Nauza viti vya mbao vyakutumia bar, grocery au mgahawani

vumiliag

JF-Expert Member
Sep 1, 2018
384
708
Nauza viti vya mbao ambayo unaweza kutumia bar,grocery au mgahawani...

viti vinapatikana shekilango nyuma ya ofisi za abood bus au shabiby

■ kiti cha watu 2 vipo vi3
■meza 3
■stuli 6
inamaanisha kiti cha watu2+meza+stuli 2=150000
(mzunguko uko mara 3) inamaana ukichukua vyote ni laki450000 bei inapungua kidogo
mbao ni ngumu vilitengenezewa mbao yenye dawa haviliwi na wadudu na bila mito
Screenshot_20240430_010950_Photos.jpg


No 0684767851
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom