Ni ipi tofauti kati ya Heshima na Nidhamu? Je mtu anaweza kuwa na heshima na akakosa Nidhamu?

Bob Manson

JF-Expert Member
May 16, 2021
578
1,009
Habari za wakati huu waungwana, ni matumaini yangu nyote ni watu wazima na wenye uzoefu na haya maisha.

Naomba kufahamu tofauti iliyopo katika mambo hayo mawili muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku.
 
Respect - huwa ni heshima ambayo unawapa WATU , hii msingi wake mkubwa hujengwa na MTU kuwaendea WATU.

Nidhamu- hii huwa ndani ya MTU mwenyewe nidhamu huwa inamuhusu MTU mwenyewe kuweka uwiano katika MAISHA yako

Muda mwingine nidhamu hutambulika Kama self-control
 
Kwa maelezo hayo nimegundua tofauti ipo kubwa kiasi, pia naifananisha self control na self discipline. Hapo nimekuelewa mkuu.
 
Back
Top Bottom