Mwamuzi wa Mechi ya Yanga na Mamelodi awaomba Watanzania waache kumshambulia kwa Matusi kwa kuwa si yeye aliyetoa maamuzi ya Kukataa Goli

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,952
18,487
Kwa mara ya kwanza Mwamuzi wa kati aliyechezesha mechi ya juzi kati ya Mamelodi Sundowns na Yanga Beida Dahane raia wa Mauritania amefunguka kwamba
asilaumiwe kwa lolote lile kwenye sakata la goli la Aziz ki kukataliwa bali lawama zote ziwaendee waliokuwa wana-control Video Assistant Referee (VAR)

Mwamuzi huyo ameeleza hayo wakati aki-chat Instagram na Aliyekuwa Msemaji wa Yanga Haji Sunday Manara...

Mwamuzi Beida Pahane ameweka wazi kuwa wakati wa faulo ya lomalisat wanao-control VAR walishindwa kutoa maamuzi hivyo walihitaji msaada wake ndio
maana aienda kuwasaidia lakini Kwenye Goli la aziz.ki hakwenda kuthibitisha kwenye VAR kwa sababu haikuwa kazi ngumu kwa wanao-control VAR kutoa maamuzi,
walimueleza mapema kuwa sio goli, hivyo kama kuna makosa yoyote walaumiwe wao.

Mwamuzi Beida Dahane amefunguka kuwa hawezi kuomba msamaha kwa Watanzania kwani hakuhusika katīka maamuzi, kama kuna kosa lolote amefanya basi
ataomba msamaha kwa Mungu..

Mwamuzi Beida Dahane amesisitiza kwamba yeye ndiyo anatakiwa kuombwa msamaha maana anashambuliwa sana kutokana na sakata hili, wakati wanaotakiwa
kushambuliwa ni watu wa VAR...

Screenshot_20240407_123017_GBInstagram.jpg

CHAT ZA DM KATI YA HAJI NA MWAMUZI..

Screenshot_20240407_123918_Gallery.jpg

Screenshot_20240407_123931_Gallery.jpg

Screenshot_20240407_123943_Gallery.jpg

Screenshot_20240407_124001_Gallery.jpg
Screenshot_20240407_124016_Gallery.jpg
 
Kwa mara ya kwanza Mwamuzi wa kati aliyechezesha mechi ya juzi kati ya Mamelodi Sundowns na Yanga Beida Dahane raia wa Mauritania amefunguka kwamba
asilaumiwe kwa lolote lile kwenye sakata la goli la Aziz ki kukataliwa bali lawama zote ziwaendee waliokuwa wana-control Video Assistant Referee (VAR)

Mwamuzi huyo ameeleza hayo wakati aki-chat Instagram na Aliyekuwa Msemaji wa Yanga Haji Sunday Manara...

Mwamuzi Beida Pahane ameweka wazi kuwa wakati wa faulo ya lomalisat wanao-control VAR walishindwa kutoa maamuzi hivyo walihitaji msaada wake ndio
maana aienda kuwasaidia lakini Kwenye Goli la aziz.ki hakwenda kuthibitisha kwenye VAR kwa sababu haikuwa kazi ngumu kwa wanao-control VAR kutoa maamuzi,
walimueleza mapema kuwa sio goli, hivyo kama kuna makosa yoyote walaumiwe wao.

Mwamuzi Beida Dahane amefunguka kuwa hawezi kuomba msamaha kwa Watanzania kwani hakuhusika katīka maamuzi, kama kuna kosa lolote amefanya basi
ataomba msamaha kwa Mungu..

Mwamuzi Beida Dahane amesisitiza kwamba yeye ndiyo anatakiwa kuombwa msamaha maana anashambuliwa sana kutokana na sakata hili, wakati wanaotakiwa
kushambuliwa ni watu wa VAR...

View attachment 2956306

CHAT ZA DM KATI YA HAJI NA MWAMUZI..

View attachment 2956309
View attachment 2956310
View attachment 2956311
View attachment 2956312View attachment 2956313
Goli lilifungwa dakika ya 57, maamuzi kaja kuyafanya dakika ya 62. Muda wote huo wa dakika 5 mpira ulikuwa umesimama. Je, hakuona sababu ya yeye mwamuzi wa kati kwenda kuangalia mwenyewe kwenye VAR wakati ilikuwepo just pale pembeni ya Uwanja? Yaani tukio linalopelekea mpira kusimama kwa dakika 5 refa haoni ulazima, udadisi wala umuhimu wa kushuhudia tukio hilo?

Mbaya zaidi, mpira ule uliporudi uwanjani ulitolewa nje na mchezaji wa Mamelody Sundowns, lakini mwamuzi alipokataa goli na kuamuru mpira uendelee aliwapa Mamelody wauanzishe badala ya kuamuru Yanga wapige kona.

By the way, Hongera sana DR Mambo Jambo Kwa kulishikia kidedea swala hili na kuleta updates kwa kila hatua na kwa kila kinachojili. Ingawa wewe ni upande ule mwingine.

Saludo!
 
Back
Top Bottom