mikataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. makilo

    Mikataba hii huwa haivunjiki?

    Mkataba wa waarabu tunaoambiwa aliuingia hayat mwinyi kuhusu ngorongoro mpaka kupelekewa vifo machafuko Kati ya wamasai na jeshi la polis. Mkataba wa dp wold kuhusu bandali za Tanganyika pasipo kugusa za visiwani zanzibar. Mkataba wa muungano Tanganyika na Zanzibar unaleta...
  2. NALIA NGWENA

    Ina maana mikataba yote waliyosaini Yanga sc wamekosa pesa ya kumlipa Kambole au ni mikataba hewa?

    nimesikitika kuona Yanga sc kufungiwa kusajili kwa sababu ya kutomlipa pesa aliyekua mchezaji wa Yanga sc LAZARO kAMBOLE , kwa maelezo niliyoyapata ni kuwa FIFA waliiandikia barua YANGA mapema tu kuwa wamlipe pesa kambole lakini yanga walikaidi na kujisahaulisha SWALI LANGU: ina maana mikataba...
  3. NALIA NGWENA

    Ukweli lazima usemwe Yanga SC iachane na kuingia mikataba ya udhamini ya kitoto maana ishakua taasisi kubwa Afrika

    Nimeshangazwa kuona Yanga sc inaingia na mkataba na kampuni inayofahamika kinondoni ilala na temeke tu na bidhaa zake inauzia palepale Daresalaam tu tena kuna baadhi ya maeneo ya Daresalaam haifahmiki na haiuzi kiufupi hii kampunu ni janja janja tu Wanajiita SILVER INVESTMENT walingia mkataba...
  4. baba aura

    Mikataba wa bajaji, pikipiki na guta

    Habari wakuu,hebu wale wazoefu wa kuchukua vyombo vya moto hivyo kwenye heading mtujuze machimbo bora Maana sehemu zingine mikataba yao inatunyonya saana mpaka jasho zinavuja pia tujuzane changamoto zake
  5. A

    Kwa sasa Wawekezaji wengi wanawekeza kwenye chakula na sio kwenye dhahabu. Tuwe waangalifu na mikataba ya kujifanya wanakuja kutufundisha

    Don’t miss: Gold has long been considered the ultimate safe-haven asset, but a growing number of investors are now turning to farmland for better returns and greater protection against inflation. See how farmland is becoming easier than ever to invest in. AgroTerra, founded in 2008, is a major...
  6. JanguKamaJangu

    Wachezaji wanasubiri kujua hatma ya Ten Hag kabla ya kusaini mikataba

    Presha inazidi kuwa kubwa kwa Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag ikidaiwa baadhi ya wachezaji wa klabu yake hawajafanya maamuzi ya mikataba mipya klabuni hapo wakisubiri kujua mwelekeo wa ajira ya kocha huyo. Matokeo mabaya ya timu hiyo yanatajwa kuwa yanaweza kuwa kikwazo kocha huyo...
  7. P

    Rais Samia: Wakuu wa Mikoa na Wilaya fuateni utaratibu wakati wa kuvunja mikataba, mnatutia hasara

    “Kuna suala la mikataba,kuna amri kwamba mikoa, wilaya isimalize kuingia kwenye mikataba mpaka ofisi ya Mwanasheria Mkuu waone mikataba hiyo, lakini kuna wengine wanajifanya mafundi na kusaidi mikataba hiyo. Lakini pia kuna mikataba imefungwa kwa njia inayokubalika, lakini wakati wa kuvunja...
  8. figganigga

    Siri nzito mikataba gesi asilia Tanzania

    Na Mwandishi Wetu NI ukweli usiopingika kwamba majadiliano ya mikataba, hasa ya mafuta, gesi, madini na maliasilia nyingine za nchi huchukua muda mrefu kukamilika. Hili ni jambo la kawaida hasa kwa Serikali ambayo ni makini na inayobeba jukumu la kulinda utajiri na maliasilia za nchi...
  9. BARD AI

    Tanzania yasaini Mikataba miwili ya Tsh. Bilioni 398.7 na AfDB kwaajili ya ujenzi wa SGR

    Serikali ya Tanzania na Benki ya Maendeleo ya Afrika (@afdb_group ) zimesaini mikataba miwili yenye thamani ya takribani dola za Marekani milioni 158.1 (sawa na shilingi za Tanzania, bilioni 398.7) kwa ajili ya ujenzi wa Mradi wa Kimataifa wa Reli ya Kisasa (SGR) utakaoziunganisha nchi ya...
  10. R

    Misomisondo wana mwanasheria wa kuwasaidia kutengeneza mikataba yenye tija kwa kazi wanazofanyishwa na makampuni ya kibiashara?

