Itakumbukwa simba ndio walipeleka kibegi mlima kilimanjaro, walifika hadi kileleni, sisi tunaojua mambo haya tuliamini kabisa kuwa mwaka huu ulikuwa wetu, yalikuwa masharti ya mtalaamu wetu kuwa kama tunataka kukaa kileleni tukapeleke kitu kule mlimani, bahati mbaya Injinia akatonywa na wasaliti...
Ndugu zangu wa Yanga kama nilivyoandika kwenye kichwa changu cha habari. Siku itakayopangwa na hao wahuni kwa lengo la kutoa hizo tuzo zao, msihudhurie. Maana itakuwa haileti mantiki.
Mkifanya hivyo, litakuwa ni funzo kubwa kwao. Ila mkihudhuria, basi mtambue fika hawataacha kuendelea...
Habari za Leo wanajforum?
Tafadhari, naomba tupeane elimu ya talaka hapa jamvini. Elimu ya talaka ni muhimu sana lakini bado haitolewi vya kutosha, tangu nisome elimu yangu, sikuwahi kukutana na mada ya kutalikiana kwa wanandoa, huenda ni elimu ya watu wazima tu. Lakini hatuna budi kujifunza...
Ukanda wa Gaza: Makumi ya roketi yarushwa kuelekea Israeli.
Makumi ya roketi yamerushwa kutoka Ukanda wa Gaza kuelekea Israel Jumamosi asubuhi, Oktoba 7, na kusitisha makubaliano ya usitishwaji mapigano yaliyoheshimishwa kwa ujumla tangu kumalizika kwa vita vya siku tano mwezi Mei. Tawi la...
- Ni Kampuni ya Xin Tai Mining Company Limited
- Awataka wafanye utafiti na kuongeza thamani kama walivyoainisha kwenye mkataba
- Serikali kutoa utaratibu mpya juu ya msaada wa kiufundi(technical support)
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde ameitaka Kampuni ya Xin Tai Mining Company...
Mshiriki lazima awe mwanachama wa JamiiForums, ambapo anaweza kujisajili kwa kiunganishi hiki; Register
Mshiriki anaweza kutumia jina halisi au la kubuni ‘pseudonym’.
Mshiriki atatakiwa kutaja jina halisi endapo ataibuka MSHINDI.
Mshiriki anatakiwa kutayarisha andiko linaloelezea TANZANIA...
Matumaini ya kupatikana nafuu kwa wapalestina karibia milioni 2 na nusu wanaoangamia kwa vita na njaa yameanza kupatikana.
Katika mazungumzo ya kusitisha vita baina ya Israel na Hamas kila upande umelegeza masharti yake ili kufikiwa kwa lengo hilo.
Kwa mujibu wa taarifa zinazovuja kutoka kikao...
Mfadhili mkubwa wa Israel,Marekani baada ya kuona madhara kwa pande zote ya vita vya Gaza,ghafla imebadili mwelekeo na kupeleka azimio baraza la usalama la Umoja wa mataifa linalotaka vita hivyo visitishwe haraka.
Katika azimio lililopelekwa baraza hilo mwezi Februari kikwazo ilikuwa ni Marekani...
Siku moja tukiwa tunaongea na wagonjwa katika mijadala ya kawaida kuhusu kudhibiti kisukari na presha, mgonjwa mmoja aliuliza swali la muhimu sana.
Dr. Mimi nashangaa, ninamuiga mume wangu aina ya vyakula na kiwango lakini yeye ameweza kudhibiti ila mimi siijaweza. Tatizo nini?
Wagonjwa...
Jamani hivi Serikali imetoa tamko kulazimisha lodge zote mjini na mikoani kukataza watu wa jinsia moja kushare chumba? Hata kama sawa mnataka kuzuia mapenzi ya jinsia moja; hamuoni mnatutesa na wengine bila sababu?
Imagine unasafiri na rafiki yako na mpo kwa budget mnataka kushare chumba halafu...
Baada ya tamko la Mwenyekiti wa Chama Taifa Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe kuhusu maazimio ya Kamati Kuu ya Chama kuitisha maandamano ya amani tarehe 24 Januari, 2024 Jijini Dar Es salaam, ameibuka Katibu wa itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi na kutoa kauli potofu dhidi ya Maazimio ya...
Tume ya Utangazaji imeitaka WASAFI FM Radio kulipa faini ya Tsh. Milioni 5 kwa kuvunja masharti ya leseni kwa kuidanganya Tume juu ya Studio zao za Unguja kutotumika kwa vipindi vya aina yoyote kwa karibu miezi mitatu sasa
Tume imeitoza ZBC Faini Tsh. Milioni 1 kwa kipindi cha MICHAPO kuonyesha...
Mgogoro wa Israel na Palestine huku ukiendelea kwa mashambt makali,kesho vita vitasinama kwa siku 4.
Yafuatayo ni masharti ambayo Israel na HAMAS zimekubaliana kwenye mazungumzo ambayo yamekua yakifanyika nchini Qatar kwa takribani wiki 2 Sasa.
Makubaliano hayo yameungwa mkono na USA ambae ni...
Katika orodha ya masharti ya kusitisha vita ni kuruhusiwa kuingia Gaza kwa malori 200 ya misaada mbali mbali yakiwemo kwa uchache malori 4 ya mafuta kila siku.
Masharti hayo yatakayoanza kutekelezwa kesho Ijumaa saa moja asubuhi za Gaza itaanza kwa kutosikika risasi yoyote hewani halafu malori...
Mazayuni wamechezea kichapo cha maana jana na juzi kutoka kwa Hamas, Hizbollah na Wayemeni kilichopelekea wao kukubali masharti yote ya Hamas ya kusimamisha mapigano.
Ikumbukwe kuwa mpaka juzi, Wayahudi walikuwa hawataki kabisa kusikiliza yeyote duniani na kusema hawasimamisha mapigano mpaka...
Wakuu, nadhani sote tuliopo humu tunajua kwamba binadamu anahitaji mwongozo ili kuwa bora zaidi.
Hatuko duniani kwa ajili ya kuishi ishi tu, ndiyo maana tuna sheria na kanuni kama ambavyo Mungu alivyotuwekea Amri zake 10.
Kwa kuwa, sisi wanamme tuna nafasi kubwa ya kufanya dunia iwe sehemu...
Poleni sana ndugu zangu, naona maisha yamewapiga sana mpaka nafikiria kufungua miradi mingine niwaajiri wote.
Tuachane na hayo, leo nilikuwa kwenye bank moja nikashuhudia kitu cha kushtua kidogo, jamaa alikuwa anajaza form ya mkopo, yaani hasomi terms and conditions yeye anaoneshwa saini hapa...
Halafu GENTAMYCINE nawaomba mkiwa mnagombana huko Viwanjani na katika Magrupu yenu ya Wasapu hadi kutoa hizi Siri zenu za Kambi muwe mnajua nami huwa nakuwepo na hamna Uwezo wa kunijua hata mfanyeje sawa?
Kudadadeki......!!
Mwanzo Urusi ilipokua na mihemko ya kuivamia Ukraine ilitoa masharti mengi sana na vijisababu vya kila aina, ila mziki ulibadilishwa, msafara ukapigwa na wabeba javelin, leo hii Ukraine ndio wanafukuzia Warusi, sasa Urusi imeanza kupunguza na masharti na kubaki na moja tu, kwamba Ukraine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.