kuku

  1. Kaka yake shetani

    Fuga kuku wa kisasa kwa njia ya kienyeji utanishukuru

    Wengi wetu tumekuwa tukiogopa kufuga kuku sababu ya magonjwa.Ni kweli kuku wa kisasa ni rahisi kupata magonjwa. Sababu ya ufugaji wa kuku wa kisasa unaonekana ni mgumu kutokana na maeneo na chakula ila hapa nitaweka kuhusu maeneo. Maeneo ya kufuga kuku yanataka sehemu kubwa kuanzia heka 1...
  2. Kaka yake shetani

    JATU, Mr. Kuku, Vanira na sasa Kijiji cha Nguruwe

    Naanza kupata mashaka kuhusu kijiji cha nguruwe kinacho tumia nguvu nyingi kupitia watu maarufu kuwekeza mradi. Hivi kama umefanikiwa kuna ulazima gani watu watoe pesa zao wafugiwe,watafutiwe soko na faida. Tafakarini kabla jua kuzama ijumaa
  3. B

    Nauza kuku broiler

    Wana jamii forum nasafisha Banda kuku broiler wa wiki nne na siku 2 - 85 wamebaki na kila mmoja nauza 5500 ..wanapatikana mbweni jkt. Kwa mawasiliano 0612630936
  4. gubegubekubwa

    Barabara kuu Dar-Lindi imekatika sehemu 2 na kukata mawasilino

    Barabara ya Dar es Salaam-Lindi imekatika eneo la somanga na kukata mawasilino kabisa kati ya Dar na Lindi hivyo hamna gari lolote la kwenda Lindi au Kwenda Dar. Kwasasa abilia na wote wenye magari tupo hapa tumekwama tangu Jana. Tunaomba Tanroads walishughurikie haraka hili.
  5. marcoveratti

    Kwanini kuku anavuka barabara?

    Kuna maswali mepesi yenye majubu magumu sana, hasa yale yanayo uskana na nature , Maswali kama Binadamu alitokea wapi au Dunia uli anzaje, haya ni maswali magumu yenye majibu magumu au hayana kabisa, Kama utapata muda wa kufuatialia viumbe/wanyama hawa tunao wafuga majumbani basi utaona...
  6. C

    NADHARIA Mtu akikung'ata ukapaka mavi ya kuku meno yake yanaoza

    Wakuu, Kipindi tulipokuwa watoto nilikuwa nasikia hii sana kwamba uking'atwa na mtu ukienda kupaka kinyesi cha kuku basi yule aliyekung'ata meno yake yanaoza yote! Ni kweli hii au ilikuwa njia ya kufanya watoto wasiwe wachokozi kwa wengine?
  7. Mfugaji123

    Mradi Ufugaji wa Kuku wa Mayai

    Leo napenda kujadili mradi mkubwa wa ufugaji wa kuku wa mayai 30,000. Kama ilivyo kwa biashara nyingi za uzalishaji uzalishaji mkubwa hupunguza gharama za uzalishaji kwa bidhaa moja ( Unit cost) na hivyo kuweza kufaidika na soko kwa kuuza kwa bei shindani na pia kufaidika na economic of scales...
  8. Yoda

    Samaki, nyama, kuku na maharage kuliwa kama mboga ni dalilli ya umaskini?

    Kwenye hoteli kubwa zote, na nyingi za kati menu ya chakula kikuu huwa ni samaki, kuku, nyama ya ng'ombe, mbuzi kitimoto na nyinginezo halafu ndio unachagua utakula na nini ikiwa ni ugali, wali, viazi n.k Kwenye hizi hoteli bei ya chakula inapimwa kwa samaki, kuku na nyama kisha (wanga) ambao...
  9. mwanamwana

    Afya ya akili: Ambaka kuku hadi kufa!

    Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Sunday, mkazi wa Kitongoji cha Misungwi Kata ya Usagara wilayani Misungwi mkoani Mwanza, anadaiwa kubaka kuku hadi kufa. Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamesema mtuhumiwa alimkamata kuku huyo ambaye alikuwa anataga kisha kumuingiza ndani ya nyumba yake...
  10. D

    Experience ya kulea vifaranga vya kuku

    Asalaam wana JF, Well, as most of y'all knows, i am very dedicated kwenye ufugaji kuku and recently nimeingiza vifaranga 1000 vya layers and yeah, i will be sharing experience ya namna ya kuvilea with less mortality. This will be like my Diary so keep yourselves updated 11/04- nilivifata kwa...
  11. peno hasegawa

