naomba maoni yenu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bob Maxwell

    Ni ipi tofauti kati ya Heshima na Nidhamu? Je mtu anaweza kuwa na heshima na akakosa Nidhamu?

    Habari za wakati huu waungwana, ni matumaini yangu nyote ni watu wazima na wenye uzoefu na haya maisha. Naomba kufahamu tofauti iliyopo katika mambo hayo mawili muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku.
  2. A

    Honda Road Cross naomba maoni yenu

    Kwa miaka mingi nimetumia Toyota nilianza na Rav4, Passo, Raum, Noah, Spacio, Kisha nikarudia Noah ambayo niko nayo muda mrefu kuliko gari zote hizo tangu 2019. Natamani sasa kupata Gari nyingine na hasa safari hii natamani gari tofauti na Toyota Macho yangu yameona HONDA ROADCROSS KImuonekano...
  3. Zacht

    Wataalamu wa irrigation na wadau wengine Naomba maoni yenu hapa.

    Habari za asubuh . Kuelekea msimu wa kiangazi ni msimu ambao sisi wakulima tunauita msimu wa kukosa kutokana uhaba wa maji , Ila mm Kuna kitu namefikiria kukifanya kwenye sector ya umwagiaji katika kupungaza kutegemea maji ya mvua(kilimo Cha mvua) , nataka nichimbe bwawa kwa ajili ya kuvunia...
  4. mambo ya nyakati

    Naomba maoni yenu huyu mwanamke ananiumiza sana

    Ushauri Wakuu kwasasa mwaka na nusu ninamahusiano nahuyu mwanamke, kwasasa kwao baadhi wananijua, yeye anang'ang'ania tuishi wote nimuoe, ninachojiuliza hivi inawezkana kweli kwasababu amenipita miaka 9 huyu mwanamke na ndugu zake hawasemi wamekaa kimya tu. Yeye ana mika 32 kwasasa kanipita...
Back
Top Bottom