosewa sana na marekani.

Ila kiuhalisia Japan alikuwa mshenzi na mtabe hasa kule Asia alikichafua balaah.

Mjapan alikuwa mtu wa fujo kuliko hata wajerumani.

Japan alipiga sana na kutesa, kuua na kubaka, kukata vichwa wachina ile mbaya, piga vibaya wakorea, piga vibaya wafilipino, piga vibaya tesa waindonesia, piga Wathailand, wasingopore.....

Japan alitesa na kuichakaza ile Asia kwa ukatili wake ili fika kipindi askari wa Japan waliingia katika mashindano ya kuua wachina.

Haya ni baadhi ya matukio ya Wajapan WWWII

Part of the territorial conquests of the Empire of Japan

Bodies of victims along the Qinhuai River, out of Nanjing's west gate during the Nanjing Massacre
File:Beheading of Leonard George Siffleet.jpg - Wikipedia
An Australian POW, Sgt. Leonard Siffleet, captured in New Guinea, about to be beheaded by a Japanese officer with a guntō, 1943

Japanese soldiers shooting blindfolded Sikh prisoners and then bayonetting them. Photos discovered after the liberation of Singapore.
Xuzhou, China, 1938. A mass grave filled with bodies of Chinese civilians, murdered by Japanese soldiers.[74] Photo taken in Xuzhou, showing the body of a woman who was raped and killed by Japanese soldiers

Main articles: Unit 731 and Japan and weapons of mass destruction § Bioweapons
A hypothermia experiment, using Chinese prisoners as subjects under surveillance by Japanese soldiers in 731Shirō Ishii, commander of Unit 731

Unit 731 members spraying a noxious substance onto a victim as part of their research

A burial detail of American and Filipino POWs killed during the Bataan Death March, 1942

Australian and Dutch prisoners of war at Tarsau in Thailand, 1943

Japanese soldiers escorting Chinese forced-labour farm workers, 1937

Unaweza kupitia zaidi hapa chini

Kama ambavyo unasikia na kusoma pia kuwa hakuna watu wayahudi hawawapendi kuwasikia hata kuwaona kama Wanazi basi wachina nao hakuna watu wanawachukia hapa duniani kama wajapan.

Wenda sababu ya maovu ya Japan kutokupewa sana headlines ni shambulizi la kunyuklia la marekani na wenda pia sababu alijikita kuua, kutesa na kufanyia kila aina ya ushenzi jamii ya Asia zaidi tofauti na wazungu na wayahudi tofauti na alivyo fanya mjerumani.

Wajapan walikuwa balaah
An article on the "Contest to kill 100 people using a sword" published in the Tokyo Nichi Nichi Shimbun. The headline reads, "'Incredible Record' (in the Contest to Cut Down 100 People) – Mukai 106–105 Noda – Both 2nd Lieutenants Go into Extra Innings".[16] A sword used in the "contest" is on display at the Republic of China Armed Forces Museum in Taipei, Taiwan

  • Photo in the album taken in Nanjing by Itou Kaneo of the Kisarazu Air Unit of the Imperial Japanese Navy

  • A picture of a dead child. Probably taken by Bernhard Sindberg
    A picture of a dead child. Probably taken by Bernhard Sindberg

  • Prisoners being buried alive[93]
    Prisoners being buried alive[93]

  • Skeletons of the massacre's victims

A Chinese POW about to be beheaded by a Japanese officer using a shin-guntō

Bodies of Chinese massacred by Japanese troops along a river in Nanjing

Original caption by John Magee: "This nineteen year old woman was a refugee at the American School in the Refugee Zone. She was six and one-half months pregnant with her first child. She resisted rape and was therefore stabbed many times by a Japanese soldier. She has nineteen cuts on her face, eight on her legs, and a cut two inches deep in her abdomen. This caused a miscarriage the day after her entrance into the University Hospital. She recovered from her wounds."

A boy killed by a Japanese soldier with the butt of a rifle, reportedly because he did not take off his hat

Massacre contest​

Main article: Contest to kill 100 people using a sword
In 1937, the Osaka Mainichi Shimbun and its sister newspaper, the Tokyo Nichi Nichi Shimbun, covered a contest between two Japanese officers, Toshiaki Mukai and Tsuyoshi Noda of the Japanese 16th Division. The two men were described as vying to be the first to kill 100 people with a sword before the capture of Nanjing. From Jurong to Tangshan (two cities in Jiangshu Province, China), Mukai had killed 89 people while Noda had killed 78. The contest continued because neither had killed 100 people. By the time they had arrived at Zijin Mountain, Noda had killed 105 people while Mukai had killed 106 people. Both officers supposedly surpassed their goal during the heat of battle, making it impossible to determine which officer had actually won the contest. Therefore, according to journalists Asami Kazuo and Suzuki Jiro, writing in the Tokyo Nichi Nichi Shimbun of December 13, they decided to begin another contest to kill 150 people.[46

Original caption by John Magee: "This is the corpse of a boy about seven years old who died three days after his admission into the University Hospital. He had received five bayonet wounds in the abdomen, one of them perforating the stomach."

