OscarkambonaJr
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 2,099
- 3,518
Ameshimdwa kuchukua mkono na mafuta ya nazi akajimaliza,Anabaka kitoweo?
Nikiwa kama katibu mkuu wa chaputa, naomba ieleweke kwamba mtuhumiwa sio mwanachama wetu wa chaputa, kwani wanachama wetu ni wastaarabu mno na hawawezi Kufanya matukio ya mauaji kama haya.Naona Chaputa mmefeli kwenye hili,hamjamfundisha mwenzenu kuchukua sheria mkononi matokeo yake ndo haya genye mbaya
Ndiyo awe mwalimu sasaHalafu hawa hawa ndio mnakuja kuwapa kazi serikalini
Jamaa hasira za Ihefu kaenda kumalizia kwa Kuku. #Benchika outNoma sana
Mwanachama wenu amezidiwa na upwiru matokeo ndo hayo sasaNikiwa kama katibu mkuu wa chaputa, naomba ieleweke kwamba mtuhumiwa sio mwanachama wetu wa chaputa, kwani wanachama wetu ni wastaarabu mno na hawawezi Kufanya matukio ya mauaji kama haya.
Asanteni.
Para ya 2 na 3 zinazungumzia kitu kilekile (kuwa mchumi wa maneno)Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Sunday, mkazi wa Kitongoji cha Misungwi Kata ya Usagara wilayani Misungwi mkoani Mwanza, anadaiwa kubaka kuku hadi kufa.
Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamesema mtuhumiwa alimkamata kuku huyo ambaye alikuwa anataga kisha kumuingiza ndani ya nyumba yake na kuanza kumbaka na baada ya kumaliza haja zake akatoka kumtupa nje.

Mmoja wa wapangaji katika nyumba hiyo, Delifina Boazi amesema alitoka nje kwenda kukinga maji bombani ndipo alipomuona mtuhumiwa akifanya kitendo hicho sebleni akiwa amekaa kwenye makochi.
"Nilimuoma alikuwa amemkamata kuku na anafanya naye mapenzi na alipomaliza alienda kumtupa," amesema Delifina
Akizungumzia tukio hilo, Mwenyekiti wa kitongoji cha Misungwi, Samson Madirisha amekiri kupokea taarifa hizo na baada ya kufika eneo la tukio alikuta kitendo hicho kimeshafanyika.
Madirisha amesema baada ya mtuhumiwa kuhojiwa alikiri kufanya kitendo hicho na kueleza kuwa alikuwa na hamu hivyo alishindwa kujizuia.
Naye Kamanda wa Sungusungu kata ya Usagara, Buhili Makubilo na mkazi wa eneo hilo Edista Mganga wameviomba vyombo vya dola kuwachukulia hatua watu wanaobainika kufanya vitendo hivyo.
Hata hivyo, mtuhumiwa amechukuliwa na Jeshi la Polisi kwa ajili ya mahojiano zaidi.
Halafu ndiyo wanakupa vigezo na mashart ya kufungua kiwanda tz wakati wewe unatafuta exposure wao wanatafuta kuku wakuingizia mkuyengeHalafu hawa hawa ndio mnakuja kuwapa kazi serikalini
Kataa Ndoa wamehamia kwenye Kuku.Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Sunday, mkazi wa Kitongoji cha Misungwi Kata ya Usagara wilayani Misungwi mkoani Mwanza, anadaiwa kubaka kuku hadi kufa.
Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamesema mtuhumiwa alimkamata kuku huyo ambaye alikuwa anataga kisha kumuingiza ndani ya nyumba yake na kuanza kumbaka na baada ya kumaliza haja zake akatoka kumtupa nje.
Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamesema mtuhumiwa alimkamata kuku huyo ambaye alikuwa anataga kisha kumuingiza ndani ya nyumba yake na kuanza kumbaka na baada ya kumaliza haja zake akatoka kumtupa nje.
