Walimu Waruhusiwa kuingia na Bunduki Shuleni

Wild Flower

Member
Jul 20, 2023
87
103
Wabunge wa jimbo la Tennessee nchini Marekani wamepitisha mswada wa kuwaruhusu walimu na wafanyikazi wengine wa shule kubeba bunduki shuleni siku ya Jumanne.

Imeelezwa kuwa wabunge hao ambao ni wanachama wa Republican wa Tennessee House walipitisha sheria hiyo kwa walimu na wafanyakazi wengine ambao walipata mafunzo ya kubeba bunduki ndani ya shule na maeneo ya vyuo vikuu.

Hiyo imekuja baada ya mwaka jana kutokea shambulizi katika shule ya Kikristo ya Nashville lililosababisha vifo vya watoto watatu na watu wazima watatu.

Hata hivyo uamuzi huo unapingwa na Democrats, wanafunzi na watetezi mbalimbali ikiwa ni mwaka mmoja tangu mtu kufyatua risasi na kuwaua watu sita katika shule hiyo.

Sheria hiyo sasa imetumwa kwa Gavana wa Tennessee Bill Lee, ambaye hajawahi kupinga sheria yoyote katika nafasi yake.
==========================
April 23 (Reuters) - Tennessee lawmakers on Tuesday passed a bill that would allow the state's teachers to carry concealed handguns at school, as protesters yelled their opposition from the gallery.

The bill was approved in a 68-28 vote in the Republican-dominated Tennessee House. The state's Senate passed the bill earlier this month.

Tennessee has seen heated debate over gun laws since last year's shooting at a Nashville school left three children and three adult staffers dead. Some of the Democrats in the House helped lead protests inside the capitol, leading to their brief expulsion from the body last year.

"This is an awful day for Tennessee, our kids, our teachers, and communities," state Representative Justin Pearson, a Democrat who was booted from the House last year before being voted back in, wrote on social media. "Instead of protecting kids, they've protected guns AGAIN!"

Republicans and other conservatives have often pushed for teachers to be armed in response to the numerous school shootings that have taken place in the U.S. in the past 25 years. Proponents of the measures argue that armed teachers deter would-be school shooters. Detractors say guns in school will likely only lead to tragic accidental shootings.

About half of all states in the U.S. allow teachers or other school employees to carry firearms on school grounds, according to the Giffords Law Center, a gun safety group.
Under the Tennessee bill, any person wanting to carry a concealed handgun in a school would have to complete at least 40 hours of training in school policing. The cost of the training - along with the firearm - is to be paid by the individual.

The identity of the teacher or staffer who is carrying a gun would not be public, according to the bill. School leaders must give approval for the person to carry a gun, and local law enforcement leaders must be informed of the carrier's identity

SOURCE: REUTTERS
 
Kama lengo ni kujihami, kwa nini wabebe siku ya Jumanne tu?
je, hakuna vitisho katika siku zingine tofauti na Jumanne?
 
Bongo tungeruhusiwa kumiliki vyuma dadeki Kuna vitu vingi sana haviko sawa mtu unakuwa na kachuma Kako unaviweka sawa
 
Kwa Tanzania hao walimu wanaofundiaha mtu mpaka lasaba hawezi kuandika jinalake utakuta darasa linanuka ubongo baada ya kufumuliwa fuvu
 
Back
Top Bottom