mafao

  1. Roving Journalist

    Orodha ya Dawa zilizoongezwa katika Kitita cha Mafao cha NHIF

    Kufuatia mapitio yaliyofanywa na Wizara ya Afya kwenye Orodha ya Taifa ya Dawa Muhimu (NEMLIT) kwa kujumuisha muunganiko, muundo na nguvu kwa dawa 178, NHIF imejumuisha dawa hizo kwenye Kitita chake cha Mafao cha Mwaka 2023. Hatua hii inaongeza wigo wa aina za dawa zenye muundo, nguvu na...
  2. Chura

    Msaada kwenye tuta juu ya Mafao

    Habari wakubwa? Nina swali kwenye kunufaika na mafao. Mchangiaji anapofariki mwenza wake anaendelea kupokea mafao kila mwisho wa mwezi? Anapofariki na mwenza utaratibu wa yale mafao unakuaje ama ndio unakoma?
  3. Replica

    TALGWU: Kikokotoo ni fumbo, uzima ni majaaliwa. Tupewe hela zetu zote tukafie mbele

    Heri ya siku ya wafanyakazi, huku kusini mwa nchi imepambwa na mabango lukuki ila moja limenivutia. Waajiriwa wanataka fao lao lote wakafanye maisha mengine na si mafungu kama Serikali wanavyoona. Kwanini mtu pesa yake ameiifadhi maisha yake yote ya kufanya kazi halafu siku ya kuipata mnaanza...
  4. Logikos

    Sakata la Mafao: Wanakati Tunaangalika na hii Nusu Shari ya Sasa tusisahau Shari Kamili inayokuja

    Ni kweli mafao ya wastaafu hayatoshi (si wao tu asilimia kubwa ya wabangaizaji Tanzania either hakuna wanachopata na wakipata hakitoshi)...; Lakini wakati tunachemsha Bongo jinsi ya kuwarekebishia hawa kidogo kiwe kikubwa kidogo, ni vema tukaangalia ni vipi hatari inayokuja kesho ya wazee wa...
  5. R

    Viongozi wa mifuko ya hifadhi wanashindwa kubuni hata utaratibu wa kutuma sms kwa wanachama kuwakumbusha makato? Wanasubiri ustaafu wakunyime mafao

    Benki wanaweka utaratibu wa taarifa kwa umma ikiwemo kupitia mfumo na kukumbusha kama kuna deni, kuna huduma mpya au chochote cha kukuweka karibu nao. TRA na Mamlaka za maji wanakutumia ujumbe wakiwa wanakudai au umepata huduma yao. Polisi wanatumia ujumbe mfupi kwa umma kutoa taadhari za...
  6. Yofav

    Msaada wa namna ya kupata mafao yangu ya NSSF

    Habari wakuu, Kuna ajira fulani nilikuwapo nafanya miaka minne nyuma ambapo niliifanya kama 4 yrs nikaiacha bila utaratibu maalumu maana nilipata Safari ya ghafla nikaona mambo yasiwe mengi. Sasa leo katika kupekua pekua ID's zangu nimekutana na Card ile ya NSSF na nikakumbuka hawa jamaa...
  7. JF Member

    Kwa kikotoo kile hakuna siku utalipwa mafao yote

    Mwaka jana nilibahatika kuangalia mfumo wanaotumia kufanya mahesabu ya wastaafu. Kikubwa nilichokiona ni kwamba, wafanyakazi hawawezi kulipwa mafao yote baada ya kustaafu. Mfumo/Kanuni yenyewe iko hivi; 1. 1/580 * N *APE*12.5*33% 2. 1/580 * N *APE*1/12*67% UFAFANUZI 1. Kanuni namba moja...
  8. Dalton elijah

    Mabadiliko ya sheria ya mafao ya retirement benefits act, (cap. 225)

    BADILIKO 1: Ongezeko la kifungu kipya cha 9A ambacho hakipo kwenye sheria kinachotaja mafao ya mke/mume wa rais mstaafu. Baada ya rais kustaafu, mwenza/wenza wake atapokea kiasi cha fedha (kwa mkupuo) sawa na 25% ya mshahara wa rais alioupokea katika kipindi chote alichokuwa madarakani. Yaani...
  9. Mparee2

    Kudai barua ya ajira kabla ya kulipwa mafao

    Kutokana na maendeleo ya Technologia, ambapo zipo njia za kuaminika zaidi za kumtambua mtu; napendekeza Sheria ya Kudai mzee aliyekuwa mfanyakazi pengine kwa miaka 30 alete barua aliyopewa wakati anapata ajira kwa mara ya kwanza ili aweze kulipwa mafao yake iondolewe. Nafikiri wanaweza kuweka...
  10. JanguKamaJangu

    Tamko la NHIF kuhusu mapitio ya Kitita cha Mafao cha NHIF

    https://www.youtube.com/watch?v=wuinOtEhEjk YAH: TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAPITIO YA KITITA CHA MAFAO CHA NHIF CHA MWAKA 2023 Ndugu wanahabari, Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa niaba ya Kamati ya kupitia Kitita cha Mafao cha NHIF cha mwaka 2023, naomba nitoe taarifa...
  11. Mjanja M1

