kumbukumbu

The Kumbukumbu Room, or Kumbukumbu Room: Africa, Memory and Heritage, or Kumbukumbu Exhibition, was one of the spaces of the National Museum of Brazil, destroyed by the fire of 2018. The name of the room refers to a word in Swahili, used for "objects, people or events that make us think about the past."
In the room, objects from the African and Afro-Brazilian collections were on display. In particular, the collections Police of the Court and Heloísa Alberto Torres were featured. Also in the room were the set of gifts from Africa sent to John, the Clement, in 1810, including the Throne of the King of Dahomey. Most of the objects on display were from the 19th century.
The room was organized from nine showcases, six side and three central, and a map from which one could establish the origin of the exposed pieces. According to the official book of presentation of the exhibition:

View More On Wikipedia.org
  1. LIKUD

    Miaka 27 ya MV Bukoba. Leo wachezaji wakae kimya kwa dakika moja kwa ajili ya kumbukumbu ya marehemu wa MV Bukoba.

    Tarehe 21 mwezi May mwaka 1996 ilitokea ajali mbaya ya meli kwenye Ziwa Victoria kilomita chache kabla ya kufika kwenye bandari ya jiji la Mwanza. Meli ya MV Bukoba ilipinduka na kuchukua maisha ya watu takribani elfu moja. Leo imetimia miaka 28 tangu kutokea tukio hilo ambalo ni miongoni mwa...
  2. King Jody

    Mwanaume unnanzaje kusherehekea kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa

    Unakuta mwanaume kabisa tena mtu mzima unaweka status kibao eti kumbukizi ya siku ya kuzaliwa, 'Birthday Party' ni kwa ajili ya wanawake na watoto, mwanaume hupaswi hata kujua kama ulizaliwa. Nb. uzi tayari :DojaDance:
  3. ElietSe

    Jinsi ya kuongeza ufanisi wa kutunza kumbukumbu za biashara

    Kutunza taarifa za biashara ni eneo la muhimu kwa kila mfanyabiashara. Hii husaidia kujua mali ilyotoka, iliyoingia, mali zilizopo, madeni, mauzo na faida au hasara iliyopatikana. Wengine hutunza taarifa zao kwa kutumia vitabu maalum na wengine hutumia digital tools kama computer au simu...
  4. JanguKamaJangu

    Polisi wa Nchi za Ukanda wa Mashariki mwa Afrika waungana na Rwanda kumbukumbu mauaji ya kimbari

    Shirikisho la Wakuu wa Polisi Ukanda wa Afrika Mashariki Wameungana na Polisi wenzao kutoka Nchini Rwanda kuuwakumbuka Wananchi waliopoteza maisha katika mauaji ya kimbari Nchini Rwanda. Akiongea leo Aprili 14,2024 katika Shule ya Polisi Tanzania Mkoani Kilimanjaro Mkurungenzi Mkuu wa...
  5. kavulata

    Kumbukumbu ya Sokoine na ongezeko la deni la Taifa

    Hayati Sokoine alikuwa Waziri Mkuu wetu kwenye awamu ya Kwanza ya uongozi wa taifa letu. Alikufa miaka 40 iliyopita lakini mwaka 2024 serikali inashiriki kikamilifu kwenye kumbukumbu yake kutimiza miaka 40 toka kuondoka duniani. Maswali kichwani mwangu ni mengi, hasa yanayotokana na umaskini...
  6. Mohamed Said

    Maonyesho ya Mwami Tereza Ntare II Jumba la Kumbukumbu ya Taifa

    MAONYESHO YA MWAMI TEREZA NTARE II JUMBA LA MAKUMBUSHO YA TAIFA Ukiingia lango kuu la Makumbusho ya Taifa sasa unaelekea kwenye ukumbi wa Maonyesho ya Mwami Tereza Ntare imewekwa picha kubwa inayowaonyesha wanawake mashuhuri katika historia ya Tanzania. Nimesimama hapa kwa muda naziangalia...
  7. Mjanja M1

    Rais Samia kuwaongoza Watanzania katika kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha Waziri Mkuu mstaafu Hayati Sokoine

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kesho, Ijumaa Aprili 12.2024 anatarajia kuwaongoza Watanzania katika kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine Akizungumza na wanahabari leo, Alhamisi Aprili 11.2024 Monduli...
  8. Yoda

    Sherehe ya kumbukumbu ya kifo cha Sokoine ilikuwa ya kiserikali au familia?

    Serikali ina bajeti iloyotengwa ya kufanya sherehe za kumbukumbu za vifo kwa viongozi wa taifa waliofariki ? Ni viongozi gani waliofariki ambao wanakidhi vigezo vya kufanyiwa kumbukumbu za kiserikali kwa bajeti ya serikali? Wizara gani inasimamia ufanyikaji wa hizo kumbukumbu?
  9. BigTall

    Zamani ukitembelea nyumbani kwa mtu unapewa albamu ya picha uangalie, siku hizi unapewa nini?

