ukombozi

Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) is a political party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Webabu

    Vita vya Gaza ndio vinahitimisha ukombozi wa kifikra kwa walimwengu wote.

    Uonevu,ubabe na udanganyifu pamoja na woga wa baadhi ya watu kwa binadamu wenzao ambavyo vimeoneshwa tangu mwanzo wa vita hivi hakuna shaka kutaleta mabadiliko ya maana kwa dunia nzima. Kwa nje na kwa akili za kibinadamu kuna watu wanadhani Hamas na wenzao ndani ya Palestina wameshindwa.Kiundani...
  2. K

    SoC04 Elimu ni Ukombozi

    Taifa lolote lile Ili liweze kuendelea halina budi kuimarisha sekta ya Elimu Kwani ndiyo ukombozi wa binadamu na uchumi kwa ujumla. Tunaposema kuimarisha sekta ya Elimu inatakiwa kupata na kuwaandaa walimu Bora vyuoni,mitaala inayoendana na wakati uliopo Karne ya 21. Tukianza na mitaala jinsi...
  3. B

    Uturuki: Tutaendelea kusimama na HAMAS katika vita vyao vya Ukombozi!

    1. Rafiki wa kweli hujulikana wakati wa dhiki: 2. Hii itakuwa habari mbaya mno kwa wasayuni wote kuanzia Tell Aviv, hadi Buza pande za kwa Mpalange huko. 3. Mwizi ni mwizi tu huyo ni wa kusema naye siku zote na popote atakapoonekana! 4. Ngoja tumsubiri mwenye mpango wake wa kuifuta...
  4. B

    Dar es salaam Mecca ya vyama vya ukombozi, pia jiji la mapigano baina ya vyama hasimu vya ukombozi Afrika ya Kusini

    MAKALA SEHEMU YA KWANZA: TANZANIA ILIPOKUWA MAKAO MAKUU YA VYAMA VYA UKOMBOZI NA CHANGAMOTO ZAKE MWAKA 1959 CHAMA CHA MRENGO MKALI PAC PAN AFRICANIST CONGRESS https://m.youtube.com/watch?v=k9CSA0eN00s Mnamo 1959 Walioamini kuwa Afrika ya Kusini ni Kwa Waafrika siyo nchi mchanganyiko...
  5. B

    CHADEMA kukosa neno, utawala wa Sheria Migomo Marekani; ni Pigo kwa Chama, na pia kwa Ukombozi!

    1. Kwamba kinachoendelea Marekani ni jitihada za Serikali ya huko kupinga haki ya watu kujieleza?! 2. Kutokuheshimiwa huku kwa wazi kwa misingi ya kawaida kabisa ya utawala wa sheria, ni wa kulaaniwa vilivyo na kila mtu na hasa mtanzania aliye mzalendo. 3. Kwamba CHADEMA chama tegemeo kwa...
  6. L

    Tetesi: Lissu kuhama CHADEMA muda wowote kuanzia sasa

    Ndugu zangu Watanzania, Habari ni kuwa ndugu Lissu anatarajia kuondoka na kuihama CHADEMA muda wowote kuanzia sasa.hii ni baada ya kutoridhika na mwenendo na aina ya siasa zinazoendeshwa na ndugu Mbowe. Lissu anaamini kuwa masuala mbalimbali ambayo CHADEMA inayahitaji hasa suala la katiba mpya...
  7. mdukuzi

    Hayati Mwinyi alivyomgomea Mwalimu Nyerere kuondoa jina lake ili Salim awe Rais 1985, ikawa ukombozi kwa Watanzania

    Kama kuna kitu kizuri mzee wetu Ruksa alikifanya ilikuwa kumgomea mwalimu Nyerere kuondoa jina lake kwenye mchakato wa Urais 1985. Ilikuwa hivi: Mwalimu alikuwa na marafiki watatu kule zanzibar, Thabit Kombo, Salim A. Salim na Aboud Jumbe ambaye alikuja kulikoroga wakawa maadui kisa kutaka...
  8. R

    Wananchi wafuta majina ya akina halima Mdee kwenye kumbukumbu za wana ukombozi na wapigania uhuru.

    Kupotea kwa Halima Mdee na wenzake katika siasa za jukwaani na kwenye mitandao kumetokana na kufutwa kwenye list ya wapigania uhuru Leo hawa wanasiasa pamoja na uwezo wao mkubwa wa akili hawana mchango wowote kwa Taifa. Wamebaki kimya hakuna anayewaalika wala kuwashirikisha jambo lolote la...
  9. Kamanda Asiyechoka

    Mikakati itakayofanya CHADEMA yetu iwe chama cha umma cha ukombozi

    Mbowe kuondolewa madarakani kwa nguvu. Matumizi ya pesa za umma kuwekwa wazi. Na pesa kutumiwa kwa nia thabiti ya kuig'oa CCM madarakani. Chawa Mbowe akina T. Mwaipwaya na yule dogo wa Mwanza Pambalu wag'olewe. Wapo kujaza matumbo tu. Lissu awe katibu mkuu.
  10. Damaso

    Mfahamu Pata Seca: Kutoka kuwa Mbebesha Mimba mpaka Alama ya Ukombozi

    Habarini Wanajukwaa! Uzalishaji wa watumwa ulikuwa ni jambo la kawaida sana kutokea haswa kuanzia miaka ya 1619, jambo hili lililotokea huko Marekani, ambapo wamiliki wa watumwa wangezalisha Waafrika waliokuwa watumwa kwa madhumuni ya kuongeza thamani yao ya kiuchumi kama sehemu ya utendaji wa...
  11. Pascal Mayalla

