Nauza bata wa kienyeji

Wapo wengi sana. Malad, bukini, chainese/african gees, na wengineo.
Aaahh....!!!! Kwahiyo Hao ni wa Viwandani, kama hawa kuku wa kizungu? Sijawahi kujua hili, nao wanakuwa ndani ya siku ngapi tayari kuliwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom