mtibwa sugar

Mtibwa Sugar Football Club is a Tanzanian football club based in Turiani. Their home games are played at Manungu Stadium.and using stadiums such as CCM jamhuri and Gairo as their home stadium

View More On Wikipedia.org
  1. O

    11 Wafariki dunia baada ya mtambo wa kiwanda cha Mtibwa Sugar kulipuka

    Watu 11 wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya mfumo wa joto wa kiwanda cha kuzalisha sukari cha Mtibwa Sugar kulipuka wakati wakijiandaa kuanza uzalishaji wa sukari kwenye kiwanda hicho kilichopo Turiani mkoani Morogoro. Akizungumza na Mwananchi digital leo Alhamisi Mei 23...
  2. itakiamo

    Mwenyezi Mungu awarehemu wote waliopoteza maisha katika kiwanda cha Mtibwa Sugar, majeruhi wapone haraka

    WATU 11 wakiwemo raia watatu wa kigeni wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa na kukimbizwa hospitali ya Misheni ya Bwagala kwa matibabu baada ya kutokea kwa hitilafu ya umeme katika kiwanda cha Sukari cha Mtibwa wilayani Mvomero mkoani Morogoro. Hitilafu hiyo ya Umeme imedaiwa kutokea...
  3. JanguKamaJangu

    Watu 11 wamepoteza maisha ndani ya Kiwanda cha Mtibwa Sugar, Morogoro

    Kuna taarifa nimezipata kutoka kwa mtu wangu wa karibu anadai Watu 11 wamefariki Dunia ndani ya Kiwanda cha Mtibwa Sugar kilichopo Morogoro kutokana na hitilafu za kiufundi. Wenye taarifa kamili tujuzeni ==== === Watu 11 wakiwemo raia watatu wa kigeni wamefariki dunia na wawili wamejeruhiwa...
  4. MwananchiOG

    Yanga bingwa 2023-2024:Yaifunga Mtibwa 3-1 | NBC Premier League | Manungu Stadium | 13.05.2024

    Karibuni Kwa Live updates za mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara kati ya Mtibwa Sugar (wenyeji) dhidi ya Mabingwa watetezi , Young Africans sc. Mchezo utaanza leo saa kumi jioni, Katika uwanja wa Namungu Complex, Morogoro. Endapo Yanga atashinda mchezo huu atafikisha alama 71 ambayo haitaweza...
  5. BabuKijiko

    Simba akipoteza mchezo wa leo dhidi ya Mtibwa sugar siawaoni nafasi ya pili NBC PL

    Simba akipoteza mchezo wa leo dhidi ya Mtibwa sugar siwaoni nafasi ya pili nbcpl msimu huu 2023/2024 Simba watacheza leo mchezo wao mwingine wa ligi kuu ya NBCPL na ikitokea kupoteza mchezo wa leo atakuwa na wakati mgumu wa kumaliza nafasi ya pili msimuu huu. kwahiyo Kocha Mgunda anakazi kubwa...
  6. Jaluo_Nyeupe

    FT: Simba 2-0 Mtibwa | NBC Premier League | Chamazi Stadium 03.05.2024

    Match Day. NBC Premier League. Simba vs Mtibwa Azam Complex 04.00 PM Leo majira ya saa kumi jioni timu ya Simba itawakaribisha wageni wao timu ya Mtibwa katika mechi ya NBC premier league ikiwa ni mchezo wao wa 23 kwa msimu huu. Ungana nami kwa updates mbali mbali. Vikosi vinavyoanza leo...
  7. Mjanja M1

    Mtibwa Sugar wadai Miwa imeharibika sana haifai kwa uzalishaji

    Uongozi wa kiwanda cha Mtibwa Sugar umesema kuwa miwa mingi imeharibika na haifai tena kwa uzalishaji wa sukari hali inayopelekea bidhaa hiyo kuadimika. Mvua juu ya wastani zinazoendelea kunyesha nchini zimesababisha sehemu kubwa ya mashamba ya miwa kujaa maji na kufanya kazi ya uvunaji wa miwa...
  8. Vincenzo Jr

    FT: Yanga SC 4-1 Mtibwa Sugar | NBC Premier League | Azam Complex | 16.12.2023

    Naam majira ya saa 12:30 jioni ya Leo wananchi tutakuwa na jambo letu Magoli mawili yaliyofungwa na Stephane Aziz Ki na mengine ya Kennedy Musonda na Mahlatse Makudubela ‘Skudu’ yameipa Yanga ishindi wa magoli 4-1 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Azam complex Jijini Dar es Salaam. Yanga...
  9. Jamii Opportunities

    Internal Auditor at Mtibwa Sugar Estates Limited

    Position: Internal Auditor Location: Morogoro Responsibilities • Identify and assess areas of significant business risk. • Implement best audit and business practices in line with applicable internal audit statements. • Manage resources and audit assignments. • Identify and reduce all business...
  10. Kommando muuza madafu

    LIVE LIGI KUU UNDER 20: AZAM 0 VS MTIBWA SUGAR 2

    Hili ni bonge la Game. Kama tutaendelea kuwekeza kwenye vijana, hakika hatuta ng'ang'ania magarasa akina sawadogo. Mtibwa wana timu nzuri sana. Kuna fowadi zaidi ya Baleke au Mayele anaitwa Makambo Jr. Hadi sasa dakika ya 16 Mtibwa anaongoza 2 bila ote yakifungwa na Makambo Jr. Azam kuna...
  11. GENTAMYCINE

    Yaani tumewahonga Mtibwa Sugar FC tushinde nyingi ili Mashabiki wajae Mechi na Horoya FC tupige Pesa?

