Balozi wa Marekani, Michael A. Battle atembelea ofisi za JamiiForums

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,908
12,189
Leo Mei 6, 2024, JamiiForums (JF) imetembelewa na Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Michael A. Battle, kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na taasisi, ambapo amepitishwa kwa kina na kufahamu utekelezaji wa programu 8 za kitaasisi unaoendelea

Balozi Battle aliyeongozana na Ujumbe wake, wamefanya majadiliano na Uongozi na Watendaji wa JF katika kuangazia namna bora ya kujenga na kuimarisha ushirikiano baina ya pande mbili (Ubalozi na JF)

7.jpg
8.jpg
9.jpg
10.jpg
11.jpg
12.jpg

IMG_1769.jpeg

13.jpg
IMG_2387.jpeg
 
Back
Top Bottom