mv bukoba

MV Bukoba was a Lake Victoria ferry that carried passengers and cargo between the Tanzanian ports of Bukoba and Mwanza. Bukoba was built in about 1979 and had capacity for 850 tons of cargo and 430 passengers.On 21 May 1996, Bukoba sank 30 nautical miles (56 km) off Mwanza in 25 metres (14 fathoms) of water, killing up to 1,000 people. The official deaths record is 894.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    Maoni ya Prof. Mkandala juu ya meli ya MV Bukoba

    Picha: Mpigapicha Wetu Profesa Rwekaza Mukandala JANA ilitimu miaka 28 kamili tangu kuzama kwa meli ya Mv Bukoba' katika Ziwa Victoria, Profesa Rwekaza Mukandala akiibua hoja mpya ikiwamo miili ya abiria kuelea kwa muda mfupi kwenye maji kunakotoa ishara walikunywa mafuta kabla ya kufariki...
  2. BARD AI

    Prof. Mukandala: Meli ya MV Bukoba ilifanya kazi Tanzania kwa miaka 17 bila kusajiliwa na haikupaswa kuletwa nchini

    Aliyewahi kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Rwekaza Mukandala amezitaja sababu mbalimbali zilizosababisha kuzama kwa meli ya Mv Bukoba kwa kurejea maandiko, hotuba, tafiti, hukumu za kesi zilizohusu sakata hilo. Profesa Mukandala ameyasema hayo leo Jumanne Mei 21...
  3. Victor Mlaki

    Mhadhara wa Uprofesa: Machungu ya MV Bukoba, Dola na soko

    Katika tukio la kipekee ambalo linakipa Kiswahili nafasi iliyopokwa siku nyingi ni tukio la muhadhara wa uprofesa kuendeshwa Kwa lugha ya Kiswahili. Mchango mkubwa wa Profesa Mkandala katika hili siyo jambo dogo. Ni dhahiri kuwa ana mchango mkubwa yeye binafsi na kupitia historia yake ya...
  4. LIKUD

    Miaka 27 ya MV Bukoba. Leo wachezaji wakae kimya kwa dakika moja kwa ajili ya kumbukumbu ya marehemu wa MV Bukoba.

    Tarehe 21 mwezi May mwaka 1996 ilitokea ajali mbaya ya meli kwenye Ziwa Victoria kilomita chache kabla ya kufika kwenye bandari ya jiji la Mwanza. Meli ya MV Bukoba ilipinduka na kuchukua maisha ya watu takribani elfu moja. Leo imetimia miaka 28 tangu kutokea tukio hilo ambalo ni miongoni mwa...
  5. Mi bishoo tu

    DOKEZO Niliyoyaona leo Ziwa Victoria muda si mrefu yatajirudia ya MV Bukoba au MV Spice Islanders

    Habarini wanajukwaa, Leo nilikuwa navuka na kivuko cha MV Kamanga upande wa Kamanga katika Ziwa Victoria ilikuwa mnamo majira ya saa nane alasiri. Uwezo wa kivuko ni kubeba abiria 150 ila Kwa wanajamvi mliovuka leo idadi ya abiria ni kati ya 700-800! Huku ikiwa imejaza mizigo ya kutosha mpaka...
  6. R

    Kumbukumbu Ajali MV Bukoba Serikali imejifunza Umuhimu wa Ubora Vyombo vya Kusafiria? Inawajibika vya kutosha kupunguza ajali nchini?

    Leo tarehe 21/05/2023 ni kumbukumbu ya ajali mbaya ya meli Buboka, ajali iliyosababisha pigo kubwa kubwa kwa watanzania waliopoteza na wapendwa wao kwenye ajali hiyo iliyotokea 21/05/1996. Tukio hili lilisababisha vifo vya watu zaidi ya 800 limeendelea kuwa kumbukumbu mbaya na yenye maumivu...
  7. Kasomi

    Chanzo cha Ajali ya MV Bukoba

    HIKI NDICHO CHANZO CHA AJALI YA MV BUKOBA. Ajali hii ilitangazwa kuwa ni msiba wa kitaifa na kufuatia rais wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa, kutangaza siku tatu za maombolezo na bendera kupepea nusu mlingoti. Meli hiyo ambayo ilizinduliwa mwaka 1979 na Rais wa kwanza wa Jamhuri wa Muungano wa...
  8. instanbul

    Tujikumbushe MV Bukoba enzi za uhai wake

    MV Bukoba ilikuwa moja ya meli kubwa katika ziwa Victoria. Ilikuwa ina uwezo wa kusafirisha watu zaidi ya 400 na tani zaidi ya 100. Meli hii ilikuwa ikiondoka Bukoba siku za Jumatatu, Jumatano na Ijumaa. Meli hii sio kongwe kama ilivyokuwa MV Victoria iliyojengwa mwaka 1961; hii ilijengwa mwaka...
  9. Chachu Ombara

    Kumbukumbu ya kuzama kwa MV Bukoba tarehe 21 May, 1996

    Meli ikiwa inazama na ikiwa imezungukwa na mitumbwi pamoja na boti ambazo zilisaidia kwenye uokoaji RIPOTI ya Tume ya Jaji Robert Kisanga, iliyochunguza chanzo cha ajali ya mv Bukoba, inasema usiku wa kuamkia siku ya ajali, meli hiyo ilipakia abiria kati ya 750 na 800 pamoja na wafanyakazi 37...
  10. K

    Ajali ya MV Bukoba: Makosa yamerekebishwa?

    "MV Bukoba was a passenger steamer that sank in Lake Victoria, 30 kilometers from Mwanza, Tanzania on May 21, 1996, killing nearly 1000 people. The boat transported passengers and cargo between Bukoba and Mwanza ports. The steamer's capacity was 430, but around 800 people drowned as the boat...
Back
Top Bottom