ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 45,536
- 52,576
Balozi wa USA Tanzania bwana Battle amemimina sifa kemkem Kwa Rais Samia Kwa jinsi ameimarisha Demokrasia na uhuru wa kujieleza Aliyoleta mifano jinsi Vyama vya Upinzani hasa Chadema vilivyo huru kufanya mikutano ya Kisiasa na maandamano bila bugudha Kwa Polisi alisema haikuwa hivyo miaka michache iliyopita.
Balozi Battle alikuwa akizunhumza kwenye majadiliano ya Kituo Cha Demokrasia Tanzania na kusema anaunga mkono juhudi za serikali ikiwemo Mabadiliko ya sheria za Uchaguzi.
Hata hivyo katika Hali ya kushangaza na licha ya ukweli huo , wafuasi wa Chadema hasa Mtandaoni wamemchafukia wakimshutumu kwamba eti hakuna kilichofanyika na hivyo anakosea kusema Tanzania Kuna Demokrasia.
View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1791350151363076410?t=ohNV6iSjSNl5T4hNPhmxJg&s=19
My Take
Chadema ni kama Taasisi isiyojielewa.Chadema mnatakiwa kujua kwamba Msimamo wa sera za Nje za Marekani ulishabadilika na Sasa uko partial ,hauingilii Demokrasia za Afrika Moja kwa Moja kama miaka ya nyuma.
So kama hamuwezi kukubali Demokrasia iliyoletwa na Samia mnaweza kupigwa Pini mazima kama.awamu ya 5 na Bado Tanzania na CCM vitaendelea kuwepo na Marekani hatokuwa na Cha kuwasiadia achilia mbali wafadhili wenu wa huko Ubelgiji.
Shika hayo maneno,Ikitokea watu wenye msimamo mkali wa kijamaa kama Makonda Wakishika Dola hakuna rangi mtaacha kuona na ccm lazima watafanya hivyo uchaguzi wa 2030,niko palee mtakuja kukumbuka haya maneno na ndipo mtasaga meno Kwa kuomboleza mkimlilia Samia.Pia soma Kwa Kauli hii ya Balozi wa Marekani Kuhusu Demokrasia, CHADEMA Wameumbuka