Kampuni imebuni namna ya kutumia teknolojia ya AI kama njia ya “kufufua” wafu na kuwaunganisha na wapendwa wao walio hai

Dalton elijah

JF-Expert Member
Jul 19, 2022
216
478
1712248838804.jpg

Kampuni hiyo kutoka China imekuwa ikitumia teknolojia inayoiga akili ya binadamu (AI technology) kubuni nafsi ya kidijitali ya aliyefariki na kuwezesha jamaa zake kuwasiliana naye jinsi ilivyokuwa kabla ya kufa kwake.

Teknolojia hiyo imesifiwa na wengi kwa kuwa inawapa waliofiwa faraja ya muda, hasa wakati huu China inapoadhimisha tamasha la kumbukumbu ya wafu maarufu kama "Qingming Festival."

^ME
 
Kiafrika afrika ukitaka kuongea na mfu ni fasta! Kwani waganga na wachawi ufanyaje na nguvu zao hutoka wapi! Huo ndo mtaji wa shetani! Hamna jipya zaidi ya shetani kufurahi
 
Kiafrika afrika ukitaka kuongea na mfu ni fasta! Kwani waganga na wachawi ufanyaje na nguvu zao hutoka wapi! Huo ndo mtaji wa shetani! Hamna jipya zaidi ya shetani kufurahi
Katika vilinge vyote ulivyotembelea umewahi kumkuta huyo shetani?
 
Back
Top Bottom