Tusimung'unye maneno, barabara ya Kusini ilijengwa chini ya viwango!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,409
24,407
1715057807715.png

1715063714065.png

Kwa wale mliopitia habari za barabara ya Dar es salm, Kibiti, Lindi Mtwara hivi karibuni, sasa tunajionea madudu ya kale.
Barabara hii imejengwa chini ya viwango.
Na tukumbuke waziri aliyehusika na barabara hii kwa kupewa misifa mingi isiyo stahili.

Barabara ina katika kila leo kwa mvua ambazo ilistahili kuhimili.
Kiwango cha ujenzi wa barabara hii huwezi kabisa kulinganisha na kiwango cha kwa mfano Iringa-Makambako.
Wakandarasi ni wale wale -wachina.

Serikali ijionee sasa na msimamo wake usioendelevu- ati anapewa kazi-LOWEST BIDDER!
Ujinga huu sasa unasababisha usumbufu kwa maelfu ya wananchi, ukiacha ajali zinazosababisha vifo kutokana na barabara kutokidhi viwango.

Tunavuna tulichopanda kwa misifa isiyostahili.

NB INAHITAJIKA TECHNICAL REVIEW/AUDIT
Sasa hivi kunahitajika kuwepo a Technical Review au Audit ya ujenzi wa barabara hii. Nina uhakika madudu mengi tu yatagundulika.
 
View attachment 2983070

Kwa wale mliopitia habari za barabara ya Dar es salm, Kibiti, Lindi Mtwara hivi karibuni, sasa tunajionea madudu ya kale.
Barabara hii imejengwa hini ya viwango.
Na tukumbuke waziri aliyehusika na barabara hii kwa kupewa misifa mingi isiyo stahili.

Barabara ina katika kila leo kwa mvua ambazo ilistahili kuhimili.
Kiwango cha ujenzi wa barabara hii huwezi kabisa kulinganisha na kiwango cha kwa mfano Iringa akambako.
Wakandarasi ni wae wae -wachina.

Serikali ijionee sasa na msimamo wake usioendelevu- ati anapewa kazi-LOWEST BIDDER!
Ujinga huu sasa unasababisha usumbufu kwa maefu ya wananchi, ukiacha ajali zinazosababisha vifo kutokana na barabara kutokidhi viwango.

Tunavuna tulichopanda kwa misifa isiyostahili.
Ilikua bora hilo kuliko mateso tuliyowahi kupitia kwenye hiyo njia, ilijengwa kwa fedha za ndani na mjini kidogo wa Kuwait fund, nchi za magharibi walikataa kufund, tushawahi kutumia wiki mbili Dar to Lindi, na hata begi linalipiwa
 
Isipoharibika mapema halafu tukae tunapiga miayo tu. ??!
Kazi na Bata !!
 
Ilikua bora hilo kuliko mateso tuliyowahi kupitia kwenye hiyo njia, ilijengwa kwa fedha za ndani na mjini kidogo wa Kuwait fund, nchi za magharibi walikataa kufund, tushawahi kutumia wiki mbili Dar to Lindi, na hata begi linalipiwa
Mkuu ndio tatizo kubwa, tuliwekeza kimasikini sasa tunalipia udhaifu huo.
Tuta la barabara ni dogo, madaraja ni hafifu, ni mvua kama hizi za El Nino na Vimbunga ndio tunatambua kuwa viwango havihimili misukosuko.
Na matengenezo kurejesha mawasiliano ni ghali mno.
Barabara hii sasa irudiwe ili iwe na viwango kama vya Iringa-Makambako.
 
View attachment 2983070

Kwa wale mliopitia habari za barabara ya Dar es salm, Kibiti, Lindi Mtwara hivi karibuni, sasa tunajionea madudu ya kale.
Barabara hii imejengwa hini ya viwango.
Na tukumbuke waziri aliyehusika na barabara hii kwa kupewa misifa mingi isiyo stahili.

Barabara ina katika kila leo kwa mvua ambazo ilistahili kuhimili.
Kiwango cha ujenzi wa barabara hii huwezi kabisa kulinganisha na kiwango cha kwa mfano Iringa akambako.
Wakandarasi ni wae wae -wachina.

Serikali ijionee sasa na msimamo wake usioendelevu- ati anapewa kazi-LOWEST BIDDER!
Ujinga huu sasa unasababisha usumbufu kwa maefu ya wananchi, ukiacha ajali zinazosababisha vifo kutokana na barabara kutokidhi viwango.

Tunavuna tulichopanda kwa misifa isiyostahili.
Nashukuru Mungu nilikua mmoja wa waliopaza sauti miaka Ile ya bwanamkubwa kujigamba kuwa unaweza kuendesha taxi kutoka Mtwara Hadi Mwanza.
 
View attachment 2983070

Kwa wale mliopitia habari za barabara ya Dar es salm, Kibiti, Lindi Mtwara hivi karibuni, sasa tunajionea madudu ya kale.
Barabara hii imejengwa hini ya viwango.
Na tukumbuke waziri aliyehusika na barabara hii kwa kupewa misifa mingi isiyo stahili.

Barabara ina katika kila leo kwa mvua ambazo ilistahili kuhimili.
Kiwango cha ujenzi wa barabara hii huwezi kabisa kulinganisha na kiwango cha kwa mfano Iringa akambako.
Wakandarasi ni wae wae -wachina.

Serikali ijionee sasa na msimamo wake usioendelevu- ati anapewa kazi-LOWEST BIDDER!
Ujinga huu sasa unasababisha usumbufu kwa maefu ya wananchi, ukiacha ajali zinazosababisha vifo kutokana na barabara kutokidhi viwango.

Tunavuna tulichopanda kwa misifa isiyostahili.
Waziri alikuwa Mbarawa na alitakiwa mpk sasa awe kizuizini lakini kwa vile ni mtu wa Ijumaa na anatoka sehemu moja na maza hakuna neno
 
Nilikua Mtwara tarehe 22 mwezi wa nne 2024 inasikitisha Sana Sana, wengi wanaongea kwa kuangalia picha, mimi nimefika huko, kile kipande cha kuanzia daraja la mkapa Hadi Somanga mbele mbele kule Hadi Nangurukuru ni Aibu Sana. Ndio maana Ajali haziishi
 
Barabara sio kwamba iko chini ya kiwango ile barabara ilijengwa bila kuzingatia hali halisi ya ardhi ilivyo ,ardhi ile ukiangalia sehemu kubwa kuanzia Rufiji mpaka karibu na Kilwa sehemu kubwa iko kwenye mikondo ya mito,kwahiyo kiwango cha unyevunyevu ni kikubwa sana ,ndio maana ile barabara ina mashimo kila wakati kwa ajili ya kutitia...
 
Barabara sio kwamba iko chini ya kiwango ile barabara ilijengwa bila kuzingatia hali halisi ya ardhi ilivyo ,rdhi ile ukiangalia sehemu kubwa kuanzia Rufiji mpaka karibu na Kilwa sehemu kubwa iko kwenye mikondo ya mito,kwahiyo kiwango cha unyevunyevu ni kikubwa sana ,ndio maana ile barabara mara kwa mara ina mashimo kila wakati kwa ajili ya kutitia...
Umeongea point sana
 
Sasa si ndio chini ya kiwango chenyewe sasa Mpwa?? Unakataa nini na unaandika nini??
 
Back
Top Bottom