mwanamwana

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,077
4,114
Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Sunday, mkazi wa Kitongoji cha Misungwi Kata ya Usagara wilayani Misungwi mkoani Mwanza, anadaiwa kubaka kuku hadi kufa.

Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamesema mtuhumiwa alimkamata kuku huyo ambaye alikuwa anataga kisha kumuingiza ndani ya nyumba yake na kuanza kumbaka na baada ya kumaliza haja zake akatoka kumtupa nje.

Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamesema mtuhumiwa alimkamata kuku huyo ambaye alikuwa anataga kisha kumuingiza ndani ya nyumba yake na kuanza kumbaka na baada ya kumaliza haja zake akatoka kumtupa nje.

Mmoja wa wapangaji katika nyumba hiyo, Delifina Boazi amesema alitoka nje kwenda kukinga maji bombani ndipo alipomuona mtuhumiwa akifanya kitendo hicho sebleni akiwa amekaa kwenye makochi.

"Nilimuoma alikuwa amemkamata kuku na anafanya naye mapenzi na alipomaliza alienda kumtupa," amesema Delifina

Akizungumzia tukio hilo, Mwenyekiti wa kitongoji cha Misungwi, Samson Madirisha amekiri kupokea taarifa hizo na baada ya kufika eneo la tukio alikuta kitendo hicho kimeshafanyika.

Madirisha amesema baada ya mtuhumiwa kuhojiwa alikiri kufanya kitendo hicho na kueleza kuwa alikuwa na hamu hivyo alishindwa kujizuia.

Naye Kamanda wa Sungusungu kata ya Usagara, Buhili Makubilo na mkazi wa eneo hilo Edista Mganga wameviomba vyombo vya dola kuwachukulia hatua watu wanaobainika kufanya vitendo hivyo.

Hata hivyo, mtuhumiwa amechukuliwa na Jeshi la Polisi kwa ajili ya mahojiano zaidi.
 
Katika hali isiyo ya kawaida mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Sunday mkazi wa kitongoji cha Misungwi kata ya Usagara wilaya Misungwi anatuhumiwa kubaka kuku hadi kufa.

Wakizungumza na #EATV baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamesema mtuhumiwa alimkamata kuku huyo ambaye alikuwa anataga kisha kumuingiza ndani ya nyumba yake na kuanza kumbaka na baada ya kumaliza haja zake alienda kumtupa nje.

Delifina Boazi ni mmoja wa wapangaji katika nyumba hiyo amesema alitoka nje kwenda kukinga maji bombani ndipo alipomuona mtuhumiwa akifanya kitendo hicho sebleni akiwa amekaa kwenye makochi

"Nilimuoma alikuwa amemkamata kuku na anafanya naye mapenzi na alipomaliza alienda kumtupa," amesema Delifina Akizungumzia tukio hilo, Mwenyekiti wa kitongoji cha Misungwi, Samson Madirisha amekiri kupokea taarifa hizo na baada ya kufika eneo la tukio alikuta kitendo hicho kufanyika.

Madirisha amesema baada ya mtuhumiwa kuhojiwa alikiri kufanya kitendo hicho na kueleza kuwa alikuwa na hamu hivyo alishindwa kujizuia.

Naye Kamanda wa Sungusungu kata ya Usagara, Buhili Makubilo na mkazi wa eneo hilo Edista Mganga wameviomba vyombo vya dola kuwachukulia hatua watu wanaobainika kufanya vitendo hivyo.

Hatahivyo polisi wilaya ya Misungwi wamefika kwenye nyumba ya mtuhumiwa na kumchukua kwa ajili ya mahojiano zaidi.
 
Hapo hakuna cha hamu, bali ni mapepo ya ngono.

Tuache kukaa free bila kazi(shughuli), ndio maana mawazo maovu yanapita na sisi.

"An idle mind is devil's workshop".
Iyo hapo juu ni simple message lakini ina maana kubwa sana kwenye maisha yetu ya kila siku. ""Akili isiyotumika ni gereza la shetani" hutukumbusha kwamba tunapokuwa wavivu na bila shughuli, mawazo maovu huja kwa haraka akilini mwetu. Mtu anaposhindwa na kutokuwa na shughuli, mawazo ya aina zote ya uovu hufurika akilini mwake, hivyo kuifanya kuwa mahali kamili kwa shetani kutekeleza vitendo vyake vya uovu."

Mwenyezi Mungu azidi kutupa nuru yake na kutuondolea mawazo maovu kwenye ufahamu wetu.

 
Back
Top Bottom