Mikataba hii huwa haivunjiki?

makilo

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
2,434
4,794
Mkataba wa waarabu tunaoambiwa aliuingia hayat mwinyi kuhusu ngorongoro mpaka kupelekewa vifo machafuko Kati ya wamasai na jeshi la polis.
Mkataba wa dp wold kuhusu bandali za Tanganyika pasipo kugusa za visiwani zanzibar.
Mkataba wa muungano Tanganyika na Zanzibar unaleta kasheshe,masimango,manung'uniko kwa pande zote mpaka kuundiwa chombo kinachosimamia changamoto za muungano.
Ninachokiamini waliowengi hawafulaishwi Ila hawana tu pakupazia sauti sauti zao .
Ni Mimi mdogo wake Lucas muwakilishi wa wabubujikwa na machozi Tanzania bara.
 
Back
Top Bottom