Msaada wa kazi, Mimi ni IT expert with five years experience at work

Asee uandishi wako mbona wa mashaka. Ungeandika a detailed overview ya experience yako au unge attach CV yako.

Networking uko competent na vendor gani?? Cisco, IBM, HUAWEI??? Una certifications gani?? Ya level gani?? Kama huna certifications umefanya kazi kama networking expert ofisi gani??. Same approach unatakiwa kufanya kwa hizo kada nyingine
 
Mimi ni IT expert Nina experience ya hii field miaka mitano sasa Nina uzoefu wa nyanja mbali mbali Kama Networking, IT SUPPORT ,Security system, System developer kama kuna ajira yoyote kuhusu IT naweza do iyo kazi private company, or any other

Kwa utambulisho huu unaonesha wewe ni muongo na hakuna kampuni wala taasisi inayoweza kukupa kazi kwa cv unajua kwanini ??????

Jibu ni kwamba maelezo yako si ya kweli hakuna IT anaefanya mambo yote haya .....

Kila IT ana eneo lake ambalo amelimaster na hilo eneo ndo linampka kazi
 
Chief kama wewe huwez ku master hizo mambo zote, kwann usiwe positive tu kwa ku assume kuwa wapo watu wenye huo uwezo? Ile kibongo bongo yani!.
 
Asee uandishi wako mbona wa mashaka. Ungeandika a detailed overview ya experience yako au unge attach CV yako.

Networking uko competent na vendor gani?? Cisco, IBM, HUAWEI??? Una certifications gani?? Ya level gani?? Kama huna certifications umefanya kazi kama networking expert ofisi gani??. Same approach unatakiwa kufanya kwa hizo kada nyingine
Hiv chief, ili uwe competent kwenye hizo networking, ni lazima uwe certified na hao watu? Sina maana mbaya kuwa hizo certifications means nothing, no. They mean a lot.
Lakin kwa dunia ya sasa mbona uwanja wa kujifunza na ku apply knowledge ni mpana sana ?? Not neccesary uwe na hizo paper validation!!.
 
Ivan umeliangali jambo la mtoa mada kimashiko zaidi na kwa jicho la ufahamu sio mihemko ya baadhi ya member waliochangia, na umeonyesha una uelewa kuliko waliombeza siajabu hawana kazi na hawawezi kumsaidia wakajikita katika kumvunja moyo, jf banah
 
Thanks mkuu. Ujue ni rahis watu kuelewa hayo wanayoyasema kwakua mazingira yao yamewa limit kwenye mtazamo huo. Sio kitu kibaya kwasababu tuko assigned kwenye level tofauti tofauti kiutendaji.

Mfano mimi, ni developer. That is my primary bread winner task.
But , katika harakat hiz, nimejikuta nalazimika sana kujua kuhusu Servers. And am doing great kwenye hilo eneo , why? Kwasababu nimejikuta (sio kwa kupenda) nalazimika kujua hizo mambo tena kwa undani.

At the same time, nimejikuta nalazimika sana kuijua networking kwakua kuna baadhi ya system unahitaji kuzi run both online and offline (incase internet imekata au imesumbua, watu wanahitaji kufanya kazi) na still unatakiwa kuhakikisha una maintain integrity ya data, no replication ,no redunduncy no what, just clean data. Hii tayar ni Database nzito tu (mambo ya online-offline database synchronization) na bado Networking inabid iwe mahala pake.

Sasa haya yote kulingana na mazingira, unajikuta unaya master vizuur. Na huna certification yoyote, is about really practical application ukiwa field daily.

Ndio maana simshangai mleta uzi hapo, mimi naamini inawezekana kabisaa na hasa katika level zetu za ujasiriamali ambazo huwez kuwa na capital ya kuwa na team of proffesionals.
 
Uko sahihi. Kama yeye hawezi kumaster hivyo vyote wengine wanaweza... watu tunatofautiana
 
Asee uandishi wako mbona wa mashaka. Ungeandika a detailed overview ya experience yako au unge attach CV yako.

Networking uko competent na vendor gani?? Cisco, IBM, HUAWEI??? Una certifications gani?? Ya level gani?? Kama huna certifications umefanya kazi kama networking expert ofisi gani??. Same approach unatakiwa kufanya kwa hizo kada nyingine
Unamhitaji akufanyie kazi? unamhitaji kufanya nae kazi? kunamtu unamjua anaweza kumfaa? au unataka tu aweke details zake hapa ili uenjoy kusoma? au unataka kutushow kuwa nawewe kwenye IT kuna vitu unajua?

Jamaa kaandika vitu basic, ambavyo kimsingi kwenye platform kama hii ndivyo alipaswa kuweka.

Kama kunamtu anamhitaji kwa uzoefu alio nao, atamcheki PM, atamuomba CV, atapanga kukutana nae kwa interview na atamuuliza kila kitu anachohitaji kujua kutoka kwake.
 
Back
Top Bottom