    NSSF yalipa mafao ya bilioni 56 kwa Miezi 6

    Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), umelipa shilingi bilioni 56.689 kama mafao ya wastaafu katika kipindi cha miezi sita iliyoanzia mwezi Julai mpaka Disemba 2023. Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Bw. Omari Mziya amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari, ofisini kwake...
  12. R

    PSSSF na mifuko ya hifadhi ya jamii wekeni "Digital formula" mstaafu aweke namba ajue kiasi cha mafao yake

    Wekeni digital formula mstaafu aweze kukokotoa mwenyewe, aweke namba ajue mafao yake ni kiasi gani. Najua ipo ila hamtaki kuiweka ili muwapunje wastaafu (hii manual formula wazee hawaiwezi). Mbona TRA na benki kwenye mikopo formula hizo zipo? Acheni wizi/ubabaishaji.
  13. MamaSamia2025

    Gharama zitazoongezeka endapo hoja ya CHADEMA kuongeza idadi ya wabunge itapita

    Baada ya nchi nzima kushtushwa na hoja namba 5 kutoka kwenye hoja za CHADEMA kuhusu muswada wa sheria ya uchaguzi leo nimeona tukumbushane gharama tutazozilipa wananchi kwa ongezeko la wabunge wapya takribani 135. Kimsingi hoja namba 5 ni hoja yenye nia ovu. Kwa sasa bunge zima la Tanzania lina...
  14. BARD AI

    Kikokotoo cha Mafao bado ni kilio kwa Askari Polisi

    Nini hatima ya kilio cha askari wa Jeshi la Polisi kuhusu kikokotoo? Hili ndilo swali linaloumiza vichwa vya askari polisi wengi hususan wale wanaotarajia kustaafu kuanzia mwakani. Kikokotoo kwa askari na watumishi wengine wa umma inaonekana kuwa kaa la moto popote kunapokuwa na mikusanyiko ya...
  15. M

    Mwajiri wangu amegoma kunisainia fomu yangu ya uzazi kwa ajili ya mafao ya uzazi NSSF

    Naombeni ushauri mwajiri wangu amegoma kunisainia fomu yangu ya uzazi kwa ajili ya mafao ya uzazi Nssf kwa sababu hajapeleka michango yangu kwa muda, naombeni ushauri hatua za kufanya. Nilienda NSSF wanisaidie wakaniambia nirudi kwa mwajiri, sasa sijapata msaada na muda wa mafao ya uzazi...
  16. D

    Mtu akiacha kazi bila sababu utumishi wa umma kisheria anastahiki alipwe mafao yake?

    Habari wanajamvi nilikua nauliza je mtu akiacha kazi utumishi wa umma bila sababu yoyote na kutoa taarifa anastahili kulipwa mafao yake
  17. Jidu La Mabambasi

    Sheria ya Mafao ya wenza wa viongozi wakuu: Usultani unapiga hodi!?

    Mwananchi huyu kaeleza yote. Kati ya sheria za kuchekesha na kuudhi kwa pamoja kwa mlipa kodi, ni hii sheria iliyopitishwa na Bunge wiki hii. Ati nao WENZA wa viongozi wakuu , nao wapewe mafungu ya pesa zilizokusanywa kama kodi kutoka kwa walalahoi. Sasa mwenza naye ameshakuwa kiongozi...
  18. Chawa wa lumumbashi

    Tunafuta Bima kwa mtoto tunaenda kumlipa Mafao mwenza wa kiongozi!

    TUNAFUTA BIMA KWA MTOTO TUNAENDA KUMLIPA MAFAO MWENZA WA KIONGOZI. Na Thadei Ole Mushi 1. Hili la kulipa mafao wenza wa Viongozi linatafakarisha. Cha muhimu sana wasiwasahau wenza wa wanajeshi wetu ambao hulala mipikani kulilinda taifa, madaktari na wauguzi wanaolala mahospitalini kuokoa roho...
  19. BARD AI

    Bunge lapitisha Muswada unaotaka wake wa Marais na Maspika wastaafu kulipwa kiinua mgongo

    Bunge limepitisha muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali namba 4 wa mwaka 2023 ambapo moja ya marekebisho katika sheria ya Mafao ya Kustaafu katika Utumishi wa kisiasa inapendekezwa Wenza (Mke/Mume) wa Marais Wastaafu, Wenza wa Makamu wa Rais Wastaafu na Wenza wa Mawaziri Wakuu...
  20. Roving Journalist

    Wizara ya Fedha: Tunafuatilia wanaofanya utapeli kwa Wastaafu wanaofuatilia mafao

    Kongamano la Wanamitandao ya Kijamii na Wizara ya Fedha linalofanyika katika Ukumbi wa 88 Mkoani Morogoro, linaendelea katika siku ya pili na ya mwisho Jumanne Oktoba 24, 2023. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Fedha, Benny Mwaipaja amefungua majadiliano kwa kushukuru jinsi Mitandao ya...
Back
Top Bottom