    Hizi mambo za kupewa albamu kuangalia picha za wenyeji wako hivi bado zipo kweli ndugu zangu? Wewe ukienda kutembelea ndugu, jamaa na marafiki ukifika wanakupa nini au wewe ukitembelewa huwa unawapa nini?
  10. Fredrick Nwaka

    Kumbukumbu ya miaka 30 tangu kutokea mauaji ya Kimbari dhidi ya watutsi nchini Rwanda

    Nchi ya Rwanda inaadhimisha miaka 30 tangu kutokea kwa mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi mwaka 1994. kumbukumbu inayofanyika Jijini Kigali na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali kutoka barani Afrika, Ulaya, Amerika na Asia wakiongozwa na Rais Paul Kagame. Ishara ya kuanza kwa kumbukumbu ya...
  11. Mohamed Said

    Kumbukumbu ya Iftaar Nyumbani kwa Balozi Ramadhani Kitwana Dau Yanga Kids Walipofuturu Pamoja

    Utangulizi Kuna wako wanaomtazama Dr. Dau kama ''Lecturer'' Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam. Kuna wengine wanamtazama Dr. Dau kama Mkurugenzi wa Masoko Tanzania Ports Authority (TPA) na wengine wanamtazama kama Mkurugenzi Mkuu wa NSSF. Wako wanaomtazama Dr. Dau kwa kujenga daraja maarufu la...
  12. Mohamed Said

    Kumbukumbu ya Mfungo wa Ramadhani: Futari Nyumbani kwa Mayor Kitwana Kondo Oyster Bay na Upanga

    KUMBUKUMBU ZA RAMADHANI: FUTARI NYUMBANI KWA MAYOR KITWANA SELEMANI KONDO OYSTER BAY NA UPANGA Katika makala fikra zangu zinarudi nyuma miaka mingi sana Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kama huu. Wakati huo Mzee Kitwana Kondo alikuwa Mayor wa Dar-es-Salaam na akiishi Oyster Bay. Mimi na wenzagu...
  13. Mohamed Said

    Kumbukumbu za Aman Thani katika video 2000

    Hixo clip zake zote 26 za Mzee Amani Thani 👇 Marhem Bw. Amani Thani akihojiwa na Prof Ibrahim Noor katika mwaka 2000 Part 1 Mwaka wa Mwanzo Jela https://youtu.be/3GZE7Olxf5M Part 2 Kufungwa Miaka Kumi https://youtu.be/ZogqTP-DU0w Part 3 Jela ya Langoni https://youtu.be/X8o0o9KRHPs Part...
  14. Intelligent businessman

    Kumbukumbu tamu za soka

    Andres Iniesta Kondoo fulani katikati ya msitu wa mbwa mwitu wakali Ile picha ya kibabe sana, aliipiga 'Felipe Mondrovera' wa 'Getty images'. Ilikuwa Juni 10 2012 mechi ya kwanza ya EURO. Hispania waliianza kampeni yao ya kutetea taji la mataifa Ulaya. Kumbuka hapo walitoka kuchukua EURO 2008...
  15. Chamoto

    Kumbukumbu: Soma la Kiswahili la Rais Ali Hassan Mwinyi

    Namkumbuka Rais Mwinyi kwa mengi, moja wapo ni pale alipoanzisha kipindi chake cha kiswahili RTD (Radio Tanzania Dar es salaam). Moja ya somo alilofundisha lilihusu tarakimu. Alisema, "katika tarakimu za kiswahili, kuna baadhi zina maneno yenye asili ya kibantu na nyingine kiarabu. Tofauti na...
  16. DIDAS TUMAINI

    Je, wajua hili kuhusu kumbukumbu ya kifo cha Rais Mwinyi?

    JE WAJUA? Rais mwinyi amefariki 29/02. Hii tarehe mpaka kuja kuipata tena ni hadi miaka minne ijao yaani mwaka 2028, 2032, 2036, 2040, nakuendelea... Kwa maana hiyo kumbukumbu ya kifo chake itakuwa ikiadhimishwa kila baada ya miaka minne. 🙌🙌 R.IP Rais Mwinyi
  17. Mohamed Said

    Kumbukumbu Zangu za Mtaa wa Kipata (Mtaa wa Kleist Sykes)

    KUMBUKUMBU ZANGU: MTAA WA KIPATA (SASA MTAA WA KLEIST SYKES) Nimefika Mtaa wa Kipata leo majira ya asubuhi. Siku zote nifikapo Gerezani na kupita mitaa yake kumbukumbu nyingi za utotoni hunijia. Nyumba za ndugu na jamaa nilizokuwa nazijua, nyumba za kuezekwa na madebe na mjengo wa vyumba sita...
Back
Top Bottom