    Lile fupa lililowashinda marais wanaume 4, rais mwanamke 1 aligegeda kama mlenda!. Miswada 3 ya ukombozi mpya wa taifa letu yatua bungeni asubuhi hii

    Wanabodi Bandiko hili ni utangulizi wa mabandiko haya Pongezi Rais Samia, Serikali, Kukubali Kubadili Sheria ya Uchaguzi, Tume Huru ya Uchaguzi!. Tuanze na Katiba Kwanza Ndipo Sheria Au?. Je, kuna kazi za kike na za kiume? Fupa hili lililowashinda wanaume wanne, mwanamke mmoja ataliweza...
  12. Webabu

    Wakati Netanyahu atumia mistari ya biblia kuhalalisha vita ndani ya Gaza, Erdogan asema Hamas ni chama cha ukombozi wa Wapalestina

    Tuombe waungaji mkono wa Israel wakubali kusitisha vita haraka kwani dunia inaelekea kuwa nyeusi kutokana na vita vitakavyoleta majonzi kwa kila mtu. Hali hiyo imedhihirika katika kuchanganyikiwa kwa viongozi wa Israel,Marekani na Uiengereza na kushindwa kutambua kuwa wao ni watawala tu wa nchi...
  13. Mohamed Said

    Kituo Cha Ukombozi wa Bara la Afrika

    https://youtu.be/9wacS4y7IBY
  14. B

    Ukombozi dhidi ya CCM utapatikana na wanaharakati sio na wanasiasa

    Ni jambo la kheri kuwa wanaharakati na wanasiasa hatimaye wametengana na kila mmoja anapambana na hali yake. Kuvunjika kwa koleo sI mwisho wa uhunzi. Kwani hata nini cha mno kilipatikana tokea miaka 90 hadi leo kwenye muunganiko wa makundi haya? Hadithi zile zile za kuibiwa chaguzi na kutendewa...
  15. Kamanda Asiyechoka

    Wapinzani tutumie mbinu gani kuwang'amua wapinzani feki na vibaraka wa CCM ambao wametukwamisha kupata ukombozi

    Tunakwamishwa na vibaraka wachumia matumbo yao kupitia siasa. Inatakiwa kuwatambua mapema na kuwakataa kwa manufaa ya ukombozi wa Mtanzania. Wametufanya sisi kama Mazumbukuku bana.
  16. B

    CCM izisikie sauti hizi za ukombozi

    Hali si hali. Sauti za kudai haki na usawa hizi siyo za kupuuza tena: Kwa hakika tumedhamiria mno. "Hamna uchaguzi mkuu bila tume huru." Ikawaingie vyema akilini. Ipo tofauti kubwa baina ya kutoshiriki uchaguzi na uchaguzi kutokuwapo. Busara na ikawaingie ma CCM wahafidhina hawa kabla...
  17. Erythrocyte

    Freeman Mbowe atoa shukrani za dhati kwa Wananchi wote wanaoendelea kuchangia Oparesheni 255, aahidi Ukombozi

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, akitoa tathmini kutokana na Oparesheni Kabambe ya 255 KATIBA MPYA, iliyotiwa kachumbari ya OKOA BANDARI ZETU, ametumia wasaa huo pia kuwashukuru Wananchi wote waliochangia michango yao ya hali na mali ili kuwezesha Oparesheni hiyo. Ujumbe wake huu hapa...
  18. The Burning Spear

    Harakati za Ukombozi na utetezi wa mtu mweusi huko Marekani zilifanyika Kanisani. CCM acheni kupindisha Mjadala wa Bandari

    Kamwe huwezi kuwazuia Viongozi wa dini kukemea maovu hasa pale serikali inapokuwa na moyo mgumu na usio kuwa na huruma kwa wanchi wake. Kilichofanywa na kanisa Katoliki ni kutimiza wajibu wao wa kichungaji na hakuna tatizo lolote. Kanisa halijaanza leo kuwakalipia wanasiasa wa hovyo. Leo hii...
  19. Mama Amon

    Teolojia ya Ukombozi wa Rasilimali za Watanzania Wanyonge Dhidi ya Wageni: Tamko la Maaskofu wa TEC juu ya Bandari zetu limegonga penyewe!

    I. UTANGULIZI Aya ya 19(2) katika Katiba ya Tanzania (1977) inaizuia serikali kujitenga na ubaguzi wa kidini na kuhimiza usawa wa kidini kwa kutumia maneno ifuatayo: "Bila ya kuathiri sheria zinazohusika za Jamhuri ya Muungano, kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza dini itakuwa ni...
  20. jamesandrew

    Afrika katika uasi: Je, ukombozi wa pili dhidi ya ukoloni uko kwenye upeo wa macho?

    Baada ya msururu wa mapinduzi, nchi moja baada ya nyingine zinasonga mbele kufukuza mabaki ya madola ya zamani Africa ni chimbuko la ustaarabu wa binadamu na bara tajiri zaidi katika sayari zote upande wa suala la maliasili. Lakini kulingana na Kapteni Ibrahim Traore, rais wa Burkina Faso...
Back
Top Bottom