Photo taken in Xuzhou, showing the body of a woman who was profaned in a way similar to the teenager described in case 5 of John Magee's film Case 5 of John Magee's film: on December 13, 1937, about 30 Japanese soldiers murdered all but two of 11 Chinese in the house at No. 5 Xinlukou. A woman and her two teenaged daughters were raped, and Japanese soldiers rammed a bottle and a cane into her vagina. An eight-year-old girl was stabbed, but she and her younger sister survived. They were found alive two weeks after the killings by the elderly woman shown in the photo. Bodies of the victims can also be seen in the photo.[47][48]

Hawa masamurai walikuwa shida huko nyuma Asia walisaga meno
View attachment 2961902

Kama unazungumzia ukatili basi Japan walikuwa top kipindi hiyo. Hatari sana hawa masamurai.
Asante Kwa taarifa ngoja nizipitie kwa umakini!!
 
Sijui kwa nini Japan hawapewi heshima Yao ya ukatili na ubabe.

Kama Japan asingeishambulia Marekani na kuruhusu mgogoro wake na Marekani uishe kwenye meza ya mazungumzo basi Leo tungekuwa na Superpower Wawili Japan na Marekani tu, China ingekuwa huko Tibet na ndogo Kama Taiwan.

Watu hawampi Japan heshima inayostahili Japan aliwapiga hawa Akiwa peke yake.

1. Russia
2. China
3. Korea
4. Taiwan (Fermosa)
5. Ufilipino
6. Malaysia
7. Indonesia
8. Australia Na Pacific yote

Hawa wote sio wenyeji tu na Wakoloni, Kuanzia Uingereza, Waholanzi n.k

Huyo China ndio alikula kipigo cha mbwa koko.

Kwa jinsi Japan alivokuwa mpole hivi namsihi Iran asijeingia mkenge wa vita na Israel na Marekani
 
Wajapan walikuwa watabe haswa
 
Mjapani alikuwa tishio sana sema lile Bomu la Nuclear liliwazima kabisa wakaona watulie

Yaani kile kizazi cha japan wale wahuni waliokuwa wanasumbua vita kuu ya pili ukisema uwarudishe leo washuhudie ndugu zao walivyotulia wanaweza kuwachapa makofi

Japan walikuwa na jeshi la ajabu yaani ukienda vitani lazima kujitoa muhanga adui afe, zile ndege za kamikaze zilikuwa marubani wanatarget sehem ya adui wanazigongesha kujitoa muhanga majamaa yalikuwa ni nuksi vibaya

Hapo Asia kulikuwa hakuna wa kumtandika japan kawachapa kama wote, inshort kama japan asingepigwa na mmarekani yale makombora leo hii huenda hapo Asia angekuwa na jeshi tishio yaani Huyo kiduku asingekuwa anathubutu kurusha makombora gake kwenye bahari ya Japan

Japan kilichomharibu ni kucheza na mmarekani yaani katika kosa kubwa ambalo alilifanya ni kwenda kuivamia ardhi ya marekani Direct kitu ambacho hakijawahi tokea alafu akauwa mamia ya wanajeshi na wananchi wa marekani watu kama 2500 walikufa pale

Hapo ndio mmarekani akamtandika na yale mabomu ya Nuclear alafu Japan akasurender, na baada ya kusurender mkataba ulimtaka kutolewa meno kwa jeshi lake lote na akakubali kuwa chini ya uangalizi wa marekani ndio maana hadi leo Jeshi la japan ni kama la wajerumani waliwekewa limit hakuna kuvuka sababu wanajulikana ni watata

Ila Wajapan wa leo na wajerumani waleo ni watu wastaharabu kupindukia yaani ukienda kuishi japan ni moja ya nchi zenye watu waaminifu na wastaharabu sana utasema ni vizazi viwili tofauti na wale ndugu zao
 
hata leo japan si wa mchezo kbs
hawapend kujitangaza kama China ila kijeshi China asijichanganye kbs
Umetumia hisia, mhemko, ushabiki, papara na uharaka! Kama unapenda kujifunza na kujielimisha kuhusu siasa za dunia mara baada ya kumalizika vita ya pili ya dunia pitia maandiko mbalimbali hasa kuhusu Japan!

Ukweli ni kwamba Mjapani alipunguzwa nguvu zote za kijeshi kama unavyomuona Mjerumani! Yaani wameruhusiwa kuwa na nguvu za kiuchumi na siyo kijeshi!

Kuhusu Japani:

Occupation and Reconstruction of Japan, 1945–52​

After the defeat of Japan in World War II, the United States led the Allies in the occupation and rehabilitation of the Japanese state.

In a series of wartime conferences, the leaders of the Allied powers of Great Britain, the Soviet Union, the Republic of China, and the United States discussed how to disarm Japan, deal with its colonies (especially Korea and Taiwan), stabilize the Japanese economy, and prevent the remilitarization of the state in the future.

Ni kweli katika watu waliokuwa na Roho mbaya sana ya kikatili na ubaguzi katika karne iliyopita ni JAPANESE, kwasababu Wajapan pia walikuwa na nia ya kuitawala Dunia na hawajawahi kutawaliwa kabisa na any European power

Wajapan wana IQ kubwa sana mpaka leo so walikuwa wagunduzi wa vifaa vya kijeshi tangu awali...hata kabla China haijafunguka macho

Kinachofanya Ujerumani izungumzwe zaidi ni kwasababu wao ndio waliokuwa waanzilishi wa vita vya pili vys dunia, kwa hakika bila Ujeruman na hususan Adolf Hitler WWII isingetokea

Kuna Mjapan aliitwa "WATANABE" yaani Mmarekani na Muitaliano hatakaa amsahau huyu katili wa Wazungu
 
Back
Top Bottom