    Hovyo kabisa mbona huu Mpira wa leo Wachezaji wetu hawakuucheza Mechi kama Nne zilizopita na tukawa tunashinda kwa Taabu huku Sisi Mashabiki wenu GENTAMYCINE nikiwepo tukiwa tunajituliza kwa Dawa za Maumivu za Panadol? Nitarudi hapa baadae Saa 4 Kamili na mengineyo.
  12. Scars

    FT: NBC Premier League | Mtibwa Sugar 0-3 Simba SC | Live Updates | Manungu Stadium

    Mchezo ni saa 16:00Vikosi vyote kwa timu mbili vimetolewa Timu zinaingia uwanjani Mchezo unaanza 1' Phiri anafika langoni mwa Mtibwa anashindwa kutumia nafasi vizuri 3'Goooooooooo Jean Baleke anafunga goli kwa kwanza kwa Simba licha ya kubanwa na walinzi 7' Goooooooooo Baleke anafunga goli la...
  13. Pettymagambo

    FT: NBCPL, Simba SC 5-0 Mtibwa Sugar | Uwanja wa Mkapa | 30/10/2022

    FULL TIME 90' Sakho anaipaia Simba goli la tano GOOOOOOOOO 81 Mtibwa wamerudi nyuma na kuwapa Simba nafasi ya kumiliki mpira muda mwingi 77' Simba wanafanya mashambulizi mfululizo Phiri anaipatia Simba goli la 4 73' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOO Beki wa Mtibwa anapata kadi ya njano ya pili na hivyo kuwa...
  14. kavulata

    Mtibwa Sugar wamechanganyiwa timu kufanya vibaya

    Nimemsikia Thobias Kifaru msemaji wa mtibwa sugar akidai deni lao kwa Yanga kuhusu abdalah Msheri kama mtu mwenye sonona na aliyekata tamaa. Wakati wanauziana mchezaji hawakuuzina kwenye vyombo vya habari lakini wakati wa kudai wanakwenda kwenye vyombo vya habari na kuviacha vyombo rasmi vya...
  15. OKW BOBAN SUNZU

    Yanga na GSM waitapeli Mtibwa Sugar

    MTIBWA SC WATOKA MAFICHONI, WADAI YANGA HAWAJAWALIPA PESA YA MSHERI "Yalifanyika makubaliano ya pande mbili tukiamini Yanga ni watu wazima na watatelekeza mkataba unavyosema, lakini mpaka sasa hakuna hata moja lililofanyika. Tangu January mpaka sasa hatujaona kitu. Mbaya zaidi Mawasiliano yetu...
  16. M

    Baaada ya beki Banda wa Mtibwa Sugar FC kuhongwa ili ajivunje, sasa ni zamu za akina Yondan na Nyosso wa Geita Gold FC nao kuhongwa wajivunje

    Ukiujua Mpira wa Bongo (Tanzania) na Janja Janja yake ni raha sana. Pongezi sana Kocha wa Mtibwa Sugar FC Salum Mayanga kwa Kuwaanzisha Wachezaji wabovu ila baada ya Yanga SC kufunga Goli la Pili ndipo ukawaingiza Wachezaji wazuri akina Kibaya. Hongera sana Kipa Shabaan Kado (mwana Yanga SC...
  17. Greatest Of All Time

    NBC PL| Mtibwa Sugar 0 - 2 Yanga | Manungu Complex

    Muda mchache ujao, kutakuwa na mchezo mkali kati ya Mtibwa Sugar Vs Yanga Sc Mchezo huo unategemewa kuvuta hisia za mashabiki wengi, kwani Mtibwa anaonekana kama mgumu akiwa uwanja wa nyumbani. Je, Yanga ataweza kuibuka na alama zote tatu ugenini? Mpira dakika 90, tukutane hapa kwa updates za...
  18. John Haramba

    Uwanja wa Manungu ulivyo kabla ya Mtibwa Sugar Vs Yanga

    Picha inayoonyesha mazingira ya Uwanja wa Manungu mkoani Morogoro ulivyo, uwanja huo utatumika kwa ajili ya mchezo wa Mtibwa Sugar dhidi ya Yanga, leo Jumatano Februari 23, 2022. Mchezo huo wa Ligi Kuu Bara utaanza saa 10:00 Jioni, wenyeji Mtibwa Sugar wakiwa nafasi ya 15 kwa pointi 12 ambayo...
  19. KAGAMEE

    Kamati ya roho mbaya Simba SC chini ya Gentamycine yachakazwa na kakamati kadogo ka roho mbaya ka Mtibwa Sugar

    Wakuu kuna mdau humu ndani anajiita GENTAMYCINE huyu amekuwa akijinasibu kwamba yeye ni mtaalamu wa figisu za aina zote,yaani kama angekuwa mwanajeshi tungesema ni kamanda wa kikosi cha SEAL (Sea,Air and Land)Namaanisha ukimsikiliza. Za ndani baada ya kuandika maandiko kibao juu ya FIGISU...
  20. GENTAMYCINE

    Yaani Mtibwa Sugar FC 'Kaua' Mtu Goli 7 cha Kushangaza Redioni leo anasifiwa aliyemfunga 'Mnyonge' na asiyejua Goli 4 kwa Mkapa jana

    Nchi hii ina Watangazaji na Wachambuzi ( wa Redioni ) wa hovyo hovyo hadi kuna muda unaona 'Kinyaa' tu Kuwasikiliza. Hivi ni nani hajui kuwa jana Yanga SC ilichokifanya ilipocheza na Ihefu FC kwa Mkapa na Kumfunga zile Goli 4 ni sawa tu na Kupiga Bomu Mochwari na Kujisifu kuwa Umeua Watu wengi...
Back
Top Bottom