    Tanzania imekuwa eneo moja wapo la matajiri kuwatumia maskini kunufaika kibiashara Vijana kutoka kijijini na makoti yao wameingia mjini; joto ni kali lakini muda wote wamevaa makoti wanacheza barabarani na kwenye kumbi kutangaza biashara za watu. Kwa fedha makampuni wanazoigiza kupitia vijana...
  11. BARD AI

    Serikali yasaini Mikataba 4 ya Msaada wa Tsh. Trilioni 1.4

    Tanzania na Global Fund zimesaini mikataba minne ya misaada yenye thamani ya dola za Marekani milioni 606.9 sawa na zaidi ya shilingi trilioni 1.4 kwa ajili ya kupambana na maradhi ya UKIMWI, Kifua Kikuu, Malaria na uimarishaji wa mifumo ya afya nchini. Mikataba hiyo imesainiwa Jijini Dodoma...
  12. B

    Mkuu wa Mkoa Sendiga: Mikataba ya Mkoa wa Manyara ni kama ndoa ya kikatoloki, umejifunga

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen Cuthbert Sendiga, leo Januari 22, 2024, ameshuhudia Hafla ya utiaji wa Saini Mikataba 7 yenye Thamani ya Bilioni 2.3. Mikatabia hiyo itahusisha ujenzi wa lami, ujenzi wa barabara za changarawe, madaraja na matengenezo maalumu katika mtandao wa barabara...
  13. Roving Journalist

    Dkt. Stergomena na Balozi Mingjian watiliana Saini Mikataba ya Msaada ya Kijeshi

    Alhamisi ya Januari 18, 2024, Waziri wa Ulinzi na JKT, Dkt. Stergomena Lawrence Tax na Balozi wa China nchini Tanzania, Chen Mingjian kwa pamoja wamesaini mikataba miwili baina ya Wizara ya Ulinzi na JKT ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wizara ya Ulinzi ya Jamhuri ya Watu wa China. Mkataba...
  14. BARD AI

    Luhaga Mpina: Serikali inaingia Mikataba Mibovu na ya Siri, Rasilimali zetu zinanufaisha Wageni

    "Licha ya Mafanikio makubwa tuliyoyapata katika kipindi cha miaka 62 ya Uhuru na miaka 60 ya Mapinduzi bado atujafanikiwa kuwapiga na kuwashinda maadui hawa Ujinga, Maradhi na Umasikini kwa asilimia 100. Nitataja baadhi ya changamoto ambazo zinarudisha nyuma jitihada za nchi yetu kukuza uchumi...
  15. Roving Journalist

    Zanzibar: Dkt. Biteko ashuhudia utiaji Saini mikataba ya kuwezesha upatikanaji wa Gesi Asilia

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameshuhudia uwekaji saini Mkataba wa Mauziano ya Gesi Asilia itakayozalishwa katika eneo la Ntorya Kitalu cha Ruvuma na uwekaji saini hati ya Makubaliano kwa ajili ya kuanzisha mahusiano ya kujenga miundombinu ya kusambaza Gesi Asilia kwa...
  16. Erythrocyte

    Lissu: Hatutakiwi kuruhusu ukuwadi wa Nchi yetu, Tunapaswa kuhoji mikataba ya Rasilimali zetu imeandikwa nini

    Akizungumza kwa Ukakamavu huko Segerea , Mkoani D'Salaam , Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Amedai kwamba. Ni vema Wananchi wakajiepusha na Ukuwadi wa Rasilimali za Nchi , Bali wanapaswa kuhoji ili Kujua kilichomo ndani ya mikataba ya Rasilimali zetu. Amedai kwamba...
  17. Stephano Mgendanyi

    Tanzania & Romania Zatia Saini Mikataba ya Ushirikiano

    Tanzania & Romania Zatia Saini Mikataba ya Ushirikiano Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe. Klaus Iohannis wakati wakishuhudia utiaji saini wa Mikataba mbalimbali ya ushirikiano baina ya nchi hizo iliyotiwa saini na Waziri wa...
  18. K

    Mikataba ya $300 ya kuwa Housegirl Uarabuni haina tija kwa nchi

    Serikali inatia aibu wakati mwingine. Imejikita kuwasaidia madada wa Tanzania kuwa housegirls huko Uarabuni badala ya kuwasaidia diaspora ambao wanafanya kazi za maana na wenye uwezo wa kusaidia nchi kama sheria zikiwekwa sawa. Hatutaweza kuendelea kwa $300 kwa mwezi! Na unyanyasaji na...
  19. K

    Kwanini mikataba ya LNG and hii ya DP World ni ya siri?

    Serikali inasema kwasasa wanamalizia mazungumzo ya mkataba wa LNG wakati huo huo DP World wamesaini mikataba mingine. Sasa ni kwanini hiyo mikataba haiendi bungeni na kuwekwa wazi? Juzi tu hapa tulikuwa tunawaambia wabunge wawe makini sasa mnaona hata wenyewe hawajaona mikataba zaidi ya ule...
Back
Top Bottom