Kwahiyo hapo umemaliza kila kitu?Habarini za leo wakuu tafadhali kwa wenyeji wa maeneo ya RUHUWIKO(songea) naomba mjitokeze unisaidie kuna ndugu yangu namtafuta sana hap
Nimewaita kwanza ili mwenyeji ukishajibu kwenye uzi hu ndo nikuulize kwa maelezo anyway,we ni mwenyej?Kwahiyo hapo umemaliza kila kitu?
Mkuu kwa majina sifahamu lakini ni MMAMA,kazi ni mwalimu kama sijakosea,sijui ana watoto wangapi ila nafahamu ana binti wawili wote wanasoma secondary,bint moja anaitwa catherine age kama 16 hivi or more,nyumban kwake ni karibu na magodawn flan hivi kama sio viwanda nakumbuka hayo tu mkuuAnaitwa nani na anafanya kazi gani?
Ni mzaliwa wa hapa Ruhuwiko?
Ruhuwiko ni njia panda ya Kwenda dar kama unatumiwa ndege!!,
Anaitwa Nani huyo ndugu yako?
Mkuu kwa majina sifahamu lakini ni MMAMA,kazi ni mwalimu kama sijakosea,sijui ana watoto wangapi ila nafahamu ana binti wawili wote wanasoma secondary,bint moja anaitwa catherine age kama 16 hivi or more,nyumban kwake ni karibu na magodawn flan hivi kama sio viwanda nakumbuka hayo tu mkuu
SawaOngezea maelezo labda huyo ndugu yako ni Mimi
Uyimiki..!
Aya basi nitawaambia wanawake wote wa Songea wenye watoto wanaoitwa Catherin wakucheckMkuu kwa majina sifahamu lakini ni MMAMA,kazi ni mwalimu kama sijakosea,sijui ana watoto wangapi ila nafahamu ana binti wawili wote wanasoma secondary,bint moja anaitwa catherine age kama 16 hivi or more,nyumban kwake ni karibu na magodawn flan hivi kama sio viwanda nakumbuka hayo tu mkuu
Nation milling corporation (NMC)Mkuu kwa majina sifahamu lakini ni MMAMA,kazi ni mwalimu kama sijakosea,sijui ana watoto wangapi ila nafahamu ana binti wawili wote wanasoma secondary,bint moja anaitwa catherine age kama 16 hivi or more,nyumban kwake ni karibu na magodawn flan hivi kama sio viwanda nakumbuka hayo tu mkuu
😂😂Aya basi nitawaambia wanawake wote wa Songea wenye watoto wanaoitwa Catherin wakucheck
Lete namba.
We jamaa ndugu yako alafu ata jina haulijui,uko serious kweli?au mlikutana viwanja vya la chaz usikuMkuu kwa majina sifahamu lakini ni MMAMA,kazi ni mwalimu kama sijakosea,sijui ana watoto wangapi ila nafahamu ana binti wawili wote wanasoma secondary,bint moja anaitwa catherine age kama 16 hivi or more,nyumban kwake ni karibu na magodawn flan hivi kama sio viwanda nakumbuka hayo tu mkuu
Hii aina tofauti na ramliMkuu kwa majina sifahamu lakini ni MMAMA,kazi ni mwalimu kama sijakosea,sijui ana watoto wangapi ila nafahamu ana binti wawili wote wanasoma secondary,bint moja anaitwa catherine age kama 16 hivi or more,nyumban kwake ni karibu na magodawn flan hivi kama sio viwanda nakumbuka hayo tu mkuu
Yes kama alafu kami vile ilikuwa ni kota zileNation milling corporation (NMC)
Kuna kambi ya jeshi upande wa kulia, mbele mita 100 kuna Ruhuwiko sec and primary.
mkuu nimekua,inshu ni kwamba pale nilipokelewa kama mgeni nikiwa nimetoka mkoan na nilikua sina raman hvo alinihfadh kwa siku moja,niliondoka na mawasiliano ila nilipoteza cm badaeKua
We jamaa ndugu yako alafu ata jina haulijui,uko serious kweli?au mlikutana viwanja vya la chaz usiku
Sawa nahc zile nyumba ni kama zkuwa kota za walimu au laAya basi nitawaambia wanawake wote wa Songea wenye watoto wanaoitwa Catherin wakucheck
Lete namba.