Mmoja wa wapangaji katika nyumba hiyo, Delifina Boazi amesema alitoka nje kwenda kukinga maji bombani ndipo alipomuona mtuhumiwa akifanya kitendo hicho sebleni akiwa amekaa kwenye makochi.
"Nilimuoma alikuwa amemkamata kuku na anafanya naye mapenzi na alipomaliza alienda kumtupa," amesema Delifina
Akizungumzia tukio hilo, Mwenyekiti wa kitongoji cha Misungwi, Samson Madirisha amekiri kupokea taarifa hizo na baada ya kufika eneo la tukio alikuta kitendo hicho kimeshafanyika.
Madirisha amesema baada ya mtuhumiwa kuhojiwa alikiri kufanya kitendo hicho na kueleza kuwa alikuwa na hamu hivyo alishindwa kujizuia.
Naye Kamanda wa Sungusungu kata ya Usagara, Buhili Makubilo na mkazi wa eneo hilo Edista Mganga wameviomba vyombo vya dola kuwachukulia hatua watu wanaobainika kufanya vitendo hivyo.
Hata hivyo, mtuhumiwa amechukuliwa na Jeshi la Polisi kwa ajili ya mahojiano zaidi.
Chama kitatoa msimamo wake juu ya hili, tunaomba wananchi na wanachama wetu muwe wavumilivu na watulivu wakati tunaandaa msimamo wa ChamaNaona Chaputa mmefeli kwenye hili,hamjamfundisha mwenzenu kuchukua sheria mkononi matokeo yake ndo haya genye mbaya
Huyo ni Mbwichichi jamaa anakula mifugo kuliko mademu😂Kuna jamaa kwenye uzi wa kula tunda kimasihara alisimulia kuwa alikuwa anatomber makuku yanayoaga anasema yalikuwa matamt kweli.
Mwingine anasema alikuwa anatafuna nguruwe na anaisifu ilikuwa ya moto sana.
Poor BrainKijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Sunday, mkazi wa Kitongoji cha Misungwi Kata ya Usagara wilayani Misungwi mkoani Mwanza, anadaiwa kubaka kuku hadi kufa.
Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamesema mtuhumiwa alimkamata kuku huyo ambaye alikuwa anataga kisha kumuingiza ndani ya nyumba yake na kuanza kumbaka na baada ya kumaliza haja zake akatoka kumtupa nje.
Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamesema mtuhumiwa alimkamata kuku huyo ambaye alikuwa anataga kisha kumuingiza ndani ya nyumba yake na kuanza kumbaka na baada ya kumaliza haja zake akatoka kumtupa nje.
Mmoja wa wapangaji katika nyumba hiyo, Delifina Boazi amesema alitoka nje kwenda kukinga maji bombani ndipo alipomuona mtuhumiwa akifanya kitendo hicho sebleni akiwa amekaa kwenye makochi.
"Nilimuoma alikuwa amemkamata kuku na anafanya naye mapenzi na alipomaliza alienda kumtupa," amesema Delifina
Akizungumzia tukio hilo, Mwenyekiti wa kitongoji cha Misungwi, Samson Madirisha amekiri kupokea taarifa hizo na baada ya kufika eneo la tukio alikuta kitendo hicho kimeshafanyika.
Madirisha amesema baada ya mtuhumiwa kuhojiwa alikiri kufanya kitendo hicho na kueleza kuwa alikuwa na hamu hivyo alishindwa kujizuia.
Naye Kamanda wa Sungusungu kata ya Usagara, Buhili Makubilo na mkazi wa eneo hilo Edista Mganga wameviomba vyombo vya dola kuwachukulia hatua watu wanaobainika kufanya vitendo hivyo.
Hata hivyo, mtuhumiwa amechukuliwa na Jeshi la Polisi kwa ajili ya mahojiano zaidi.
Mbaga Jr Poor Brain dronedrake 🤣🤣🤣🤣Kama kuku ni wake aachwe aisee kikubwa hajadhuru mtu.
Japo angeuza huyo kuku angepata wanawake hata wanne kwa harakaharaka kama wale wanaojiuza kwa wahaya buku nne