    Makonda adaiwa kukataa nyumba ye Serikali, inasemekana anaishi Hoteli ya Nyota 5

    Kwa hali hii, tutafika? Anaandika Martin Maranja Masese kwenye Mtandao wa X Rais Samia Suluhu Hassan, inawezekanaje BASHITE tangu amefika Arusha anaishi Gran Meliá Hotel, full board ($469) kwa usiku mmoja. Hii ni Sh1.3 milioni. Leo atakuwa ametumia Sh5.2 milioni (malazi). Anatembea na msafara...
  12. Maleven

    Dua ya kuku haimpati mwewe ila naombea mabaya Mamelodi

    Eeh Mungu ikikupendeza, Mamelodi awe wamwisho, awe namba nne. Afungwe mechi zote. Amen
  13. M

    UZUSHI Watu wenye Damu kundi B hawatakiwi kula kuku

    Nimesoma habari huko mtandaoni nimepata mtatiziko kidogo baada ya mwandishi kuandika watu wenye group B msile kuku, na wakati mimi kuku ndio moja ya kitoweo changu pendwa sana. Msaada hapo wa kuhakiki taarifa hii iwapo ni kweli kuku si salama kwa wenye damu group B
  14. Tanzania Nchi Yetu Sote

    KWELI Ngozi ya kuku ina mafuta mengi, haishauriwi kuliwa na Watu wenye Changamoto za Moyo, kisukari na mafuta mengi mwilini

    Nimekuwa nikisikia kuhusu madhara ya mafuta yatokanayo na wanyama (fat) kuwa huganda kwenye mishipa na kusababisha shinikizo la damu. Kilichonishitua zaidi ni kuwa ngozi ya kuku kuwa ni hatari zaidi kwani huwa na mafuta mengi sana na husababisha cholesterol kwa kiasi kikubwa. Hii imekaaje?
  15. VUTA-NKUVUTE

    Swali kwa Kinana, Je haki na uhuru wa uchaguzi huamriwa na Rais?

    Kichama na kiserikali namfahamu Komredi Kinana tangu miaka ya 80. Naujua uhodari wake kijeshi (kwakuwa nami nilitumikia mojawapo ya vyombo vya ulinzi na usalama), kiserikali na kichama. Komredi Kinana si mtu wa maneno mengi. Ni mtu wa mipango ya viwango na vitendo na mwendo. Sikushangaa pale...
  16. U

    Huu ni ugonjwa gani kwa kuku wakubwa?

    Kichwa cha habari chajieleza!Mwenye kuujua Ninaomba anijuze ni ugonjwa gani na unatibiwaje? Nimeshatumia dawa nyingi zote nikishauriwa na "wataalamu"!! Nina imani JF ni baba wa wataalamu! Karibuni mnishauri! Nimeambatanisha na picha.
  17. Jr Simeo

    Naomba ushauri juu ya ufugaji wa kuku wa kienyeji

    Je, ni njia zipi bora za ufugaji wa kuku wa kienyeji ambazo basi zitanifanya niweze kunufaika na ufugaji wakuku hao, lakini pia naomba kwa mwenye uelewa na kuku hawa anieleze ni mtaji kiasi Gani napaswa kuwa nao ili kuanza ufugaji wa kuku hawa. Naomba kushauriwa na kuelekezwa kwa kina.
  18. Mjanja M1

    Haji Manara: Wale Kuku walisema hatutofika Valentine

    Haji Manara amemuandika ujumbe wa Valentine mke wake kipenzi Zailyssa na kuwarushia Dongo waliosema kuwa penzi lao halitodumu. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Manara ameandika, "Happy Valentine's My Beautiful Wife,Nakupenda sana na wewe ndio furaha yangu na ndio Usingizi wangu ❤️❤️...
  19. I am Groot

    Hivi unajua Kuku ni wengi sana duniani kuliko binadamu?

    Kulingana tafiti za shirika la chakula na kilimo duniani:- Food and Agriculture Organization (FAO) za mwaka 2023, Kuna kama kuku 34.4 Billion ambao bado ni wazima au zaidi ya hapo kwa sasa duniani. Huku ukilinganisha na idadi ya binadamu waishio kwa ambayo mpaka sasa inasomeka...
  20. K

    Faida kwa kuku 1000 wa nyama Dar ni 700,000 tu

    Wadau, kuna mfugaji wa kuku hapa Dar ananiambia kila mzunguko wa kuku 1000, anapata faida ya Tsh Laki 7. Hapo soko likiwa zuri sana. Jamani hicho kipato ukiangalia mtaji wa Banda nk. Je kuna njia ya kuongeza faida kwa kupunguza Gharama?
Back
Top Bottom