utovu wa nidhamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MamaSamia2025

    Utovu wa nidhamu alioulea mwenyewe umemgeukia Lema. Hii ni aibu kwa chama kikuu cha upinzani

    Hakika hii ni wiki mbaya sana kwa chama cha Mbowe. Kitendo cha makada kutukanana mitandaoni ni kukivua nguo chama. Kilichonishtua sana leo ni kuona bingwa wa kulea vijana wasio na nidhamu ndugu Lema akijibiwa kwa dharau ya hali ya juu mtandaoni na mmoja wa vijana wa chama chake. Hakika hili ni...
  2. Mganguzi

    Wachezaji kudai posho na malupulupu yao huo sio utovu wa nidhamu kama mmewaahidi pesa alafu mnageuka na kuwasimamisha ni ulimbukeni

    Nachojua ni msimamo wa chama kuhusu posho na ahadi ambazo wachezaji waliahidiwa kabla ya mechi na wydad! Wachezaji hawajapewa posho yoyote ,chama aliamua kuufuata uongozi ili kudai haki ya posho ambazo waliahidiwa ndipo akaonekana kama mtovu wa nidhamu ,kiongozi mmoja alimtolea chama lugha chafu...
  3. Sildenafil Citrate

    Morrison asimamishwa Yanga kwa utovu wa nidhamu

    Mchezaji wa Klabu ya Yanga, Benard Morrison anadaiwa kusimamishwa na Kocha wa klabu hiyo, Nasreddine Nabi kutokana na utovu wa nidhamu. Taarifa zinadai kuwa mchezaji huyo alipewa adhabu hiyo na wachezaji wengine wawili wa klabu hiyo, Djuma Shaban na Farid Mussa ambao kwa ujumla wamekosekana...
  4. BARD AI

    Polisi Arusha watimua Askari watatu kwa utovu wa nidhamu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limewafukuza kazi askari wake watatu kwa kosa la kwenda kinyume na maadili ya jeshi hilo. Aidha, limewatahadharisha wengine wenye tabia kama hizo kuziacha. Hayo yamesemwa leo Alhamisi, Septemba 15, 2022 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo...
  5. saidoo25

    Waziri wa Mifugo kubishana hadharani na Rais ni utovu wa nidhamu

    Tumeshuhudia Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki akipinga hadharani maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyeagiza vitalu vya NARCO vifutwe na kupewa vijana wahitimu wa Chuo Kikuu cha Kilimo SUA ili kutengeza fursa za ajira kupitia ufugaji Mambo ambayo Waziri alipaswa kuyafanya ni mawili...
  6. John Haramba

    Bernard Morrison aomba radhi Simba kwa utovu wa nidhamu alioufanya

    Mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison ameomba radhi kwa wachezaji wenzake, benchi la ufundi pamoja na kwa uongozi wa klabu yake kwa utovu wa nidhamu aliouonyesha. Imeelezwa kuwa Morrison ambaye ni raia wa Ghana ametumia group la mtandao wa WhatsApp kuomba radhi kwa wenzake kisha akaomba...
  7. Memento

    Makamu Mwenyekiti CCM, Mzee Mangula: Bagamoyo tuliahidi kujenga Gati sio Bandari

    Mzee Mangula anasema kwenye ilani ya CCM 2020-25 hawakuahidi bandari ya bagamoyo bali waliahidi ghati tu. Hivyo anashangaa mjadala wa ujenzi wa bandari bagamoyo unatoka wapi. Mzee Mangula hapa nadhani wa kumuuliza zaidi ni mwenyekiti wake ambae alisema ana habari njema kuwa wamefufua...
  8. tang'ana

    Membe uliponzwa na utovu wa nidhamu

    Nianze kwa kutoa pongezi zangu za dhati kwa Mheshimiwa Bernard Membe kwa kuelezea namna alivyofitiniwa na Rais Dk. John Magufuli na kupoteza nafasi ya kuchaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola. Pongezi hizi ni za dhati kwa sababu kwa maelezo ya Membe, Watanzania wanapata nafasi kuelewa...
  9. Prof Koboko

    RC Ally Happi usirudie tena utovu wa nidhamu, ulitaka Mzee Makamba atwangwe bure

    Kama taifa tukifikia pabaya sana, yalijitokeza makundi awamu ya 5 yanaongeza hivyo hovyo bila kujali utu wala heshima na utii kwa waliowazidi umri. Ilikua ni kutukana na kuwatisha wazee wa watu bure pale walipotoa maoni yao. Mmojawapo ni huyu RC wa Mkoa wa Mara ndugu Alli Happi kipindi cha...
  10. incredible terminator

    Kumtamkia mzazi wako nakupenda kimaadili ya Kitanzania ni utovu wa nidhamu

    Habari wakuu, Tangu awali nilishasea huu uzungu na haya maisha ya watoto wa kishua sijui wanampango gani na vizazi vyetu, Siku moja kuna star mmoja na mchekeshaji maarufu alifiwa na mama yake mzazi sasa jamaa alishinda akipost video alivyokuwa anaishi na mama yake mara wabusiane mara...
Back
Top Bottom